Naomba kueleweshwa kwa wataalamu wa kodi za kuingiza magari nchini

DIKASHWA

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
376
953
Wataalamu wa kodi za magari naomba nieleweshwe kidogo juu ya hotuba ya Jana ya mawasilisho ya budget ya serikali kwa mwaka 2023 /2024.

Moja wapo ya kipengele ni magari yanayotumia umeme na gesi kusamehewa kodi

Pili kuna hii ya magari yenye kuanzia 1000 cc hadi 2000cc kutozwa ushuru wa 5% na 2000c ushuru 10% je waziri alimaanisha nini hapa.

Je, ni kodi mpya imeongezwa kwa aliyeagiza gari au kodi iliyokuwepo imepunguzwa. Na kama imeongezeka je inaashiria magari ya kuagiza yatapanda bei au kama imepinguzwa kwa 5% bei ya VAT kwenye mkeka wa TRA kwenye calculator yao itapunguza gari kodi?
 
Mi niongezee swali. Hii kodi itanihusu mimi ambaye nimegiza gari tayar ila litafika nchini mwishoni mwa mwezi wa 7 huko??
 
Wataalamu wa kodi za magari naomba nieleweshwe kidogo juu ya hotuba ya Jana ya mawasilisho ya budget ya serikali kwa mwaka 2023 /2024.

Moja wapo ya kipengele ni magari yanayotumia umeme na gesi kusamehewa kodi

Pili kuna hii ya magari yenye kuanzia 1000 cc hadi 2000cc kutozwa ushuru wa 5% na 2000c ushuru 10% je waziri alimaanisha nini hapa.

Je, ni kodi mpya imeongezwa kwa aliyeagiza gari au kodi iliyokuwepo imepunguzwa. Na kama imeongezeka je inaashiria magari ya kuagiza yatapanda bei au kama imepinguzwa kwa 5% bei ya VAT kwenye mkeka wa TRA kwenye calculator yao itapunguza gari kodi?
Wataalamu mkujeni mtoe msaada
 
Anamaanisha kwamba kodi imeongezeka kwa 5% na 10% mtawalia (respectively).
 
Hakuna unafuu, wanamaanisha kodi ya awali let say 5,000,000/= now utaongeza 5% yake so utalipa 5,250,000/=
 
Hesabu umetoa wapi hizi mkuu

Tumia calculator ya TRA kujua kodi

Then jua kuna port charges zitaongeka kulingana na aina ya gari.lkn pia tafuta clearing agent mwenye uzoefu maana akikosea kufeed data kodi lazima ije kubwa
 
Tusaidie kidogo hapo....akikosea kufeed data....
 
Hesabu umetoa wapi hizi mkuu

Tumia calculator ya TRA kujua kodi

Then jua kuna port charges zitaongeka kulingana na aina ya gari.lkn pia tafuta clearing agent mwenye uzoefu maana akikosea kufeed data kodi lazima ije kubwa
Naomba kuchangia kidogo hapa, watu wengi ambao wanaagiza magari ulaya na Japan kuja Tanzania hua wanatumia calculation ya TRA Kama kielelezo Cha kuamini hiyo ndio Kodi anayopaswa kulipa, lakini jibu sahihi ni hapana, Ile calcultor inatumika kama reference tu hivyo unaweza kufika hapa nchini, Kodi ikabakia hiyo hiyo au lah ikapada

Sasa ni wakati upi Kodi inaweza kupanda baada ya gari kufika au kubakia vilevile baada ya gari kufika

jibu ni endapo CIF yako kwenye invoice itasoma Bei ambayo kiuhalisia ni ndogo kuliko CIF ya TRA Basi Kuna asilimia kubwa sana Bei ikashuka au ikabaki vilevile na mara nyingi tra wanakomaaa ibaki vilevile kwa sababu wanaamini kutoka kwenye data base yao

Lakini CIF yako ya kwenye invoice ikiwa kubwa kuliko ya TRA basi ni 100% kwamba gari hiyo ushuru wake utaongezeka maana hesabu zitaanza kupigwa upya hivyo unapoenda kuagiza gari Kama ni mtu binafsi watafute watu wenye uelewa na Kodi za customs japo wakupigishe kidogo ili baadae gari inapofika usiwe na mzigo mkubwa wa Kodi
 
Sawa nazani nlishasema

Agent nliemtumia mimi ni TRIMEX company
Check kene social media utawapata lkn wana ofisi salamander tower pale GSM house

Lakini ukipata agent mzuri kodi huwa haipandi regardless CIF ulonunulia gari

Usiniulize sanaa. Ila amini ivo wakuu
 
Swali la kikodi la nyongeza, CIF Price inayotumika Ukienda kuangalia makadirio ya Kodi katika kuagiza Gari je itatumika kama ilivo hata kama original document za manunuzi zinazoonye CIF iko chini? je watatumia CIF price ipi kunikadiria kodi?
 
Hili swali limejibiwa mara nyingi sana humu. Endapo CIF kwenye calculator ya TRA itakuwa juu ya CIF ya gari unalonunua, CIF ya TRA ndio itatumika kukadiria kodi (utalipa inayoonekana kwenye calculator). Iwapo CIF ya gari unalonunua ni kubwa kuliko CIF ya kwenye kikokotoo cha TRA, tegemea ushuru kupanda. Hesabu hupigwa upya kutumia CIF yako.
 
Unachosema ni sahihi 100%

Na hapo ndipo kazi ya Clearing&Forwading agent mzoefu inaonekana ,narudia tena inaweza isiongezeke hata mia hata kama CIF ni kubwa kuliko ya kene calculator sitaki maswali zaidi kene hili
 
Swali la kikodi la nyongeza, CIF Price inayotumika Ukienda kuangalia makadirio ya Kodi katika kuagiza Gari je itatumika kama ilivo hata kama original document za manunuzi zinazoonye CIF iko chini? je watatumia CIF price ipi kunikadiria kodi?

Mkuu tatizo lako dogo sana
Ukipata agent mzoefu kodi unayoiona kene TRA calculator ndo utakayolipa achana na hizi CIF zitakuchanganya i had the same story
 
Unachosema ni sahihi 100%

Na hapo ndipo kazi ya Clearing&Forwading agent mzoefu inaonekana ,narudia tena inaweza isiongezeke hata mia hata kama CIF ni kubwa kuliko ya kene calculator sitaki maswali zaidi kene hili
Classified information 😁 nakupata vizuri sana.
 
Back
Top Bottom