Naombeni kujua, hapa Tanzania ISP yupi ni bora katika Huduma ya Internet services na Email!

Adsl mkuu, maana siku hizi wameshusha bei mpaka 25,000 ndio sisi walalahoi tunaponea humo.
hii adsl niliendaga ttcl wakaniambia zinapatikana kuanzia mjini hadi sinza na ubungo wakanimbia kimara na mbezi ilikuwepo ila walikua wanaiba vifaa nyeti so option iliyokuwepo ni fiber na bei yake ni ndefu
 
Adsl ni tech ya zamani, Kimara na mbezi ni miji mipya pengine ndio maana miundombinu si mizuri.

Subiria Fiber itaenea tu, Gharama ni kubwa sababu waya hazijapita karibu na kwako ila watu wakianza kuvuta Installation zitakua bure.
 
Back
Top Bottom