Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

Albedo. Nikushukuru sana kwa maneno ya busara na ya kiutu uzima uliyoyatoa hapo juu. Pili nishirikiane nawe kulani kauli ya kibaguzi iliyotolewa na huyu bwana mdogo. Mimi si mchagga lakini nimeumia kuona kuna "viongozi" wanashabikia ukabila. Watanzania tulaani kauli za kipumbavu za namna hii.
 
CCM hawana hoja za msingi maana kuna kipindi walisema CHADEMA ya wakatoliki baadae mara ya wakristu then wanakuja kuwaomba kura wakristo haohao tabu tupu
 
Nyie wan CDM mnashindwaje kuonyesha usultani uliojikita ndani ya CCM mfano Karumes, Makambas, Mwinyis, Malimas, Nnauyes na wengine wengi tu jibuni mapigo
 
mi naamini kwamba hoja hujibiwa kwa hoja, sasa ndugu zetu wa CCM ingekuwa vizuri kama wakijibu zile hoja za msingi ambazo wanapaswa kujibu na sio kuzungumzia suala la wachagga, Watanzania kwa sasa wapo katika zama nyingine kabisa, suala la uchagga halipo, suala liliopo mezani ni utendaji tu. mimi siion tatizo hata kama wachagga wapo chadema, kwan hao wachagga wanaowazungumzia CCM sio watendaji wazuri? wanafanya mambo yanayoonekana ndio maana watanzania wamewaelewa! CDM mko makini na in fact endeleen na kazi SISI tupo bega kwa bega na nyie.
 
Nyie wan CDM mnashindwaje kuonyesha usultani uliojikita ndani ya CCM mfano Karumes, Makambas, Mwinyis, Malimas, Nnauyes na wengine wengi tu jibuni mapigo

Mkuu Binafsi sina Tatizo na Nape kama Mtoto wa Kiongozi ( Sijui CDM) ila Naumia napoona Kijana anashindwa kufikiria zaidi ya Anapofikiria Tambwe Hizza.

Zitto hawezi kusema kwamba Hajajiunga CUF kwa Sabau yeye si Mpemba halafu CDM ikawa Salama. Au John Mnyika aseme kwamba hajajiunga CCM kwa Sababu yeye si Dini Fulani halfu CDM ikawa Salama

Siwezi ilamu CCM maana walifanya Scientific Research sasa yaweza Attacking Wachagga ikawa ni Moja kati " Conclusion and Recommendations " za Task Force yao
 
Nyie wan CDM mnashindwaje kuonyesha usultani uliojikita ndani ya CCM mfano Karumes, Makambas, Mwinyis, Malimas, Nnauyes na wengine wengi tu jibuni mapigo
kumbe vyama mmegawa kwa makabila mimi nilikuwa sijui!
kwa hiyo sisi watu wambeya chama chetu nikipi!? aah kumbe siyo umkoa namaanisha wanyakyusa twende chama gani??
kwani sisi ni yawakwere??
 
Aissee babangu, ndo kweli Chadema ni chama cha kichagga. Ndo maana wafanya kampeni za mikoa ya Wachagga tu, aissee babaangu. Aissee babaangu, wamekishtukia chadema, aissee babaangu.
 
Hii kauli sio ya kudharau kwani inawezekana ametumwa na Boss wake JK, hivyo inabidi ifanyiwe kazi na kuilaani kwa nguvu zote.

Itakumbukwa kuwa mbegu ya Udini ilianzishwa na Boss wake kipindi cha kampeni za uchaguzi mwaka jana. Sumu ile imewaingia watu na mpaka sasa hivi inalitafuna taifa kwa kasi ya ajabu.

Kwa kweli huenda hajajua kuwa kiongozi ni karama na kitu kikubwa cha kuomba katika uongozi ni Hekima. Kijana achunge sana mwendo kasi alionao otherwise hatafika mbali.
 
Mkuu Mimi Simkubali JK, Sijawahi Kumpigia Kura na Sitakaa Nimpigie Kura hata Nishikiwe Bunduki lakini katika hili Niko Upande wake.

Huu ni Ukengeufu tu wa Kijana Anashindwa Kuelewa kwamba Njia Zilizoipa CDM umaarufu si Lazima Ziipe CCM Umaarufu

Narudia tena

NAPE UMEKENGEUKA
 
Mkuu Binafsi sina Tatizo na Nape kama Mtoto wa Kiongozi ( Sijui CDM) ila Naumia napoona Kijana anashindwa kufikiria zaidi ya Anapofikiria Tambwe Hizza.

Zitto hawezi kusema kwamba Hajajiunga CUF kwa Sabau yeye si Mpemba halafu CDM ikawa Salama. Au John Mnyika aseme kwamba hajajiunga CCM kwa Sababu yeye si Dini Fulani halfu CDM ikawa Salama

Siwezi ilamu CCM maana walifanya Scientific Research sasa yaweza Attacking Wachagga ikawa ni Moja kati " Conclusion and Recommendations " za Task Force yao

Duh sasa hapo dogo amekwisha kabisa, hana hata la kuzungumza, siku 90 alijipa mwenyewe nini?:A S 103:
 
Huyu Tambwe Hiza 2.0 (Nape) ana matatizo ya kufikiri. Kwa mfano sielewi ana-justify vipi kauli yake kuwa CHADEMA ni chama cha wachaga. Kama watanzania wengine wakiwa na akili kama Tambwe 2.0 (Namaanisha Nape), basi hawana budi kudai kuwa serikali ta Tanzania ni ya kiislam kutokana na viongozi wengi kuwa waislam (Rais, Makamu wa Rais, Jaji Mkuu, Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa na mawaziri kibao).
Hata hivyo mimi siwezi kudai kuwa hii serikali ni ya kiislam eti tu kutokana na uwiano wa viongozi wa kiislam na dini zingine, kwa sababu mtanzania yeyote ana haki ya kuchaguliwa au kuteuliwa kushika wadhifa wowote ndani ya nchi au kuwakilisha Tanzania kwenye nchi za kigeni au mashirika ya kimataifa. Hii lugha anayotumia Nape (Tambwe 2.0) ndiyo yenye kuleta chuki kwenye jamii (Ukabila). Haya ni matusi kwa wachaga ambao wengine ni wananchama wa CCM. Kama ana busara nina hakika atawaomba radhi wachaga maana naamini katika ziara zake hizi atafika Kilimanjaro kujitambulisha na kuwaomba wengine wajiunge na chama chake
.
 
Sasa hapa Nape kama hajapatwa na insomnia sijui, maana hizi data ni nyundo ivunjayo vipandevipande. Angalie kwa makini asije akawa kakalia kuti kavu.:A S 103:
 
ataongea nini kama kikwete anamuelekeza kuongea hivo?
mkuu wake anapeta na hoja ya udini,yeye kaanza kutukana makabila,..
kwenye top 3 ya makabila makubwa Tanganyika wachaga wamo,...

Ops,me ni mkurya,ila asije tutukana afu aje kujivua gamba Tarime,amuulize mtikila
habari ya huku
 
Nawaomba wana CCM walio wachagga waseme, Mh Cyril Chami, Aggrey Mwanri, mnasemaje kuhusu kauli ya kijana wao Nape???
 
Back
Top Bottom