Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
- Thread starter
- #101
Maneno ya kufarijiana hayo ya ccmtatizo wako wengine chai kutwa mara tatu lazima sukari iadimike lakini ni kwa mda tu,
mambo mazuri yanaletwa.
Maneno ya kufarijiana hayo ya ccmtatizo wako wengine chai kutwa mara tatu lazima sukari iadimike lakini ni kwa mda tu,
mambo mazuri yanaletwa.
Hivi wewe ni Me au Ke?Dunia IPI !!!
Hahaha Dunia Inge shangaa
Kama nchi ingepewa WANYWA VIROBA NA MAZERO
MIZUKA NIHATARI SANA
Bado unazungusha mikono? Wewe utakufa mapema tu na utaiacha ccm madarakani, huenda ukamucha Magufuli akiwa Rais.Nakiona Kifo cha ccm Mkuu
Ohoooo....tunarudi kwenye mambo ya ugawaji?
Umerudi line toka nchi jirani ulipokwenda zungusha kiuno?Bado unazungusha mikono? Wewe utakufa mapema tu na utaiacha ccm madarakani, huenda ukamucha Magufuli akiwa Rais.
Aah nimekumbuka wewe ndiye kijana uliyekuwa unagombaniwa na wanaume mombasa kwa kucheza pool table vizuri. Rafiki yangu Onyango aliniambia kuwa alikufaidi sana si unamkumbuka? Yule mwenye mzuzu.Umerudi line toka nchi jirani ulipokwenda zungusha kiuno?
Usituamishe kwenye hoja mizuka nimibaya sanaAah nimekumbuka wewe ndiye kijana uliyekuwa unagombaniwa na wanaume mombasa kwa kucheza pool table vizuri. Rafiki yangu Onyango aliniambia kuwa alikufaidi sana si unamkumbuka? Yule mwenye mzuzu.
Ccm ni jangaZama za kunywa chai na pipi zinarudi tena, kwa ajili ya wapuuzi wachache!
Tulia akili wewe.Safi tu, taratibu tutafika. Sukari kitu gani bwana, kikubwa nafaka na madawa hospitali
Rangi yako halisi hii hapa.Ujue wewe nikipofu
Kumbe mnakuwaga namiwasho ya nyuma ndio maana mnazungusha viuno nchi jiraniAcheni miwasho ya nyuma, go @Magufuli go, ulipo tupo!
Naona mnatiana moyoNDIO MKUU