johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,131
Steve Nyerere amesema yeye siyo Chawa bali ni influencer na hatamani Kabisa kuwa Chawa kwa sababu Chawa ni mdudu mchafu Anayeishi kwenye uchafu
Aidha Steve amesema yeye na Wema Sepetu hawako kusubiri Teuzi bali kuisaidia CCM na Rais Samia kufikia Malengo
Utakuta Mtu ana degree 5 akishalewa anajitangaza yeye ni Chawa, amelalamikia Nyerere
Source: Clouds media
Kwako Lucas 😂😂😂