Nape: CHADEMA wamepanga kufanya fujo mkutano wao Morogoro

Nguvu ya vijana ccm ni hatari! Hapa nape na point 0 zake, kule mwigulu na first class desa yake! Kweli ccm imekwishaa!
 
Nape ananikumbusha yule katuni wa gazeti la SANI aitwae Kipepe. . . . Hafanikiwi, na anafanya yale yale.
 
....Amewaomba polisi wamuombe Dr Slaa ushahidi kuwa CCM wameingiza silaha kwa ajili ya vijana wao waliopo makambini, akiri kuwa uwa CCM uwa wanawaweka vijana makambini kujadili mambo mbalimbali.

....Asema CHADEMA wamepanga kujifanyia fujo kwenye mkutano wao utakaofanyika Morogoro mjini.

My take:

Hivi itawezekanaje wewe kujifanyia fujo kwenye mkutano wako mwenyewe?

Source: ITV

Nape bado siku yako magamba watakumwaga utakosa pa kukimbilia babako alikuwa na busara we wajifanya hamnazo
 
maagizo ya nape kwa watendaji wa serikali hayajawahi kutekelezwa,wanampuuza tu.kwanza hawamtambui na wala si bosi wao.
 
....Amewaomba polisi wamuombe Dr Slaa ushahidi kuwa CCM wameingiza silaha kwa ajili ya vijana wao waliopo makambini, akiri kuwa uwa CCM uwa wanawaweka vijana makambini kujadili mambo mbalimbali. Asema CHADEMA wamepanga kujifanyia fujo kwenye mkutano wao utakaofanyika Morogoro mjini.
Sikuwa nafahamu kwamba Polisi wanafanya kazi kwa kuamriwa na CCM na Nape wao! Maelezo mazima ya Nape yanaashiria mtu mchovu, aliyekata tamaa na kuchanganyikiwa kwa kuona CHADEMA wanagundua hila zao kila wanapozipanga. Anakanusha kitu gani na anakiri kitu gani? Ana akili kweli huyu? Hao vijana wanaosemwa na DR. Slaa wanafahamika na kila mtu kasoro Nape (?) na fujo zao ziko documented na zinaeleweka za karibuni zikiwa kule jimboni kwa Mwigulu walikovamia mkutano halali wa CHADEMA na kusababisha fujo zilizosababisha kifo na majeruhi ambapo serikali "Sikivu" yenye jeshi lenye weledi na intelijensia za kutosha imeshindwa kabisa kupeleleza na kupata chanzo cha fujo zile! Shame on you Nape and your worn, delapidated and outdated CCM! History will judge you all.
 
Nape wala usijisumbue na hiki kibabu kukishtaki msamehe bure, cheti cha Mirembe hospital kinampa kiburi na kutamka lolote analotaka.Ana kinga ya mahakamani na polisi we aushangai Mtikila mwenye akili timamu kila siku anaburuzwa mahakamani .Utapoteza muda wako..
 
Kwa kauli hiyo CCM wanaandaa kufanya fujo kwenye mikutano ya CDM ili ikitokea waseme "Tulijua"
 
nape nakushauri kama unataka ccm isife 2015 achana kabisa na kutaja nene chadema kama unaweza jaribu kumtembelea kila mwana-ccm popote aliko ili uwarudishe kundini na itakusaidia kuisahau chadema maana siku hizi ukilala unaota chadema.
 
Pix-6.jpg

Jitihada za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) za kuwafikia wanachi ili kunadi sera zake, hususan katika mikutano inayoendelea katika mkoa wa Morogoro, zilikumbana na vikwazo mbali mbali katika baadhi ya maeneo, kama inavyoonyesha pichani, mtaro uliochimbwa katika barabara ya kuingia kijiji cha Namgezi kitongoji cha Kambi ya Keya jimbo la Ulanga Mashariki, kwa lengo la kuzuia magari yasipite.Picha na Joseph Senga
source: www.hakingowi.com
Katika hili la kuchimba barabara hivi na kuhatarisha maisha ya ambao wangepita na magari maeneo haya, Serikali lazima ichukue hatua bila kujali ni nani wangepita hapo. Haipandi akilini kuona Serikali imenyamaza katika hili, ama nalo linaundiwa tume? Maisha ya watu yamehatarishwa, wahusika lazima watafutwe na sheria ichukue mkondo wake. Tukilinyamazia hili, hakika tunaweza shuhudia watu wanahujumiwa hata kupoteza maisha kwa kisingizio ni wa UPINZANI, jamani UTU na UTANZANIA UTANGULIE KATIKA HAYA YOTE, nitafurahi Kmati ya Usalama ya Mkoa ikishughulikia hili.
 
“my majesty mr. Queen sir,

horrible ministers and members of parliament, invented guests, ladies under gentlemen.

I hereby thank you completely…..mr. Queen, sir; and also what he has done for me and my fellow uganda who come with me.

We have really eaten very much. And we are fed up completely:
And also very thanks to you keenly open up from all windows:
So that those plenty climates can come into lunch. But before i go back to my country with a plane from the entebbe airport of london i wish to invitation you mr. Queen, to become home to uganda so that we can also revenge on you .

You will eat a full cow: And also feel up your stomach and walk with difficult because of full stomach completely.

Even when you want to rest at night; i will make sure that you sleep on top of me in the top up stairs of my mansion completely so that you can enjoy all the gravity of fresh air.

“but now am sorry because i have to tell you that i have made a short call on you only. But next time i shall make a long call
on you to last the whole moon completely. Thank you very much to allow me to undress you completely before these extinguished
ladies under gentlemen sir.

Lastly but not list, i ask the band to play our international anthem of the republic of uganda and also the british international anthem…your majesty sir, i thank you from the bottom of my heart and from the bottoms of all the people of uganda .

With this few words i thank you sir.

By idd amin

nahisi kama umetuibia chenji hivi........................ Je hii ni kweli?
 
haka kajamaa kana kera sana utafikiri kenyewe ndio kazee cha miaka mingi maana kana lopoka sana. Hivi jamaa kweli kana sifa hata ya kuwa mwenezi? coz anachokifanya kama mtu anaye zungumza kijiweni. Naamini ipo siku ataumbuka.
 
Nape Naona Uzee Umekuja Mapema sana

Naona nape anampango wa kupunguza members wa JF kwa watu kupigwa ban za maisha kutokana na matamshi yake yanayochefua.

nami nikichangia zaidi ya hapa ntakula ban.

Bye to this thread
 
NAPE, Uongozi ulikuona wewe ni Kijana na kwamba ungeondoa fikira za kuzeeka kwa CCM lakini ninavyoona afadhali enzi za Mzee K N Mwiru ambapo Chama kilikuwa na maadili na siri! sasa unachokataa mbele ya waandishi ni kitu gani wakati inaonyesha wazi kuwa unatangaza fujo zilizoandaliwa na CDM kwenye mkutano wa CDM!!!! ili uhalalishe vitendo vya vijana wa CCM watakaoingia ktk mikutano ya CDM kama wafuasi na lakini mpango ni kuanzisha fujo. Nguvu ya mabadiliko haina kizuizi! Kubali kuishi na CDM otherwise M'VI zitakuota kabla ya muda!!! YETU MACHO
 
Ngoja nilale manake nimecheka hadi basi hivi queen aliambulia kitu kweli jamani Iddi Amin alikuwa anajidai na broken english yake

Ndo Nepi huyo, always out of context na broken English yake
 
nape ccm is using you for nothing... your so young in politics be careful..... achana na maneno ya kashifa kwa wanasiasa wakongwe... kwanza unajua kabisa nani alikuwa mshindi kura za urais 2010. please..... wananchi wameshawachoka na hupendwi man. chama chako hakina jipya..... watu wanataka yafuatayo:

elimu bora ya msingi na secondary
afya - zahanati ziwa na dawa za kutosha katika kila kijiji, wamama wajifungue bila matatizo.
raslimali za taifa ziwanufaishe wananchi - toa hoja kwa nini watu wasiipende chadema, una pending kibao ulisema utazifanyika kazi hadi leo longo longo kibao....

sasa kama hujui kusoma alama za nyakati kuna siku utakungutwa mawe ukiendelea kuwaona watanzania ni mafala katika nchi yao tajiri.

ni ushauri tu - kama unakula vizuri ulala pazuri kwa hela za chama chako basi kuna watu wanalalia uji kwa siku for your information. mimi nakuona wewe ndio umezeeka zaidi ya dr slaa... sababu zifuatazo

Hutumii akili (IQ) kujibu hoja za CDM - Unakurupuka bila kufanya utafiti -sasa mpaka ikifikia watu wanaanza kuhoji elimu yako basi hilo ni TATIZO.
 
hivi redioni na kwenye luninga habari moja hutofautiana na nyingine hata kama ni habari hiyo hiyo na ni kampuni moja? manake kwenye radio one nilichosikia ni kwamba amekanusha uvumi ulioenezwa na chadema kwamba CCM imeingiza kontena la silaha bila kibali. pia akasema ni kweli ccm huwa wanadesturi ya kueka vijana kambini ili kuwafunza mambo ya chama lakini kwa sasa hakuna kambi hata moja yenye vijana wa ccm.

kwenye kauli hii nimegundua kwamba yawezekana wameagiza ila wanakibali so cdm wasilalamike.
pili yawezekana vijana walishafuzu masomo yao.
 
kimsigi alyemteua ndo natakiwa kuhojiwa , ni vigezo gani nape anasitahiki, wakati kwenye uvccm alifukuzwa kwa ajili ya kuropoka.na si hilo tu mpka alipendkeza afukuzwe ccm.je vigezo gani ambavyo ?vigezo gani vilibadilika akawa nguzo ya kukijenga chama?kama kitaasisi kidogo kama uvccm kilimshinda akina lowasa na nchimbi wakaamua kumfukuza, iwe leo awe msemaji wa chama?maswali ya kimsingi , leo yapata kama siku 18 cdm inafanya mikutano yake kata zote zote mkoa wa morogoro, ni wapi ailisikia kinafanya vurugu badala ya kuchapa M4C?iweje sasa aseme CDM kinataka kafanya vurugu morogoro?huyu ni wivu na roho ya kushindwa , hivi yeye hanaujasiri wa kufanya ambayo cdm inafanya?lakini nimefurahi kwa kukiri kuwa uvccm huwa inandesha makambi, kwa hiyo dr.slaa yuko sahihi kuwa wanafundisha vijana wao kwenye makambi haya kufanya vurugu kwenye mikutano ya cdm.NAPE DOMOKAYA MWACHE AENDLEE KUKIUA CCM
 
Back
Top Bottom