Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

WANAJAMVI,poleni kwa majukumu ya kila siku ya kujikwamua kimaisha na kulijenga taifa letu ,kumekuwa na mijadala ya mipana ya kisiasa hapa nchini na baadhi ya mijadala mingine imekuwa ikinikera sana haswa kwa baadhi ya wanasiasa uchwara (gutter politicians) kwa kuwaona wachaga wote wapo chadema na hivyo unapozungumzia chadema humtengi mchaga napata shida kwasababu mimi ni mwanaccm damu damu tangu nikiwa mtoto nimeingia ccm nikiwa mwanaskauti sasa ni mtu mzima nipo ccm bado,sasa jinsi watu wanavyolisema hili kabila langu vibaya kwa wale waliopo vyama vingine kama kina mbowe,lema,john mrema,komu n.k napata shida kwamba sisi wachaga tuliopo huku ccm tupo kimakosa tumekuja kwenye kabila gani,je ccm ni chama cha kabila gani naomba mnisaidie

CCM ni chama cha wote bila ya kujali kabila,dini au rangi. Dhana ya Chadema na uchagga inatokana na ukweli kwamba mwasisi licha ya kuwa mchagga, inawafuasi wengi kutoka kabila hilo ukilinganisha na makabila mengine na mngmt team ina wachagga wengi kuliko makabila mengine. Pia wafia chama wengi au wanachama watiifu ni kutoka kabila hilo. Hata CUF na upemba msingi wake ni huohuo.
 
kwahiyo ni dhambi ya mauaji kwa mchaga kuwa cdm unamaanisha
 
Mchaga anaogopwaaa!!! Na wajinga wajinga ila ukiwauliza Mchaga mnamuogopea nini hawana jibu SAHIHI na lenye USHAHIDI
 
Me naishi kusini,kila MCHAGA huku ni CHADEMA awe muuza vocha,TRA POLISI MABENKI WAFANYABIASHARA WAKAWAIDA na MAGEREJI nk.,sasa hii ndio inakera,na tuna macho na tuna masikio,ni kama CUF kila MPEMBA ni wao na wamezagaa TZ kama WACHAGA,ushauri wa bure kwa MPARE MNYIKA awashauri wakina MBOE na SLAA,hawawezi kuchukuwa DOLA kwa kutegemea kanda moja.
 
Kanda ya kusini au, chezea Mchaga wewe. Kaa utegemee kupata riziki hapo ulipo uone kama riziki itakufuata. Riziki inatafutwa haikufuati ulipo.
 
Tuacheni huu ujinga wakuhubiri chuki sa kikabila nafikiri tulio wengi wa Tz hatujui athari sa ukabila ndo maana tunafanya mchezo. Ndugu sangu wa Tz nawaomba tufanye siasa lakini swala la ukabila tuliache lilivyo manake litatu cost kama taifa. Nasema hivi kwa sababu nina mfano msuri wa wensetu wa kenya na kama hapa jf kunamtu amefanikiwa kutembea kenya nishahidi wahili
 
Back
Top Bottom