Nape Nnauye atajwa kuandaliwa kuwa Katibu Mkuu CCM

Hamna haja ya kubali uongozi kwani kamanda mukama anafaa sana na amekuwa tishio kwa CHADEMA kwa miaka mingi.

Teh teh teh teh teh teh teh..........!
 
Hamna haja ya kubali uongozi kwani kamanda mukama anafaa sana na amekuwa tishio kwa CHADEMA kwa miaka mingi.

Teh teh teh teh teh teh teh..........!

Unanikumbusha siku ile alivyokuwa anatoka mapovu Unguja akitangaza CDM kuingiza magaidi.
 
Hii ni propaganda ya kundi la "Mapacha Watatu" katika harakati za "kuzuia" Nape asiwe Katibu Mkuu.
 
Kanuni iliyojificha ndani ya TEUZI za CCM ya kuzingatia kigezo cha DINI hakimpi nafasi Dr ASHA-Rose Migiro kuwa makamu wa mwenyekiti kwa kuwa mwenyekiti ni MUislaam na Makamu mwingine atakayetoka Zanzibar atakuwa Mwislaam pia pamoja na kwamba Dr Asha kaolewa na "KAFFIR" Migiro.
 
nahamia ccm kama wakimpa jembe langu nape ukatibu mkuu.
huyu dogo yuko vizuri ila nitamshawishi arudi kanisani tupige na injili ili mungu aepushe ccm na kaburi.
 
Kanuni iliyojificha ndani ya TEUZI za CCM ya kuzingatia kigezo cha DINI hakimpi nafasi Dr ASHA-Rose Migiro kuwa makamu wa mwenyekiti kwa kuwa mwenyekiti ni MUislaam na Makamu mwingine atakayetoka Zanzibar atakuwa Mwislaam pia pamoja na kwamba Dr Asha kaolewa na "KAFFIR" Migiro.

CUF bana..! Ni lazima mtu wa hiki chama akijadili kitu azungumzie Udini.
 
CUF bana..! Ni lazima mtu wa hiki chama akijadili kitu azungumzie Udini.
Molemo,
Hiyo kanuni CCM wanayo. Pasco anaiita "silent code". JK ameitumia sana hii kwenye teuzi zake isipokuwa juzi alishindwa kwa uteuzi wa Chief of Staff wa JWTZ.
 
Kwa hiyo Nape haachani na siasa uchwara za sisiemu, ina maana ataendelea kuwa linda mafisadi!

Basi kweli sisiemu inakufa moja kwa moja kama Nape anakuwa katibu mkuu!
 
Molemo,
Hiyo kanuni CCM wanayo. Pasco anaiita "silent code". JK ameitumia sana hii kwenye teuzi zake isipokuwa juzi alishindwa kwa uteuzi wa Chief of Staff wa JWTZ.

Ha..! Ha...! Haaaaaa!
 
Simpatii picha huyo nape yani katibu mwenezi ana'act kama mkuu au mwenyekiti... Akipewa huo ukatibu mkuu atajiona RAIS kabsa na usishangae akiwa anatoa hadi hotuba za mwsho mwezi
 
Back
Top Bottom