Internet ya starlink inafanya kazi tanzania tatizo ISP Starlink ni vikwazo na sheria wala sio huduma

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,746
Unapozungumzia setelite tofauti na huduma zengine ambazo ni rahisi kuwekewa vikwazo mfano mfumo wa redio za sauti,mawasiliano ya simu na njia za waya au wireless zenye uwezo masafa yasio kwenda juu usawa wa bahari.

nimeleta mada kwenu sababu hiki kifaa nakitumia hapa tanzania na kwenye usajili wake ukiwa marekani yani sawa na king'amuzi cha azam usajii tanzania ukakituma marekani.
kiancho fanya kuweza kufanya ni kufata wapi setelite yake ilipo ambayo hata TCRA awezi kuzuia setelite kupita nje ya dunia.
hitimisho:kiufupi zinafanya kazi
hq720.jpg

starlinkcombo-500x500.jpg
 
unapozungumzia setelite tofauti na huduma zengine ambazo ni rahisi kuwekewa vikwazo mfano mfumo wa redio za sauti,mawasiliano ya simu na njia za waya au wireless zenye uwezo masafa yasio kwenda juu usawa wa bahari.

nimeleta mada kwenu sababu hiki kifaa nakitumia hapa tanzania na kwenye usajili wake ukiwa marekani yani sawa na king'amuzi cha azam usajii tanzania ukakituma marekani.
kiancho fanya kuweza kufanya ni kufata wapi setelite yake ilipo ambayo hata TCRA awezi kuzuia setelite kupita nje ya dunia.
hitimisho:kiufupi zinafanya kaziView attachment 2895164
View attachment 2895162
Endelea kutiririka mkuu. Tunaweza kukipataje na angent atapatikanaje.
 
KAMA HUJUI NYAMAZA NA USIJIAIBISHE BOSS
Brother. I do satellite tv installation as a hobby. Najua A- Z kuhusu mawimbi ya satellite na ufikaji wake pamoja na vifaa vyake. Yes kuna uwezekano wa mawimbi ya Starlinks kufika Tanzania na nchi nyingine kulingana na malengo yake. Ila kwa Azam tv (mawimbi yake hayafiki Marekani!) Hata uwe na dish la ukubwa wa uwanja wa mpira. Hilo hakuna ubishi.

Hii ramani ndio uwezo wa kushika Azam tv. Ukiwa na dekoda Yao unaweza kushika eneo lote hilo lenye kivuli kwa dishi za cm 50-90. Nje ya hapo kwa maeneo ya karibu utahitaji dishi kubwa zaidi.
Polish_20240205_182227423.png
 
Msaada wakuu mimi niko na shida ya kuangalia mpira ligi ya bongo nina smartphone ina bando mchawi ni account ya azamTv max yangu kifurushi kimeisha sasa hapa usawa haukabi kwa mwenyewe azamTv decoder ambae hatumii kweny cm au hata anaetumia anisaidie ni angalie hata kwa leo tu wajameni.. Au aje tubadilishane anipe ya azamTv mimi nimpe ya Dstv.. Asante, Dm tafadhari.
 
Back
Top Bottom