Napitia magumu na makubwa moyo unaniuma natamani kuchukua maamuzi ila sina nguzo imara ya kusimamia naombeni ushauri

Cr wa familia

JF-Expert Member
Jun 18, 2023
1,063
1,405
Habari wana JF,

Kama mada isemavyo hapo juu mimi nina mpenzi niko nae kwenye mahusiano almost 3yrs nampenda siwezi sema tunapendana maana sijui upande wake ananichukuliaje

Now amebadilika sana amekuwa mtu asiyejali yani vitabia vyake anajirahisisha sana kwa wanaume hata nikiwa nae yeye hajali nikimwambia anasema hamna wa kumpangia aishi maisha gani

Lakini pia yeye suala la kugawa namba kwa wanaume kwake sio tatizo na hata akitongozwa anaona kawaida tu nikiliongelea hilo anasema I'm not married nakerwa na tabia zake inatokea kutokuelewana ndani kila siku nikiongea jambo dogo tu kuhusu mambo anayoyafanya anakuja juu basi nakuwa mpole sababu nampenda

Nimetega call recorder kwenye simu yake nimekuja kugundua kuna wanaume huwa anaenda kukutana nao kulingana na maongezi yao yanavyoenda na matukio yanayotokea nikimuuliza anasema ananipenda ila nimekuja kujua sina nafasi moyoni mwake

Naombeni ushauri ndugu zangu nichukue uamuzi gani maana nipo mwenyewe tafta yangu sio nzuri sana wakuu
Nawasilisha
 
EEWE KIJANA MWENZANGU KATIKA MAISHA TUJARIBU KUTUMIA MFUMO HUU ..... TUTAFTE KWANZA PESA HAWA VIUMBE WATAKUJA WENYEWE ..... ukianza kutafta mademu kwanza utakuwa na kazi mbili so usijitese tumia njia hii itakusaidia
Hata Ukiwa na hizo pesa akiamua kugongwa atagongwa tu, Cha umuhimu ni kutokuwapa nafasi sana moyoni, yani swala la kutafuta mke ni gumu sana wanawake sasahivi ni hamnazo tu.
 
Kweli kabsa kuhusu hlo nakuunga mkono na siwez pinga akiamua ila tatizo linakuja ameanza dharau baada ya kuwa na hao wengne
 
Habari wana JF,

Kama mada isemavyo hapo juu mimi nina mpenzi niko nae kwenye mahusiano almost 3yrs nampenda siwezi sema tunapendana maana sijui upande wake ananichukuliaje

Now amebadilika sana amekuwa mtu asiyejali yani vitabia vyake anajirahisisha sana kwa wanaume hata nikiwa nae yeye hajali nikimwambia anasema hamna wa kumpangia aishi maisha gani

Lakini pia yeye suala la kugawa namba kwa wanaume kwake sio tatizo na hata akitongozwa anaona kawaida tu nikiliongelea hilo anasema I'm not married nakerwa na tabia zake inatokea kutokuelewana ndani kila siku nikiongea jambo dogo tu kuhusu mambo anayoyafanya anakuja juu basi nakuwa mpole sababu nampenda

Nimetega call recorder kwenye simu yake nimekuja kugundua kuna wanaume huwa anaenda kukutana nao kulingana na maongezi yao yanavyoenda na matukio yanayotokea nikimuuliza anasema ananipenda ila nimekuja kujua sina nafasi moyoni mwake

Naombeni ushauri ndugu zangu nichukue uamuzi gani maana nipo mwenyewe tafta yangu sio nzuri sana wakuu
Nawasilisha
Achana naye. Narudia tena achana naye uumie sasa ila ukiendelea naye ndio ujue wewe ni mtumwa wa mapenzi
 
Kweli kabsa kuhusu hlo nakuunga mkono na siwez pinga akiamua ila tatizo linakuja ameanza dharau baada ya kuwa na hao wengne
Mkuu unaamini biblia au Quran? Mimi ni msabato ninaamini kwenye biblia, biblia inasema Mwanaume na atamuacha mwanamke isipokua kwa dhambi ya uasherati, yaani swala la uasherati kwa mwanamke hakuna mjadala, Sasa wewe kaka umeanza Kukuona akibadilika Bado humo tu unataka nini?...ondoka Mwenyewe bila hata ya kuaga.
 
Habari wana JF,

Kama mada isemavyo hapo juu mimi nina mpenzi niko nae kwenye mahusiano almost 3yrs nampenda siwezi sema tunapendana maana sijui upande wake ananichukuliaje

Now amebadilika sana amekuwa mtu asiyejali yani vitabia vyake anajirahisisha sana kwa wanaume hata nikiwa nae yeye hajali nikimwambia anasema hamna wa kumpangia aishi maisha gani

Lakini pia yeye suala la kugawa namba kwa wanaume kwake sio tatizo na hata akitongozwa anaona kawaida tu nikiliongelea hilo anasema I'm not married nakerwa na tabia zake inatokea kutokuelewana ndani kila siku nikiongea jambo dogo tu kuhusu mambo anayoyafanya anakuja juu basi nakuwa mpole sababu nampenda

Nimetega call recorder kwenye simu yake nimekuja kugundua kuna wanaume huwa anaenda kukutana nao kulingana na maongezi yao yanavyoenda na matukio yanayotokea nikimuuliza anasema ananipenda ila nimekuja kujua sina nafasi moyoni mwake

Naombeni ushauri ndugu zangu nichukue uamuzi gani maana nipo mwenyewe tafta yangu sio nzuri sana wakuu
Nawasilisha
Ukiona mbuzi anakenua meno si kwamba anafurahi bali anakaribia kukung'ata.

Usisubiri kung'atwa na mbuzi apo baadae chukua hatua kwa wepesi wewe ni mwanaume jasiri.
 
Habari wana JF,

Kama mada isemavyo hapo juu mimi nina mpenzi niko nae kwenye mahusiano almost 3yrs nampenda siwezi sema tunapendana maana sijui upande wake ananichukuliaje

Now amebadilika sana amekuwa mtu asiyejali yani vitabia vyake anajirahisisha sana kwa wanaume hata nikiwa nae yeye hajali nikimwambia anasema hamna wa kumpangia aishi maisha gani

Lakini pia yeye suala la kugawa namba kwa wanaume kwake sio tatizo na hata akitongozwa anaona kawaida tu nikiliongelea hilo anasema I'm not married nakerwa na tabia zake inatokea kutokuelewana ndani kila siku nikiongea jambo dogo tu kuhusu mambo anayoyafanya anakuja juu basi nakuwa mpole sababu nampenda

Nimetega call recorder kwenye simu yake nimekuja kugundua kuna wanaume huwa anaenda kukutana nao kulingana na maongezi yao yanavyoenda na matukio yanayotokea nikimuuliza anasema ananipenda ila nimekuja kujua sina nafasi moyoni mwake

Naombeni ushauri ndugu zangu nichukue uamuzi gani maana nipo mwenyewe tafta yangu sio nzuri sana wakuu
Nawasilisha
Pole sana...ila unachopaswa kujua Upendo una pande mbili ukiona unatoa upendo lakini hairudishiwi anza kustep aside mapema,ukiona una mpenzi lakini hakusikiliza anza kustep aside,ukiona unajibiwa fyongo jikatae .Kwenye mapenzi ya kweli kuna masikilizano.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom