Nampenda sana ila hiki kikwazo kinaninyima raha

Hi wakuu poleni na mihangaiko!

Mie Ni kijana sijaoa Ila nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja, nina kazi maisha yanaenda.

Huyu dada tupo wote more than 1.5year, kwakweli mtoto wa watu ananipenda, ananiheshimu mno, ananijali, na nimcha mungu na Mimi nampenda aswaa!

Tumepanga tutaishi wote in near future, Ila kitu kinachoniuma kwa mylove wangu ni mnene Sana, yaani ni chibonge na Mimi nina mwili wa kawaida tu, tukiwa wote utadhani mtu na mdogo wake, Ila najitahidi uyu mrembo apungue lakini yeye hana ushirikiano. yaani kwao wako vizuri anakula hovyo hvyo japo anajua Ni mnene.

Anakula vyakula vinavyo promote body weight kuongezeka, kila nkimuambie ajitahidi apunguze kula hovyo yeye anasema hawezi. Nampenda ananipenda, jamani nifanyeje huyu mtoto apungue uzito maana kadiri anavyokuwa anazidi kuongezeka yeye ata hashtuki.

Msaada wakuu, au nipige chini maana mwanamke mnene sometimes inaboa.
Mwambie ukweli kam unampenda ,kwamba hiyo ndiyo sababu inayochelewesha maamuzi yako ya kuo. Kunenepa kwa ajili ya kula hovyo ni uzembe ambao hutakiwi kuuvumilia sababu badaye ukioa utaanza kuchepuka nje kutafuta vipotabo.Hivyo atakuingiza kwenye dhambi mpya ya uzinzi baada ya kumaliza ile ya kuzini naye kwa sasa
 
Haaaa mtoto anajiheshimu Sana, sio mtenda dhambi Sana, japo naye ni binadamu
Hujamuelewa hapo juu. Ana maana vipi mkiwa kufanya mapenzi (dhambi) wewe na huyo chibonge vipi anajituma? Unaridhika na shughuri ya chibonge kwenye 6×6?. Kama jibu ni ndio,basi jitwishe hivyo anakutosha
 
Kitandan sio fundi maana mie ndo nimemtoa bikra, yaani hana experience afu pia ni mzito
 
Mwambie ukweli kam unampenda ,kwamba hiyo ndiyo sababu inayochelewesha maamuzi yako ya kuo. Kunenepa kwa ajili ya kula hovyo ni uzembe ambao hutakiwi kuuvumilia sababu badaye ukioa utaanza kuchepuka nje kutafuta vipotabo.Hivyo atakuingiza kwenye dhambi mpya ya uzinzi baada ya kumaliza ile ya kuzini naye kwa sasa
Shukran mkuu
 
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu
Nasema Uongo Ndugu Zangu
😁😂😅😄😃😁😂😂🤣😃😅😁😂😂🤣
OA Ule Maisha Yanakwenda Kasi
Vitambi Hivyo Ni Bahati, Apungue Iweje
 
We mtie mastress plus mgegedo wa maana mbona anakonda hyo mkuu yaani ucku moja unapiga saba above hapo no need mazoezi kbsa atakonda mkuu
 
Back
Top Bottom