KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,600
- 8,648
Ukiniuliza kiongozi gani unampenda mimi bila ya kupepesya macho nitakutajia Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!
Swali; Kwanini unampenda Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!
Jibu;
Jibu;
Swali; Kwanini unampenda Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!
Jibu;
- Nampenda kwa sababu zifuatazo
- Nikiongozi wa Nchi yangu, ni jukumu langu la kwanza mimi kama mtanzania kumpenda kama kiongozi wa nchi (Rais wangu)
- Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!, Amerudisha katika mstari wa kimataifa ambao tulicha uacha na kujiaminisha sisi tutakuja kupeleka mitumba ulaya yani nguo tulizozichoka kuwapelekea wazungu wavae,au kujiaminisha sisi tutakuwa tunatoa misada kwa nchi za Ulaya.
- Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!,Ni mwana mama mstahimilivu katika uwanja wa siasa anayeamini katika majadiliano,anayeamini hii ni nchi ya watanzania wote.
- Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!,Ni kiongozi ambaye hapendi kukurupuka katika medani za siasa.
- Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!, Ni Kiongozi anapenda kusikiliza watu,japo hili linaweza kuwa linatatizwa na waliomzunguka kwa maana washauri wake,ambao hawapendi mabadiriko ndani ya serikali na chama chake.
Jibu;
- Ndiyo kwa sabau hizi
- Kiongozi yoyote jukumu lake la kwanza ni kuwasikiliza wananchi wake hilo ndilo jukumu la kwanza kwa kiongozi yoyote Duniani kitendo ambacho Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! ameweza,
- Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Alisikiliza vilio vya mtoto wa kike kwa kujenga mashule karibu hili huyo mtoto wakike apunguziwe mwendo wakutembea na nyingine kuwekewa mabweni.
- Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Akuishia hapo alisikiliza kilio cha akina Mama akasema nitawatua ndoo kwakutembea mwendo mrefu Tumeona Miradi ya maji ikiwa inatekelezwa kwa wakati na maji sasa watu wanamwagilia mashamba!
- Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!,AAkaendelea kusikiliza vilio vya akina mama wajawazito ameongeza mahospitali kila wilaya na vituo vya afya kila kata! hilo halina ubishi.
- Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!, Sasa anakuja kumsikiliza huyu mama anayepikia kuni ambazo kitaalamu inaelezwa zinatoa moshi wenye sumu na watu wamepata ulemavu wa macho bila kujua kuwa kilichosababisha ni kuni za kupikia! leo ametangaza mkakati wa COOK CLEAN Na miradi kama ya Cooking Fund chini ya mashirika ya Umoja wa Mtaifa nchini imeanza huko vijijini Pilot regions mojawapo ni Dodoma
- Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!,Hayo ni mchache nimeyaelezea japo watanzania wanakihu ya kuona tunakuwa na katiba mpya ambalo ni jambo la msingi kwa nchi ambayo imeingia katika mfumo wa vyama vingi huku ikitumia katiba ya mfumo wa chama kimoja! hilo niswala linaloitaji utashi wa viongozi wa chama ila kama yeye utashi wake nikuona tunakuwa na katiba mpya na ndiyo maana ya kuwa na hizi 4R.
- Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!,Ni kiongozi mwenye utashi wa kisiasa Political will.
- Mwisho naweza kusema baadhi ya wateule wake mimi siwapendi kwa sababu,ni watu wasiopenda kubadilika na pia wanaendekeza unafiki!Si wakweli kutoka Rohoni!!