Mlachake JF-Expert Member Oct 13, 2009 4,412 4,559 Oct 26, 2009 #1 Hivi wema sepetu anafanya kazi gani?
Asprin JF-Expert Member Mar 8, 2008 68,012 95,358 Oct 26, 2009 #2 mlachake said: Hivi wema sepetu anafanya kazi gani? Click to expand... Kwanza tuambie na wewe unafanya kazi gani kabla hatujaendelea na umbea wako.
mlachake said: Hivi wema sepetu anafanya kazi gani? Click to expand... Kwanza tuambie na wewe unafanya kazi gani kabla hatujaendelea na umbea wako.
Nduka JF-Expert Member Dec 3, 2008 8,552 2,360 Oct 26, 2009 #3 Kazi yake ni msanii wa kuigiza filamu.
Nduka JF-Expert Member Dec 3, 2008 8,552 2,360 Oct 26, 2009 #4 Chrispin said: Kwanza tuambie na wewe unafanya kazi gani kabla hatujaendelea na umbea wako. Click to expand... Mpwa kusoma unashindwa hata kuangalia picha hutaki? huyu jamaa ni mlachake.
Chrispin said: Kwanza tuambie na wewe unafanya kazi gani kabla hatujaendelea na umbea wako. Click to expand... Mpwa kusoma unashindwa hata kuangalia picha hutaki? huyu jamaa ni mlachake.
Asprin JF-Expert Member Mar 8, 2008 68,012 95,358 Oct 26, 2009 #5 Burn said: Mpwa kusoma unashindwa hata kuangalia picha hutaki? huyu jamaa ni mlachake. Click to expand... Hahahaha! Mpwa kumradhi! Lol!
Burn said: Mpwa kusoma unashindwa hata kuangalia picha hutaki? huyu jamaa ni mlachake. Click to expand... Hahahaha! Mpwa kumradhi! Lol!
PakaJimmy JF-Expert Member Apr 29, 2009 16,203 8,725 Oct 26, 2009 #6 mlachake said: Hivi wema sepetu anafanya kazi gani? Click to expand... mHHH...! Kazi imeanza sasa!
Mlachake JF-Expert Member Oct 13, 2009 4,412 4,559 Oct 26, 2009 Thread starter #7 Burn said: Kazi yake ni msanii wa kuigiza filamu. Click to expand... Kazi itakua inalipa sana jombaa. http://www.globalpublisherstz.com/2009/10/26/az_fumanizi_la_wema.html
Burn said: Kazi yake ni msanii wa kuigiza filamu. Click to expand... Kazi itakua inalipa sana jombaa. http://www.globalpublisherstz.com/2009/10/26/az_fumanizi_la_wema.html