Nawaomba wana CCM walio wachagga waseme, Mh Cyril Chami, Aggrey Mwanri, mnasemaje kuhusu kauli ya kijana wao Nape???
Mkuu nina hakika hii nape akiipata lazima atalia na hatadhubutu tena kukaa majukwaani. Naomba namaba yake nimtumie kwenye ujumbe mfupi wa simu. Plz nipe no. yake
Huyu mpuuzi kupita maelezo sikuwa naamini kwamaba NAPE ana akili fupi kiasi hiki watanzania wana matatizo lukuki umeme, bei za vitu, makazi duni, ajira hamana, huduma za afya duni elimu inalekea kaburuni angetueleza ni kifanyike walau kujaribu kupunguza haya matatizo, badala yake anakuja na upupu wa ajabu hata sisi wana CCM wenye upeo hatataweza kulea huu upuuzi wakeNawaomba wana CCM walio wachagga waseme, Mh Cyril Chami, Aggrey Mwanri, mnasemaje kuhusu kauli ya kijana wao Nape???
Mimi Nawashauri CDM wasichukue Muda Mwingi kushindana na Nape. CDM ina nguvu ya Umma Nyuma yake na yeyote anayeenda Kinyume na CDM anaenda Kinyume na Nguvu ya Umma na Nguvu ya Umma hakika Itamhukumu
Sipendi ila Natabiri Nape Kupopolewa na Mawe kwa Baadhi ya Maeneo
Aissee babangu, ndo kweli Chadema ni chama cha kichagga. Ndo maana wafanya kampeni za mikoa ya Wachagga tu, aissee babaangu. Aissee babaangu, wamekishtukia chadema, aissee babaangu.
Nawaombeni UONGOZI wa CDM UTOE tamko la kulaani hii sumu inayotaka kuletwa na huyu NAPENawaomba wana CCM walio wachagga waseme, Mh Cyril Chami, Aggrey Mwanri, mnasemaje kuhusu kauli ya kijana wao Nape???
Huu wa watanzania mnaodhani ninyi mumewashikia akili zao za kuchambua pumba na mchele..kwa hiyo kila msemalo au kutenda ni sahihi wakati ni kwa manufaa yenu,familia na jamaa zenu..Umma wa wapi?labda wa moshi mjini, au wale wavuta bangi wanaokusanyika kwenye mikutano na maandamano yao
Kweli nyie wapuuzi sana,subiri aende Moshi kama hawajampopoa mawe kwa upuuzi wake.CDM ina nguvu ya umma si Kilimanjaro peke yake.Unless habari zinazoletwa hapa si za kweli.Picha zinathibitisha hilo,from Mbeya to Sukuma Land.Maneno ya Nape ni ya kutapa tapa,hayatasaidia kwasababu si ukweli kwamba wachagaa hawachangamani na makabila mengine.Nape you are stupid and for sure i hate your stance,and ways of thinking.Why be desparate like a prostitute kama unalipenda Taifa and you are young?This aint the way to go.Nape you are a member in here.Nadhani huna ujasiri tena wa kulog in na kujibu hoja coz unajuwa mmeishiwa hoja na sasa mnaleta viroja.Umma wa wapi?labda wa moshi mjini, au wale wavuta bangi wanaokusanyika kwenye mikutano na maandamano yao
Aissee babangu, ndo kweli Chadema ni chama cha kichagga. Ndo maana wafanya kampeni za mikoa ya Wachagga tu, aissee babaangu. Aissee babaangu, wamekishtukia chadema, aissee babaangu.
hii dhambi itawatafuna wote kama huyu dogo nnape inavyomtafuna sasa hiviJk na udini nape na ukabila
nimekugongeea thanks kule, eti JK kasema maneno ya nnape yanamuwakilisha yeyeHuyu mpuuzi kupita maelezo sikuwa naamini kwamaba NAPE ana akili fupi kiasi hiki watanzania wana matatizo lukuki umeme, bei za vitu, makazi duni, ajira hamana, huduma za afya duni elimu inalekea kaburuni angetueleza ni kifanyike walau kujaribu kupunguza haya matatizo, badala yake anakuja na upupu wa ajabu hata sisi wana CCM wenye upeo hatataweza kulea huu upuuzi wake