Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

Kwanza Kabisa nikiri kwamba Sifahamu Kabila la Nape Nnauye, silifahamu kwa Sababu hata siku moja sikuwahi kufikiri kwamba Kabila la Mtu laweza kuwa Kigezo cha Mtu kuongoza au Kujiunga na Chama au Kuajiriwa na Taasisi

Nape Ametukana Wachagga

1: Kwamba Wachaga siyo watu wa Kuchangama nao ndio maana Hakujiunga CHADEMA kwa sababu aliamini ni Chama cha WACHAGGA.

2. Kwamba Ili Uwe CCM ni Lazima kwanza Usiwe Mchagga, kwamba Wachaga wa CCM wanajipendekeza

Hayo ni Maneno yaliyotoka Kinywani Mwa Kiongozi wa Juu wa CCM ( Chama kinachotawala) Ambaye Mwenyekiti wake alsema kwamba Linasemwa na Nape ni Lake ( yeye Mwenyekiti)

Nape Unaweza kuja clear na Kueleza ni nini Hasa hawa Watanzania Wenzetu wamekukosea?

Je WACHAGGA wakiamua Kurevenge Utaweza kweli kuhimili?

Je huna Mpango wa Kwenda Moshi kuvua Magamba Chama Chako?

Je Uko Tayari Kuwaomba radhi WACHAGGA wote?


Pole Nape Vita uliyoianzisha unaifanya kuwa Ngumu sana

Nape Nape Nape kumbe jitihada zote za kupigana vita uliyoiita ya "UFISADI" wewe ni KILAZA kiwango hiki. Kweli Chama cha majambazi kina "wachumia tumbo" tu. Pooleee wewe!!!!!!! Jamani akikanyaga huko mpeni haki yake.
 
Kwa hiyo mnatangaza vita na wachagga au?
hapana kuna mambo ya ajabu CCM
mara utasikia tunatekeleza mpango wa kaskazini
mimi mngoni sipo CCM kwa akilizangu leo naambiwa na hawa ccm kuwa CDM wachagga
Pumba tupuuuuuuuuuuu ndio maana nasema bora kieleweke nadhani watanzania hawakumwelewa JK kuwa CCM waislam,CDM wakristo tutengane na tufanyaziane in case habari za kubembelezana sitaki
 
safi sana tunahitaji watu wanaoongea kwa data kama wewe, lkn hapo kwa mnyika sahihisha kidogo

naona mzee wa gamba unakariri maisha, kumbuka maisha hayana formular i.e. to say sio kila mweupe au mwenye jina Mnyika ni mchaga. kuna cku utasikia kimaro ametokea Mbeya vilevle so usishangae
 
Teh teh teh teh teh

Nape ameponda nyuki wasio na mzinga walioning'inia ktk mti, tena wakati mchana wa jua kali. teh teh teh teh teh
 
Teh teh teh teh teh

Nape ameponda nyuki wasio na mzinga walioning'inia ktk mti, tena wakati mchana wa jua kali. teh teh teh teh teh
anaonekana ni mtu wa jazba akizigdiwa au akibanwa kwa hoja anaweza kukurupuka hadi kurusha ngumi.
 
Mwalimu alishawahi kusema:

"Hatuwezi kumkataa mtu kwa ukabila wake, na vile vile haifai kumkubali mtu kisa kabila fulani".

Sasa hapa napo mnasubiri Nyerere afufuke aje kutafsiri hii. Mbona iko straight, kuna ubaya gani wachaga kuwemo CDM? Nape anataka makabila gani yawemo humo? Kwenye vigezo vya kupata uongozi CDM, ukabila siyo kimojawapo. Namshauri Nape atafute single itakayouzika kirahisi. Hii ya ukabila ilishadunda hata kabla ya kujivua magamba.
 
Hata Shitambala alitumia hoja ya uchaga kwa watu wa Mbeya eti wasiende kwenye maandamano ya wachaga. Kwanza walimzomea yeye na Mwandosya halafu wakajaa kwenye maandamano kama mlivyoona. Nashangaa Nape anapoendekeza siasa za kizee namna hiyo pasipokujua kuwa ndio anakipoteza chama kabisaaaaaa!
 
Niliamini kabisa kwa sasa idaa ya uenezi imempata mtu makini mwenye hoja na si vioja kama tambwe lakini nilikosea sio kwa sababu ya haya aliyoyasema lakini ni kwa sababu anataka kutuaminisha kuwapo kwa suala la ukabila katika baadhi ya vyama vya siasa. nape ninakuheshimu sana lakini kama umenukuliwa kwa usahihi, umekosea sana kada uliyeelimika kivukoni.
Kuhusisha ukabila na cdm sio sahihi hata kama ulitaka maneno yako kiuhakika yafanane na ya JMK, umekosea sana ndugu mkuu wa wilaya na unapaswa kuomba radhi, sio ajabu kula maneno yako:smow:
 
hapana kuna mambo ya ajabu CCM
mara utasikia tunatekeleza mpango wa kaskazini
mimi mngoni sipo CCM kwa akilizangu leo naambiwa na hawa ccm kuwa CDM wachagga
Pumba tupuuuuuuuuuuu ndio maana nasema bora kieleweke nadhani watanzania hawakumwelewa JK kuwa CCM waislam,CDM wakristo tutengane na tufanyaziane in case habari za kubembelezana sitaki

Kwani mumeo hakubembeleze, au? Kwa hiyo unataka chadema wawabembeleze. ha ha ha.......sinambavu. Kwani unasema hajafanikiwa wakati wameshaanza kutekeleza huko zanzibar.

Acha kumumunya unafiki mwiko.
 
Albedo,

Ningependa kujua Nape alizungumza maneno haya wapi na source yako? ........ Na kama kweli amesema haya maneno basi inabidi ajiuzulu mara moja.
 
Aissee babangu, ndo kweli Chadema ni chama cha kichagga. Ndo maana wafanya kampeni za mikoa ya Wachagga tu, aissee babaangu. Aissee babaangu, wamekishtukia chadema, aissee babaangu.

yaani acha tu chali'angu hata mimi nilikuwa sijui aisee chalii'angu.
Sasa wamasai wa arusha twende wapi?
 
nilishasema humu na narudia tena huyu dogo upeo wake mdogo sana... hivi hajiulizi kwa nini wale wa magamba walimtosa kugombea pale ubungo?
 
anaonekana ni mtu wa jazba akizigdiwa au akibanwa kwa hoja anaweza kukurupuka hadi kurusha ngumi.

Ndiyo mkuu,
Lakini pia tukumbuke, mtu anayeongelea ukabila si mkabila, mkabila ni yule anaye u-praktsi, mtu kuongelea udini si mdini ila yule anayeupraktsi udini huo ndo mdini.
Mtu anayeongelea muungano na kero zake si kwamba ni anti-muungano, ila anaye-upraktsi u anti-muungano ndiye anti muungano.

Nikikuita wewe fisadi na kweli kabisa wewe ukawa si fisadi, utanicheka tu wala hutopoteza ku-argue nami jinsi gani usivyokuwa fisadi, ni mienendo tu yako ambayo itadhihirisha kuwa wewe si fisadi.
Siku hizi wamekuja na kamsemo kakujitete hawa ma thugs wetu eti uongo ukiachwa unasemwa unakuwa ukweli.Hii ni kauli ya thugs tu.
kwanini wanasema hivvyo, ili wapate tu njia ya kudefend maovu wanayotenda.
 
Nape inaonekana ni zuzu wa kutupwa, anadandia na kutoa hoja mfu; ajabu CCM kwa sasa ndo wanamwamini kuwa anao ubavu (si fisadi?) wa kuwajibu CDM.

Bila shaka hata Tundu Lisu naye ni Mchaga! Mimi nilijua Tundiu Lisu ni Mnyatulu wa Singida.
 
Ninependa kujua maneno haya Nape aliyatoa wapi na lini kabla ya kusema lolote?
 
Wamekistukia kivipi?,au wewe ni mmoja wa viwavijeshi vya ccm humu Jf?,kwenye mambo ya msingi unaleta utani na kucheza na akili za watu!,acha ujinga

Kwani hii JF ni ya CDM peke yake? Acha kila mtu atoe mawazo yake Mkuu. Safi John 10. Don't give up.
 
Mimi yangu macho maana hivi vyeo vya kupeana bila kuangalia vinatupeleka kubaya sana. Bwana
ndogo Nape angalia usije dondokea puwa.
 
Back
Top Bottom