Nampenda sana ila hiki kikwazo kinaninyima raha

Hi wakuu poleni na mihangaiko!

Mie Ni kijana sijaoa Ila nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja, nina kazi maisha yanaenda.

Huyu dada tupo wote more than 1.5year, kwakweli mtoto wa watu ananipenda, ananiheshimu mno, ananijali, na nimcha mungu na Mimi nampenda aswaa!

Tumepanga tutaishi wote in near future, Ila kitu kinachoniuma kwa mylove wangu ni mnene Sana, yaani ni chibonge na Mimi nina mwili wa kawaida tu, tukiwa wote utadhani mtu na mdogo wake, Ila najitahidi uyu mrembo apungue lakini yeye hana ushirikiano. yaani kwao wako vizuri anakula hovyo hvyo japo anajua Ni mnene.

Anakula vyakula vinavyo promote body weight kuongezeka, kila nkimuambie ajitahidi apunguze kula hovyo yeye anasema hawezi. Nampenda ananipenda, jamani nifanyeje huyu mtoto apungue uzito maana kadiri anavyokuwa anazidi kuongezeka yeye ata hashtuki.

Msaada wakuu, au nipige chini maana mwanamke mnene sometimes inaboa.
Atapungua ukishamuoa. Ni suala la kusahausahau kuacha hela ya matumizi baadaye mwili wake utapungua tu.
 
Kitandan sio fundi maana mie ndo nimemtoa bikra, yaani hana experience afu pia ni mzito
Mmmh...! Kuna uwezekano wewe ndio huna ufundi. Unajijuaje kwamba wewe ndio fundi?. Labda yeye chibonge ndio fundi?. Nikutanishe nae,nitakupa majibu yaliyo hai
 
Kitandani unamuweza ama ndo akikulalia na titi hupumui?
😁😁 nilikuwa nae mmoja alikuwa akiweka kichwa chake na matiti kifuani kwangu mapigo yangu ya moyo yanabadilika mpaka ananiuliza...hapo ndo nikajua mi wangu ni vimbau mbau,mapema tuliachana yaani nilifikiria akizaa si atakuwa mama yangu ila 6x6 maji mengi vibonge na kulaumu anaumizwa huhuh
 
We mtie mastress plus mgegedo wa maana mbona anakonda hyo mkuu yaani ucku moja unapiga saba above hapo no need mazoezi kbsa atakonda mkuu
mmhhh, mkuu mtoa mada kashakwambia yeye ana mwili mdogo kuliko huyo mwanamke wake,sasa unapomwambia awe anapiga bao 7 kila cku si ni yeye atakonda zaid awe kama fito na mwisho uyo mwanamke akaanza kumwambia jamaa labda kashaunganishwa kwenye gridi ya taifa ya kumeza njugu kila siku
 
nilikuwa nae mmoja alikuwa akiweka kichwa chake na matiti kifuani kwangu mapigo yangu ya moyo yanabadilika mpaka ananiuliza...hapo ndo nikajua mi wangu ni vimbau mbau,mapema tuliachana yaani nilifikiria akizaa si atakuwa mama yangu ila 6x6 maji mengi vibonge na kulaumu anaumizwa huhuh
Duu wangu Hana maji mengi, hana matiti makubwa Ila ana paja kubwa, tako kubwa na kifua
 
Akuna mwanamke mwembamba Bora wewe umemkuta chibonge utajua size ya kitanda mapemba,

Wengine wanaoa vimbaumbau wakiwa wawili kitanda Cha 3*6 kinawatosha ila baada ya mda anakua kibonge unajikuta kila siku upo kwa fundi unaongeza size ya kitanda

kama unanisema Mimi maana nimekuwa chibonge hadi mume wangu anasema tubadili kitanda
 
Hi wakuu poleni na mihangaiko!

Mie Ni kijana sijaoa Ila nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja, nina kazi maisha yanaenda.

Huyu dada tupo wote more than 1.5year, kwakweli mtoto wa watu ananipenda, ananiheshimu mno, ananijali, na nimcha mungu na Mimi nampenda aswaa!

Tumepanga tutaishi wote in near future, Ila kitu kinachoniuma kwa mylove wangu ni mnene Sana, yaani ni chibonge na Mimi nina mwili wa kawaida tu, tukiwa wote utadhani mtu na mdogo wake, Ila najitahidi uyu mrembo apungue lakini yeye hana ushirikiano. yaani kwao wako vizuri anakula hovyo hvyo japo anajua Ni mnene.

Anakula vyakula vinavyo promote body weight kuongezeka, kila nkimuambie ajitahidi apunguze kula hovyo yeye anasema hawezi. Nampenda ananipenda, jamani nifanyeje huyu mtoto apungue uzito maana kadiri anavyokuwa anazidi kuongezeka yeye ata hashtuki.

Msaada wakuu, au nipige chini maana mwanamke mnene sometimes inaboa.
Nakuhakikishia, mshukuru tu Mungu kama ana nia, heshima na utu. Wanaume wengi tunaangalia body morphology, which can disappear due to life factors. Kama ningeamua kuoa, ningechangua tabia kama criteria ya kwanza, umri criteria ya pili na physical characters ya mwisho. Kuna watu wameoa wanawake warembo, ila kila siku ni majuto na machozi, wanateseka na hao warembo, hata urembo wa wake zao hawana faida nao tena. Mwombe sana Mungu akufunulie, kuna maandiko somewhere yanasema, Moyo wenye amani hutia afya mifupa. Tena yanasema...chunga sana Moyo wako maana ndipo zilipo chemichemi za uzima. Tamani kuhitaji mke mwenye tabia itakayokupa amani ya moyo wako, hapa nina maana ya mke mwenye moyo safi, tabia nzuri. Achana na kumchukia huyo binti, angalia moyo na tabia. Uzuri wa mke yawezekana usikusaidie lolote ila sifa tu mtaani, hata hiyo sifa haina msaada kwako
 
Wee sasa ndio wakubadilika ili ukubaliane nahali yake.

Mbona simpoo.
 
Shukran Sana mkuu
 
Abee liroo; utendaji wa nini?
Huo mda mliokuwa wote umeonaje utendaji wake katika kutenda dhambi?

kama vyote umeridhika navyo, Hiko kimoja kisikusumbue mkuu, yeyote yule utakayempata lazima atakuwa na lake la kuvumiliwa, naye anakuvumilia kwenye Jambo Fulani.

Huenda angependa anayeweza kumbeba, ona anakuvumilia kimbaombao wewe.

Shaurilo
 
Back
Top Bottom