Sukari imeadimika nchini, imekwenda wapi?

The Initiator huru

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
1,532
1,739
Habari, huko kwenu sukari inapoatikana kwa urahisi? na ni kwa bei gani kwa kilo?.

Sehemu niliyoko mm haipatikani kirahisi na kilo ni kuanzia sh 4000/= na kuendelea mpaka 5000/= kutegemeana na muuzaji.

Sukari, Sukari Sukari, mbona unatutesa watanzania??
 
Habari, huko kwenu sukari inapoatikana kwa urahisi? na ni kwa bei gani kwa kilo?. Sehemu niliyoko mm haipatikani kirahisi na kilo ni kuanzia sh 4000/= na kuendelea mpaka 5000/= kutegemeana na muuzaji.
Sukari, Sukari Sukari, mbona unatutesa watanzania??
Huku ni 3600-4000. Inapatikana madukani
 
Sukari kaachiwa yule mwarabu koko aliyekondeana Mkurugenzi wa Mtibwa pamoja na Kagera Sugar afanye atakalo kwenye hiyo industry. Wanaificha ili wapandishe bei na bi. Tozo yupo tu anaigiza na Wachina kwani mwarabu mwenzie wa Micheweni anakula Keki ya nchi.
 
Zanzibar kumbe Kuna kiwanda Cha sukari Kama vile Pwani, Moshi, Bukoba na Moro?
 
Habari, huko kwenu sukari inapoatikana kwa urahisi? na ni kwa bei gani kwa kilo?.

Sehemu niliyoko mm haipatikani kirahisi na kilo ni kuanzia sh 4000/= na kuendelea mpaka 5000/= kutegemeana na muuzaji.

Sukari, Sukari Sukari, mbona unatutesa watanzania??
CCM watasema kuwa wanafuata ushauri wa Profesa Janabi kuwa watu wasitumie Sukari ili kuepuka magonjwa
 
Kama nchi imewashinda si wawaachie tu wenye uwezo kuliko kuwatesa wananchi kiasi hiki!
Kwani kuongoza lazima?!
Ukishindwa kazi, achia wenye uwezo wa kuifanya
 
Sukari kaachiwa yule mwarabu koko aliyekondeana Mkurugenzi wa Mtibwa pamoja na Kagera Sugar afanye atakalo kwenye hiyo industry. Wanaificha ili wapandishe bei na bi. Tozo yupo tu anaigiza na Wachina kwani mwarabu mwenzie wa Micheweni anakula Keki ya nchi.
Hate speech.
 
Miaka 62 baada ya Uhuru tuna discuss sukari?
Kuna mradi wa sukari wa NSSF uliishia wapi? Au hela tumejengea mahekalu ununio?
 
Habari, huko kwenu sukari inapoatikana kwa urahisi? na ni kwa bei gani kwa kilo?.

Sehemu niliyoko mm haipatikani kirahisi na kilo ni kuanzia sh 4000/= na kuendelea mpaka 5000/= kutegemeana na muuzaji.

Sukari, Sukari Sukari, mbona unatutesa watanzania??
Sukari sio kitu cha lazima acheni kujiendekeza.

Sukari ni chanzo kikuu cha magonjwa yatokanayo na unene na pia kuoza meno. Sukari haina faida yoyote mwilini.

Usingoje mpaka uumwe kisukari na kuandikiwa na daktari kuwa acha kutumia sukari. Acha sasa hivi kama ulivyoandikiwa na bei za soko.
 
Miaka 62 baada ya Uhuru tuna discuss sukari?
Kuna mradi wa sukari wa NSSF uliishia wapi? Au hela tumejengea mahekalu ununio?
Waliipiga hiyo hela. Visima vya umwagiliaji vya mita 40 vikachimbwa kwa Tshs. milioni 80 kila kimoja.

Ila licha ya upigaji ujenzi wa kiwanda bado unaendelea kwa kasi ya konokono. Kuna siku kitaisha.
 
Back
Top Bottom