Nape: CHADEMA wamepanga kufanya fujo mkutano wao Morogoro

chadema wajifanyie fujo/!!!!!!!!!!!!!!! nilikuwa naangalie habari ya itv apa kwangu na wanangu wa miaka minne na nusu yani baada ya nape kutamka tuu kwamba kuna taarifa wamezipata kwamba chadema wanataka kujifanyia fujo kwenye mkutano wao, niemabulia maswali matatu magumu kutoka kwa mwanagu...
1 baba chadema ni nan, na huyu anayeongea kwenye tv sasa hivi ni nani?
2 hivi baba unaweza kutoboa ndoo ili mama asiende kuteka maji yako ya kesho kuoga ili uende kazini?
3 ccm ni nini?

wanajamvi naomba mnisaidie kumjibu huyu mtoto.
 
CCM muwe wavumilivu kwa huyu MZEE SLAA anazeeka vibaya lakini mjue kuwa si yeye ni UZEE, akili za mzee hurudi kuwa kama za mtoto mdogo, mvumilieni siku zake zinahesabika.
 
nape m. Na fikra za kusadikika, huyu jamaa atakuwa anafikiria kama riz hivi!! Hahahahaha homa ikizidi sana hata dawa utalazimishwa kuzinywa. Cdm kama farasi hivi kwa speed, na ccm wauaji kama matrector yanu ya kilimo 1. Poleni sna

nape kawa kama juha ivi eh kweli ccm inakufa, yani ccm ina jeshi, polisi, tiss, mahakama, pccb ati wanashitaki kufanyiwa fujo na cdm, mkome mlidhani mtatutawala milele, jiandaeni kuwa oposition paty
 
Akiongea na waandishi wa habari Nape ameiagiza serikali hasa jeshi la polisi ikachukue ushahidi kwa Dr slaa kuhusu uingizwaji wa silaha nchini na hisi upuuze na kama itabainika mtu yeyote kuhusika atajwe hadharani.

Kabla aja iagiza serikali, Nape amekana tuhuma hizo zilizo tolewa na Katibu mkuu wa Chadema Dr slaa kuwa ni za uongo Nape alifika mbali zaidi na kusema Dr slaa ana zeeka vibaya ni vema akaachana na siasa.
Na mnukuu "Dr slaa ana zeeka vibaya ni vyema akaachana na siasa na kuwaachia vijana"

(Hilo lilinifanya nigundue jinsi Nape anavyo muogopa Dr slaa na kuitaji aache siasa).

Nape aliendelea kusema kuwa Dr slaa ni muongo kwani alisema ccm inaingiza kontena la kura kipindi cha uchaguzi 2010 na ccm ikamsamehe, lakini kwa kipindi hiki atatakiwa ajitokeze hadharani kuwaomba msamaha wananchi kwa kusema uongo.

(Hapa ilinibidi niamini kuwa Nape ni mtu wa kuongea bila ushahidi)



Nape hakuishia hapo aliendelea kusema chadema wamepanga kufanya vurugu morogoro kwenye mikutano yao.

(Hapa Nape alinifanya niamini kuwa analiagiza jeshi la polisi kuvuruga au kuzuia mikutano ya cdm morogoro kwani iweje mtu apange kuvuruga mkutano wake?)


ushauri mgodo kwa Nape ni vema akawa mtu wa kuongea kwa ushahidi, kwani nilitegemea yeye kutumia mkutano huo kutoa ushahidi wake jinsi chadema inavyo ingiza pesa chafu nchini au kuli agiza jeshi la polisi kufata ushahidi kwake, lakini ameendelea kuwa mtu wa kuongea na waandishi wa habari bila kujiandaa.


Na ameendelea kuonesha hofu yake kwa kasi ya chadema.

Source: Mlimani Tv(Elimu Kwanza)
 
hilo kontena si limekamatwa pale bandarini na uwt nape anabisha nini? mpaka sasa lipo chin ya ulinzi wa jeshi
 
Hawa jamaa wanateswa na roho za watu waliowauwa na wengine kuwasababishia makovu ya kudumu kama kina Dr ulimboka
 
RIP NAPE.
Your wisdom deteriorates as more white hairs appear on your head!...absurd!
U r goin against the law of nature!
 
Ha ha ha aha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Et CDM hawana mwaka mmoja watakuwa wamekwisha sambaratika, Hv anaye sambaratika huwa anapata wanachama wapya mnalo NAPE, hadi utasema yote mwaka huu!
 
Waambie policcm wakamkamate/wakamhoji Dr. Slaa kuhusu hii tuhuma kama wanajiamini.
Mmemsusia chama chenu nape kwakuwa ni vuvuzela yeye ni kupiga kelele tuuu bila mpangilio.

kwa kuwa polisi waliuchuna kuchunguza madai ya nape kuhusu chadema kupokea fedha kutoka nje itabidi na hili la madai ya dr slaa walipotezee ili kusawazisha mambo vinginevyo wataonekana wana double standard.
 
chadema wajifanyie fujo/!!!!!!!!!!!!!!! nilikuwa naangalie habari ya itv apa kwangu na wanangu wa miaka minne na nusu yani baada ya nape kutamka tuu kwamba kuna taarifa wamezipata kwamba chadema wanataka kujifanyia fujo kwenye mkutano wao, niemabulia maswali matatu magumu kutoka kwa mwanagu...
1 baba chadema ni nan, na huyu anayeongea kwenye tv sasa hivi ni nani?
2 hivi baba unaweza kutoboa ndoo ili mama asiende kuteka maji yako ya kesho kuoga ili uende kazini?
3 ccm ni nini?

wanajamvi naomba mnisaidie kumjibu huyu mtoto.


Mimi nakusaidia la tatu tu, ccm = c c madhaifu.
 
Nape M. na fikra za kusadikika, huyu jamaa atakuwa anafikiria kama Riz hivi!! Hahahahaha homa ikizidi sana hata dawa utalazimishwa kuzinywa. CDM kama farasi hivi kwa speed, na CCM wauaji kama Matrector yanu ya Kilimo 1. Poleni sna

siyo trecta bali baiskeli ya miti
 
Halafu hao kina Mukama na Kinana wanamtazama tu kama hawamuoni, mtu anakivua nguo chama wao waaaaalah hawana habari. Hivi kweli hakuna mambo ya Chama ya kueneza, leo unabaki unaeneza mambo ya CDM. Nape akamatwe apelekwe Milembe
 
kwa kuwa polisi waliuchuna kuhusu madai ya nape kuwa chadema wamepokea fedha kutoka nje itabidi na madai ya dr slaa wayapotezee vinginevyo wataonekana wana double standard
 
Kama umeangalia vyombo vya habari, NAPE kasema kapata taarifa kuwa CHADEMA wamepanga kufanya fujo kwenye nkutano wao wenyewe morogoro mjini. Swala la kujiuliza, inawezekana kweli mkafanya fujo kwenye mkutano wenu wenyewe kama kweli siyo vichaa. NAPE are you serious with this?.

Leo Mapema Dk Slaa alisema kuwa CCM wametuma vijana kati ya 10-20 ili wafanye fujo kwenye mkutano wa CHADEMA huku wakiwa wamevaa magwanda yanayofanana na ya CHADEMA ili ionekane ni CHADEMA wamehusika. Kwa haya maneno ya NAPE inaonekana intelijensia ya CHADEMA iko makini
 
CCM muwe wavumilivu kwa huyu MZEE SLAA anazeeka vibaya lakini mjue kuwa si yeye ni UZEE, akili za mzee hurudi kuwa kama za mtoto mdogo, mvumilieni siku zake zinahesabika.

Uvumilivu upi tena maana kashawashika ccm pabaya mbili haikai moja haisimami na kama mshamtambua ni mzee kama huyo alafu anawakimbiza kama hivyo hamlali kwa kutunga njama na yeye bado anazigundua na kuzipangua kabla hamjazitumia, ni kuzeeka vibaya ama nikuzeeka vyema? Ogopa mtu mzima anawakusanya na kuwakimbiza ccm nzima kuanzia m/kiti wao aka mtalii na kuchafua wote
 
Back
Top Bottom