Natafuta mchumba/ mume

Mimi Kwa Sasa Sina Kazi Rasmi Ila Nina Vigezo Vyote Vya Kuwa Mume Bora!
Vipi Nitapitishwa?
Ahsante!
 
Habari wana jf,mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 27, nna elimu ya chuo kikuu,
kwa sasa nnafanya kazi katika taasisi binafsi. natafuta mchumba ambaye atakuwa mume wangu.
awe na umri angalau kuanzia miaka 32 na kuendelea .
sichagui dini wala kabila nko tayari kubadili dini.
awe tayari kupima UKIMWI.
Kwa maelezo zaidi mnaweza kuniPM. AHSANTEN
Weka picha yako kwanza.
 
Mungu yupi huyo atakaye kusaidia ambaye umesema uko tayari kumkana kwa ajili ya mwanaume?
Maneno yako (niko tayari kubadili dini).

Uko so desperate hata machaguo ya msingi unayadisregard. Tulia dada, utapata haujachelewa kbs!

sidhan kama nimemkana mungu hapa mi naamini katika mungu mmoja basi naweza kumtukuza katika dini yoyote tu dada{ isipokuwa zile za mashetani}
 
Habari wana jf,mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 27, nna elimu ya chuo kikuu,
kwa sasa nnafanya kazi katika taasisi binafsi. natafuta mchumba ambaye atakuwa mume wangu.
awe na umri angalau kuanzia miaka 32 na kuendelea .
sichagui dini wala kabila nko tayari kubadili dini.
awe tayari kupima UKIMWI.
Kwa maelezo zaidi mnaweza kuniPM. AHSANTEN
Duh jina lako linaweza kukukosesha Mume. Kule kwetu Unyalu "Mdala" maana yake Mke, je wewe umeshaolewa? Kama hujaolewa ungetumia jina la "Mhindza" yaani msichana au "mwayuva" yaani Mwanamke....Any way nadhani utakuwa umeshapata Mwanaume umtakaye
 
ZD Watu wameoana hapa na wengine wapo mbioni kufanya hivyo. Sioni kama kuna tatizo la mtu kutafuta kwa njia hii. Kule India hii ya kutafuta wachumba mtandaoni ni biashara kubwa sana na hata nchi nyingi za magharibi kuna makampuni mengi tu yanayofanya mambo haya. Hivyo si ajabu miaka michache ijayo hili la kutafuta wachumba mtandaoni likakubaliwa na Watanzania walio wengi.

Kiukweli ni ngeni katika jamii yetu na kupata kisichostahili ni rahisi sana...
 
ZD Watu wameoana hapa na wengine wapo mbioni kufanya hivyo. Sioni kama kuna tatizo la mtu kutafuta kwa njia hii. Kule India hii ya kutafuta wachumba mtandaoni ni biashara kubwa sana na hata nchi nyingi za magharibi kuna makampuni mengi tu yanayofanya mambo haya. Hivyo si ajabu miaka michache ijayo hili la kutafuta wachumba mtandaoni likakubaliwa na Watanzania walio wengi.

Ni kweli inawezekana lkn ni wachache wamebahatika.. Asilimia kubwa ya watu ni fekari na wanatafuta kugegeda au kuchuna..Na waliopatana humu ni kwa njia ya Pm na kukutana kwenye mijadala ya kila siku kwenye majukwaa na sio kutangaza kama hivi..
 
mimi niliyekupa namba ya simu niko dodoma ;piga tu mama usihofu wala sina manyokanyoka mimi endapo hatutaafikiana utabaki salama salimini na tutakuwa tumeishia hapohapo.
mkuu unajihami? teh teh teh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom