Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,744
Mi sio mpenzi sana wa wanawake wenye 'afya' sana ila huyu mbona yuko poa tu 😋Unajaribu kusemaje kwa mfano.
Ni chibonge kama huyuView attachment 1631456
Mi sio mpenzi sana wa wanawake wenye 'afya' sana ila huyu mbona yuko poa tu 😋Unajaribu kusemaje kwa mfano.
Ni chibonge kama huyuView attachment 1631456
Mwambie ukweli kam unampenda ,kwamba hiyo ndiyo sababu inayochelewesha maamuzi yako ya kuo. Kunenepa kwa ajili ya kula hovyo ni uzembe ambao hutakiwi kuuvumilia sababu badaye ukioa utaanza kuchepuka nje kutafuta vipotabo.Hivyo atakuingiza kwenye dhambi mpya ya uzinzi baada ya kumaliza ile ya kuzini naye kwa sasaHi wakuu poleni na mihangaiko!
Mie Ni kijana sijaoa Ila nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja, nina kazi maisha yanaenda.
Huyu dada tupo wote more than 1.5year, kwakweli mtoto wa watu ananipenda, ananiheshimu mno, ananijali, na nimcha mungu na Mimi nampenda aswaa!
Tumepanga tutaishi wote in near future, Ila kitu kinachoniuma kwa mylove wangu ni mnene Sana, yaani ni chibonge na Mimi nina mwili wa kawaida tu, tukiwa wote utadhani mtu na mdogo wake, Ila najitahidi uyu mrembo apungue lakini yeye hana ushirikiano. yaani kwao wako vizuri anakula hovyo hvyo japo anajua Ni mnene.
Anakula vyakula vinavyo promote body weight kuongezeka, kila nkimuambie ajitahidi apunguze kula hovyo yeye anasema hawezi. Nampenda ananipenda, jamani nifanyeje huyu mtoto apungue uzito maana kadiri anavyokuwa anazidi kuongezeka yeye ata hashtuki.
Msaada wakuu, au nipige chini maana mwanamke mnene sometimes inaboa.
Hujamuelewa hapo juu. Ana maana vipi mkiwa kufanya mapenzi (dhambi) wewe na huyo chibonge vipi anajituma? Unaridhika na shughuri ya chibonge kwenye 6×6?. Kama jibu ni ndio,basi jitwishe hivyo anakutoshaHaaaa mtoto anajiheshimu Sana, sio mtenda dhambi Sana, japo naye ni binadamu
Haaaa chakushangaza ana matiti ya kawaidaa yaani saa sita, Ila ana mapaja makubwa, tako kubwa ,mkono mkubwa na kifuaKitandani unamuweza ama ndo akikulalia na titi hupumui?
Kitandan sio fundi maana mie ndo nimemtoa bikra, yaani hana experience afu pia ni mzitoHujamuelewa hapo juu. Ana maana vipi mkiwa kufanya mapenzi (dhambi) wewe na huyo chibonge vipi anajituma? Unaridhika na shughuri ya chibonge kwenye 6×6?. Kama jibu ni ndio,basi jitwishe hivyo anakutosha
Shukran mkuuMwambie ukweli kam unampenda ,kwamba hiyo ndiyo sababu inayochelewesha maamuzi yako ya kuo. Kunenepa kwa ajili ya kula hovyo ni uzembe ambao hutakiwi kuuvumilia sababu badaye ukioa utaanza kuchepuka nje kutafuta vipotabo.Hivyo atakuingiza kwenye dhambi mpya ya uzinzi baada ya kumaliza ile ya kuzini naye kwa sasa
Kama umemtoa bikra muoe..kisha mkishakuwa ndani ya ndoa anza kumpa stress atapungua mwenyewe bila kutumia nguvu,,Kitandan sio fundi maana mie ndo nimemtoa bikra, yaani hana experience afu pia ni mzito
Ana matiti saa sita alafu na kifua kikubwa🤣🤣🤔🤔 Inawezekanaje em fafanua vizuriHaaaa chakushangaza ana matiti ya kawaidaa yaani saa sita, Ila ana mapaja makubwa, tako kubwa ,mkono mkubwa na kifua
HaaaaaaTumechelewa Sana Ndugu Zangu
Nasema Uongo Ndugu Zangu
Aoa Ule Maisha Yanakwenda Kasi
Vitambi Hivyo Ni Bahati, Apungue Iweje
Stress, sintamtesa bureKama umemtoa bikra muoe..kisha mkishakuwa ndani ya ndoa anza kumpa stress atapungua mwenyewe bila kutumia nguvu,,
Nategemea Ushauri Wako Utasaidia Hapa Kwenye Hili JamboAna.kilo.ngapi?
Hana matititi makubwa ana ya kawaidaa sanaAna matiti saa sita alafu na kifua kikubwa Inawezekanaje em fafanua vizuri
Haaaa vibonge migegedo hawahimili ata wanachoka mapemaWe mtie mastress plus mgegedo wa maana mbona anakonda hyo mkuu yaani ucku moja unapiga saba above hapo no need mazoezi kbsa atakonda mkuu