Nape: CHADEMA wamepanga kufanya fujo mkutano wao Morogoro

Chadema wajifanjie furo, NAPE umezidi kutumia masaburi, tafakari kabla ya kuongea wewe ni kijana usituaibishe.
 
halafu alivyo mbwiga wa akili wakati huo huo anatoa tuhuma kwa CDM kuwa wamepanga kufanya fujo na kuna couster 5 zimepeleka vijana morogoro, anakanusha shutma na anatoa shutma bila evidence, hahaha...sijui ndo ku'neutralize shutma walizopewa!!!!
 
Nimeangalia ITV-nape amesema kwa taarifa alizo nazo ni kwamba CHADEMA wamepanga kufanya fujo kwenye mkutano wao Morogoro mjini

Hivi katuka hali ya kawaida inawezekana ukafanya fujo kwenye mkutano wako mwenyewe?. Sasa Nimeamini kuwa CCM walikuwa wametuma vijana wao wafanye fujo huku wakiwa wamevaa magwanda ya CHAMDEMA hili ionekane CHADEMA wamehusika
 
Chadema wajifanjie fujo, NAPE umezidi kutumia masaburi, tafakari kabla ya kuongea wewe ni kijana usituaibishe.
 
Nape amewehuka anaropoka ropoka kama mwanamke aliye fumaniwa
 
Waambie policcm wakamkamate/wakamhoji Dr. Slaa kuhusu hii tuhuma kama wanajiamini.
Mmemsusia chama chenu nape kwakuwa ni vuvuzela yeye ni kupiga kelele tuuu bila mpangilio.
Cha msingi sio kukimbilia mahakama wala polisi. Ila ni aina ya siasa. Tunakubari kwa wingi wa porojo, sasa mnavutia wananchi wengi, na ukweli mnapata washabiki wengi. Ila sasa, mkue, muache siasa za maji taka, muanze siasa zilizo komaa. elezeni sera zenu na mkubalike kwa sera, sio kwa visingizio visivyo na ukweli. Muache kuropoka.
 
kama nape angekuwa mwanangu, ningebadilisha kwa gunia,la,ukwaju watu wanywe uji. Tabwe hiza kajizaa kabisa.
 
Pix-6.jpg

Jitihada za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) za kuwafikia wanachi ili kunadi sera zake, hususan katika mikutano inayoendelea katika mkoa wa Morogoro, zilikumbana na vikwazo mbali mbali katika baadhi ya maeneo, kama inavyoonyesha pichani, mtaro uliochimbwa katika barabara ya kuingia kijiji cha Namgezi kitongoji cha Kambi ya Keya jimbo la Ulanga Mashariki, kwa lengo la kuzuia magari yasipite.Picha na Joseph Senga
source: www.hakingowie.com

Hao wananchi wamejikomoa wenyewe. Kwani wataijenga wenyewe hiyo barabara.
 
Nape M. na fikra za kusadikika, huyu jamaa atakuwa anafikiria kama Riz hivi!! Hahahahaha homa ikizidi sana hata dawa utalazimishwa kuzinywa. CDM kama farasi hivi kwa speed, na CCM wauaji kama Matrector yanu ya Kilimo 1. Poleni sna
 
Nimechukizwa na kauli ya kusema dk anazeeka vibaya,. Nape jaribu kua na adabu hata kama ccm hamweshimiani ila mnaogopa,. Dk mpe heshima yake

CCM kuweni wavumilivu kwa huyu MZEE SLAA maana akili za mtu mzee hurudi na kuwa kama mtoto mdogo. mvumilieni ni mzee wetu huyu SLAA.
 
Nape, are u married? Post basi hata picha ya mkeo, never heard about her. Nisije nikachakache.
 
wanaweweseka tu hao magamba manake ktk mji wa morogoro cku hz mbili tatu magari ya CDM yaliyo na michata ya M4C yametawala sana ndo maana magamba hayalali yanajiuliza yatatokaje manake CDM now hata interior wanafika,na kwa tetesi tu kadi zote kama elf5 hv walizokuja nazo kwa ajili ya kuzoa w/chama wapya zimeisha,hapo ndo magamba yanapochoka kabisa wakati wenyewe waliamini hii ni ngome yao nayo inataka kutwaliwa
 
kama nape angekuwa mwanangu, ningebadilisha kwa gunia,la,ukwaju watu wanywe uji. Tabwe hiza kajizaa kabisa.

Huwa namkumbuka sana jamaa aliyekuwa anazungumzia Masabuli, aliona mbali sana. Nape ni kama bata aliyeko period!
 
duh.! Inaonekana Nappe ametekenywa pabaya, maanake haishi kushituka kama kijana alietoka kubalehe.!
 
....Amewaomba polisi wamuombe Dr Slaa ushahidi kuwa CCM wameingiza silaha kwa ajili ya vijana wao waliopo makambini, akiri kuwa uwa CCM uwa wanawaweka vijana makambini kujadili mambo mbalimbali. Asema CHADEMA wamepanga kujifanyia fujo kwenye mkutano wao utakaofanyika Morogoro mjini.

My take:

Hivi itawezekanaje wewe kujifanyia fujo kwenye mkutano wako mwenyewe?

Source: ITV

Bhange anazovuta Nape zimeshamuharibu ubongo wa nyuma
 
Back
Top Bottom