Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wema sepetu anafanya kazi gani?
Kwanza tuambie na wewe unafanya kazi gani kabla hatujaendelea na umbea wako.
Mpwa kusoma unashindwa hata kuangalia picha hutaki? huyu jamaa ni mlachake.
Kazi yake ni msanii wa kuigiza filamu.