Yamungu Jeremiah
Member
- Jul 16, 2021
- 33
- 23
Habari Wana Jf,kama kichwa Cha habari kinavyojieleza.Mfano nataka kufungua ofisi/cafe,niweze kutoa na huduma ya wifi pia.Kwa uzoefu wako,ni ISP gan ungependekeza kuomba huduma husika?
Mfano Konnect wanatoa huduma ya internet kwa njia ya satellite,kama kuna mwenye uzoef wa kutumia huduma zao au kuwafaham vizuri naomba tusaidiane pia.
Kwa upande wa Tigo
Router ambayo ina uwezo wa kuunganisha internet kwenye vifaa hadi 10 bei yake ni Tsh 69000/-. Ukinununua router hiyo utapata ofa ya GB 40 kwa mwezi mmoja pia wana router ambayo ina uwezo wa kuunganisha hadi vifaa 32 bei yake ni Tsh 149,000/- unapata ofa ya GB 80 kwa mwezi mmoja.
Kwenye huduma ya home internet vifurushi vyake kwa wiki ni;
Standard TSH 5,000/- 3GB
Standard Plus TSH 10,000/- 6GB
Premium TSH 15,000/- 11GB
Vifurushi vyake kwa mwezi ni;
Standard TSH 20,000/- 12GB
Standard Plus TSH 35,000/- 25GB
Premium TSH 50,000/- 37GB
Pia kuna vifurushi vya siku 90 kwenye huduma ya home internet kama ifuatavyo;
Tsh 200,000/- GB 100
Tsh 350,000/- GB 200
Asante