KOMBAJR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 5,827
- 1,271
Mkuu wangu naona umeleta Unabii.
Lets cross our finger!Time will tell!:A S 39:
Mkuu wangu naona umeleta Unabii.
Nijuavyo mimi, kufuatia nguvu ya mgombea wangu ndani ya chama, huyu kijana anapigwa chini jumla!.
Gazeti la RAI toleo la leo limeripoti habari linazodai ni za uhakika na kutoka ndani ya chanzo cha uhakika kwamba Katibu wa Itikadi na uenezi CCM Nape Nnauye anaandaliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM kuchukua nafasi ya Willson Mukama.
Pia Dr Asha-Rose Migiro inadaiwa atateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara kuchukua nafasi ya Mzee Pius Msekwa.
Nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi anatarajiwa kuwa William Ngeleja Mbunge wa Sengerema na aliyewahi kuwa waziri wa Nishati na Madini.
Ukweli wa taarifa hizi unaonekana ni wa uhakika kwa sababu Nape Nnauye na Asha Migiro hawajagombea ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM.
Mtaendelea kuwa na hisia mpaka mnaingia kaburini. CCM inawaumiza sana vichwa cdm hamuwezi kukaa kupitisha hata siku moja bila kuitaja, hicho ndicho chama tawala na chama dume. Na siku zote mti wenye matunda ndio unao popolewa nawe.
Gazeti la RAI toleo la leo limeripoti habari linazodai ni za uhakika na kutoka ndani ya chanzo cha uhakika kwamba Katibu wa Itikadi na uenezi CCM Nape Nnauye anaandaliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM kuchukua nafasi ya Willson Mukama.
Pia Dr Asha-Rose Migiro inadaiwa atateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara kuchukua nafasi ya Mzee Pius Msekwa.
Nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi anatarajiwa kuwa William Ngeleja Mbunge wa Sengerema na aliyewahi kuwa waziri wa Nishati na Madini.
Ukweli wa taarifa hizi unaonekana ni wa uhakika kwa sababu Nape Nnauye na Asha Migiro hawajagombea ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM.
Kama nakumbuka vizuri, fisadi mdogo "mzee wa megawati" ngeleja anagombea u nec kutoka wilaya ya sengerema.