Hidden Diamond
Member
- Jan 31, 2024
- 42
- 119
Natafuta rafiki wakike awe mstaharabu na mpole pia sichagui dini wala Umri kwa upande wangu Umri wangu ni miaka 27 kama uko tayari nifuate pm tuongee zaidi
Embu niambie tunatafutaje mkuuManigga wa mbeya huwa hatutafuti kwa style yako man