Naomba kuuliza, silver mercury (Hg) inapatikana wapi?

brazton

Member
Nov 3, 2021
49
56
Habari ndugu zangu,

Naomba kuuliza, silver mercury (Hg) inapatikana wapi?

Na sheria zake zikoje Kama unataka kuitumia
 
Mercury ni hatarishi sana ndio maana haiuzwi ovyo bila vibali maalumu

Mleta mada bila shake unataka kutumia katika kuvuna dhahabu.


Wenye majibu njooni
 
Back
Top Bottom