Natafuta mchumba/ mume

Hunishindi mie. Huwa najaribu kufikiria shida ni nini hasa? Kama tunakosea hata pale unapochagua kwa kuona na macho je kwa njia hii? Huenda nimezeeka sana! Inabidi tu kukubaliana na mabadiliko katika maisha na maendeleo kwa ujumla.

Kuwa tayari kukubali mabadiliko, kwa kuwa huna ubavu wa kuyazuia.
Nimegundua (kutokana na thread zinazokuja humu) ya kwamba wanaume wenye miaka 30+ ndio wanaotafutwa na wasichana kwa lengo la kuanza maisha. Acha mimi nipige harakati na mishemishe ya hela. Ee Mungu nisaidie.
 
Ameeeeeeeeeen!
 
hi!Dada nimesoma post yako tafadhali tuwasiliane kwa 0652 750905 ili mi na wewe tuongee kwa kirefu kwani hata mimi sasa natafuta mtu na ndio nimetoka kupost ya kwangu .
 
mimi niliyekupa namba ya simu niko dodoma ;piga tu mama usihofu wala sina manyokanyoka mimi endapo hatutaafikiana utabaki salama salimini na tutakuwa tumeishia hapohapo.
 
La maana zaidi kuweka mbele kutaka kupima ukimwi kwanza. Je unaelimu ya fani gani? na ni dini gani?
 
Mimi naona hakuna formula ya kupata mchumba; njia yoyote utakayo itumia as long as inaweza kukupatia mume mwema...naona ni sahihi. Wengine hupata wachumba mashuleni, kwenye mabasi wakisafiri, kwenye sherehe, makanisani/misikitini na hata kwenye vilio; hivyo uko sahihi kabisa kutoa ombi lako. Nimefurahishwa na kigezo chako cha umri kwani kitakupunguzia wasumbufu (serengeti bys)
Nakushauri tu usiweke namba ya sim hapa watakusumbua bureee. ukipenda fungua email mpya uiweke kwa ajili ya kupoa mawasiliano tuuuuu.
Nakutakia mafanikio mema mdogo wangu na nipo tayari kukushauri..ukihitaji msaada wangu
 
yaa mparee 2 nakuunga mkono kwa 100% mapenzi hayna fomula kabisa mnaweza kukutana kanisana na bado ndoa ikawa ndoanoo, nashukuru sana kwa ushauri wako.
 
asante piper naamini kwa msaada wa mungu pia hakuna linaloshindikana

Mungu yupi huyo atakaye kusaidia ambaye umesema uko tayari kumkana kwa ajili ya mwanaume?
Maneno yako (niko tayari kubadili dini).

Uko so desperate hata machaguo ya msingi unayadisregard. Tulia dada, utapata haujachelewa kbs!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom