Huyu mwanamke amekuwa mhitaji sana wa pesa

Paul dybala

JF-Expert Member
Jul 30, 2023
304
1,096
Eti wakuu wa jamii forum,je? hi ni sahihi kweli?ama Hamna mwanamke hapa ananichuna tu.

Iko hivi wiki iliopita niliomba namba kwa demu huyu ambae nilikuwa namuonaga Sana eneo anakofanyia kazi...ni hawa aina ya mademu wanavaa suluari laini au jeans zinabana Sana afu wanavaa na t shirt huku wakizikunjia kiunoni na zinakuwa zinatengeneza v mbele...wanavaa na yebo zimetunana Kama Manundu..

Sasa siku ya kwnza tu namuomba namba akadai hana meseji eti nitumie vocha tuchat,Mimi kiroho safi nikamtumia buku.

Siku ya pili akaniomba elfu mbili Tena ya vocha nikampa hapo jibu lolote la maana sijapewa.

Siku ya tatu niliomba nionane nae mtaani kwao sabb nilikuwa napita njia...alivoniona tu akajiskia njaa hapohapo nikampa ten..nikijua ataagiza chips yai na kidali halafu chenchi atarudisha Sasa tukapiga story nikaona kakausha...bhasi mi sikua na hiana tugaana akarudi kwao mi nikaendelee na Mambo yangu...

Kesho yake Tena asubuhi tu Yani nilivyomjulia hali
tu akaniomba nimkopeshe 7000 akidai atanirudisha siku mbili mbele nikaona isiwe tabu nikamtumia ...kumbuka hapo nishatumia Ile 1000,2000,10000 na saivi 7000...mi nikakausha nikamtumia.

Haya matukio ni siku nne tu toka tumejuana siku ya nne Tena kaomba buku tano akidai anajiskia hovyo kweli kaamka vibaya nikampatia...haya Sasa kituko ni hii siku ya jumapili ya juzi.

Tulikuwa tumepanga tutoke out...Mimi nikamwambia chagua sehemu yoyote tukafurahi pamoja,akanijubu sawa tutakutana kinyerezi mida ya sa 11 jioni...nikaona poa...Cha ajabu akaja na rafiki ake..

Hopo nilishangaa kweli...huyu mtu namtaka yeye halafu anakuja tena na mtu mwingine inakuwaje tena,?mi bhasi nikavungu...Sasa kilichonichosha ni namna tulivohudumia chakula na gharama ambazo kiukweli sikuwahi kujua Kama itakuwa ghali kiasi kile..

Muhudumu alimpa makange sijui...Kila mmoja na majuice ya boksi mawili mwawili Hadi nikawa nashaangaa...Sasa kilichonikera zaidi ni limhudumu linakuja linajichekereshe linaniletea kakitabu kidogo kimefunikwa kikalatasi Cha bill kikasoma 74000...

Yani mood ilikata palepale Kuna mda nilitaka nitoroke Kwanza jitu limekuja afu muda wote linachezea simu...

Nikalipia Ila demu alijua nimemind kiaina Ila nikavunga tu ili tusepe...

Huyu demu alivokuwa waajaab eti akaniomba Tena nauli ya kurudia na huyo rafiki ake..nilishangaa Sana kwa kweli nikampa buku tano nikasepa zangu...nawakt tungeweza kukaa sehemu tukatumia 15000 tu watu wawili tungesave pesa na nyingine ningempa ingemfaa sehemu huko aendako kwao.

Leo Tena ananipigia simu anashida ya 20000 ...wakuu nimemjibu Sina nikamwambia nitampa kesho jioni ila Bado nawaza Sana juu ya hizi tabiaa ni kweli atanifaa kweli kwa matumizi ya kuwa mke kweli huyu na naachana nae lasmi japo nampenda Ila ni demu mpuuzi mmoja hivi Hana hata future kumbe...
 
Wewe ni chuma ulete wake. 😂😂😂😂😂 Nashangaa sijui kwanini hadi muda huu hujakimbia kutoka humo kwenye hilo pori lililojaa wanyama wakali. 😂😂😂

Ila mkuu kizuri kina gharama kama unajiweza pambania kombe, ila kwa upande wangu nisingeweza kuhimili hiyo mikikimikiki.
 
Wewe ni chuma ulete wake. Nashangaa sijui kwanini hadi muda huu hujakimbia kutoka humo kwenye hilo pori lililojaa wanyama wakali.

Ila mkuu kizuri kina gharama kama unajiweza pambania kombe, ila kwa upande wangu nisingeweza kuhimili hiyo mikikimikiki.
Mkuu nahisi nikikaa nae mwezi tu ntakosa hadi nguo....demu ni mpuuzi kweli
 
Eti wakuu wa jamii forum,je? hi ni sahihi kweli?ama Hamna mwanamke hapa ananichuna tu.

Iko hivi wiki iliopita niliomba namba kwa demu huyu ambae nilikuwa namuonaga Sana eneo anakofanyia kazi...ni hawa ilitaka nitoroke Kwanza jitu limekuja afu muda wote linachezea simu...

uzi mmoja hivi Hana hata future kumbe...
jiongeze, sio kila kitu lazima uambiwe.

iko hivi, demu akikuomba sana pesa ujue hakupendi, anakutafutia sababu ili ujipige chini wewe mwenyewe.
 
Eti wakuu wa jamii forum,je? hi ni sahihi kweli?ama Hamna mwanamke hapa ananichuna tu.

Iko hivi wiki iliopita niliomba namba kwa demu huyu ambae nilikuwa namuonaga Sana eneo anakofanyia kazi...ni hawa aina ya mademu wanavaa suluari laini au jeans zinabana Sana afu wanavaa na t shirt huku wakizikunjia kiunoni na zinakumemjibu Sina nikamwambia nitampa kesho jioni ila Bado nawaza Sana juu ya hizi tabiaa ni kweli atanifaa kweli kwa matumizi ya kuwa mke kweli huyu na naachana nae lasmi japo nampenda Ila ni demu mpuuzi mmoja hivi Hana hata future kumbe...
Mkuu tumusanue au tukuache. Umeingia kwenye lion cage. Hapo anakuona boya na anafanya kusudi yani anakufanyia kusudi kabisa.
Wanakuchuna tu na wanakucheka
 
Option ya sehemu ulimwambia achague sio kosa lake

Kama ulihitaji kusave gharama ungechagua wewe ila ulihitaji kujiweka /usionekane mnyonge ndio matokeo yake hayo

Hili jambo la kuombwa pesa ifike sasa mtafute anayeendana na mfuko wao ili kuondoa malalamiko.

Kuwa wazi tangu
mwanzo "siwezi kumudu kislasi hiko" lengo langu ni hili......"kam unahisi muuzaji au kakukubali kwa lengo tofauti au unamalengo tofauti.

Pambana kijana ndio maisha hayo ,tafuta noti
 
Eti wakuu wa jamii forum,je? hi ni sahihi kweli?ama Hamna mwanamke hapa ananichuna tu.

Iko hivi wiki iliopita niliomba namba kwa demu huyu ambae nilikuwa namuonaga Sana eneo anakofanyia kazi...ni hawa aina ya mademu wanavaa suluari laini au jeans zinabana Sana afu wanavaa na t shirt huku wakizikunjia kiunoni na zinakuwa zinatengeneza v mbele...wanavaa na yebo zimetunana Kama Manundu..

Sasa siku ya kwnza tu namuomba namba akadai hana meseji eti nitumie vocha tuchat,Mimi kiroho safi nikamtumia buku.

Siku ya pili akaniomba elfu mbili Tena ya vocha nikampa hapo jibu lolote la maana sijapewa.

Siku ya tatu niliomba nionane nae mtaani kwao sabb nilikuwa napita njia...alivoniona tu akajiskia njaa hapohapo nikampa ten..nikijua ataagiza chips yai na kidali halafu chenchi atarudisha Sasa tukapiga story nikaona kakausha...bhasi mi sikua na hiana tugaana akarudi kwao mi nikaendelee na Mambo yangu...

Kesho yake Tena asubuhi tu Yani nilivyomjulia hali
tu akaniomba nimkopeshe 7000 akidai atanirudisha siku mbili mbele nikaona isiwe tabu nikamtumia ...kumbuka hapo nishatumia Ile 1000,2000,10000 na saivi 7000...mi nikakausha nikamtumia.

Haya matukio ni siku nne tu toka tumejuana siku ya nne Tena kaomba buku tano akidai anajiskia hovyo kweli kaamka vibaya nikampatia...haya Sasa kituko ni hii siku ya jumapili ya juzi.

Tulikuwa tumepanga tutoke out...Mimi nikamwambia chagua sehemu yoyote tukafurahi pamoja,akanijubu sawa tutakutana kinyerezi mida ya sa 11 jioni...nikaona poa...Cha ajabu akaja na rafiki ake..

Hopo nilishangaa kweli...huyu mtu namtaka yeye halafu anakuja tena na mtu mwingine inakuwaje tena,?mi bhasi nikavungu...Sasa kilichonichosha ni namna tulivohudumia chakula na gharama ambazo kiukweli sikuwahi kujua Kama itakuwa ghali kiasi kile..

Muhudumu alimpa makange sijui...Kila mmoja na majuice ya boksi mawili mwawili Hadi nikawa nashaangaa...Sasa kilichonikera zaidi ni limhudumu linakuja linajichekereshe linaniletea kakitabu kidogo kimefunikwa kikalatasi Cha bill kikasoma 74000...

Yani mood ilikata palepale Kuna mda nilitaka nitoroke Kwanza jitu limekuja afu muda wote linachezea simu...

Nikalipia Ila demu alijua nimemind kiaina Ila nikavunga tu ili tusepe...

Huyu demu alivokuwa waajaab eti akaniomba Tena nauli ya kurudia na huyo rafiki ake..nilishangaa Sana kwa kweli nikampa buku tano nikasepa zangu...nawakt tungeweza kukaa sehemu tukatumia 15000 tu watu wawili tungesave pesa na nyingine ningempa ingemfaa sehemu huko aendako kwao.

Leo Tena ananipigia simu anashida ya 20000 ...wakuu nimemjibu Sina nikamwambia nitampa kesho jioni ila Bado nawaza Sana juu ya hizi tabiaa ni kweli atanifaa kweli kwa matumizi ya kuwa mke kweli huyu na naachana nae lasmi japo nampenda Ila ni demu mpuuzi mmoja hivi Hana hata future kumbe...
Hahahaha jamaa unatoa hela kijinga saana.
 
Tafuta kitabu kinaitwa TUMGIDIE BWEGE! By Agoro Anduru kitakuelimisha mengi hutakaa upigwe kiboya tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom