johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,023
- 142,067
Mh Nape Nnauye amempingeza ndugu Paul Makonda kwa kuteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi CCM
Akiwajibu wale waliohoji mambo ya Protea Enzi zile mh Nape amesema " Mie ni Mkristo isome Sala ya Baba Yetu Uliye mbinguni tusiishi kama siye ni Watakatifu sana"
Nape amemtakia kila la Kheri ndugu Paul Makonda katika majukumu yake mapya
Source: Ukurasa wa X wa Nape