Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,236
Kuna wachache wamefanikiwa na wengi wamelizwa...Hata hivo nadhani hii njia hutumika pale ambapo njia nyingine zinaelekea kutozaa matunda (may be you lost many opportunities)..Kwa wenzetu wazungu ina work kwa kuwa huwa hawatembeleani,hawaendi kanisani na kazini hawaruhusiwi kuuza kahawa ni kazi kwa kwenda mbele..Ina maana we are so busy mpaka hatuwezi kukutana na kuchaguana pale tunapoona ni muafaka? But I learned one thing in life...times change therefore I must be flexible in order to accomodate the changes. Probably this works out well for some people!
Na siku hizi zipo online dating za kulipia ambazo unatoa details za ukweli na zinakuwa secured..