Nape Nnauye atajwa kuandaliwa kuwa Katibu Mkuu CCM

Kwa kufikiria kumweka ukatibu mkuu, kihiyo wa elimu lukuvi ccm inajichimbia kaburi na rip ccm. Kweli mafisadi sasa wanaelekea kufanikiwa huyu ni mnafiki kuliko wanafiki wote katika nchi hii. Rais wangu dr. Jakaya kikwete usikubali ushawishi huo wanataka kuuza nchi hawa. Kitendo au jaribio la kumchagua katibu mkuu ccm taifa kiukweli kutakidhoofisha chama. Kiujumla hana uwezo. Amenunua magazeti kumpigia kampeni. Ombi:D Dr. Jk chinja jina la huyo kihiyo hatakiweza chama ni walewale wanapanga njama za kukuhujumu.
 
Back
Top Bottom