Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,973
Nijuavyo mimi, kufuatia nguvu ya mgombea wangu ndani ya chama, huyu kijana anapigwa chini jumla!.
Mimi ningependa kuona nape nnauye anakabidhiwa kazi ya katibu mkuu wa ccm.
Nijuavyo mimi, kufuatia nguvu ya mgombea wangu ndani ya chama, huyu kijana anapigwa chini jumla!.
kibwagizo Kweherini, kwaherini, kwaeherini, CDM na CCJ kwaherini, CUF na UDP kwaherini iiiiiiii, hapa nilipo nipo kitandani Unafiki umeniweka kitandani, kusimama tena mimi haiwezekani aahaaa ahaaaaaa.
----Saa saba mchana saa niikitazama, nimeshaachana na Makamba, namfwata Kingunge, Saa kumi na mbili jioni nina appointment Kinana, Acha Yule Mkapa tulishachana siku nyingi, bado yule Sumaye ananitafuta, nuilishamtumia kisha namfwata Dialo, Mkono na wengineeee aaaaahhh,
Hapa nilipo nipo kitandani, ufisadi umeniweka matatani kupona tena mimi haiwezekani.....ahaaa haaaaaahaaaa
haya hebu enedelea sasa.....................................
Kama nakumbuka vizuri, fisadi mdogo "mzee wa megawati" ngeleja anagombea u nec kutoka wilaya ya sengerema.
Wacha kila mtu ashiriki kwenye Mazishi ya Marehemu Mtarajiwa CCM.Ukiangalia uteuzi kuanzia Makamba,Mkama na huyo atakayefuata kila mmoja anateuliwa kwa kazi maalumu yote ili kutimiza lile lengo la JK kuiangamiza CCM. TimesUp:rockon:
Hiyo ndiyo itakuwa timu ya kuimaliza CCM kabisa.