Nakumatt Supermarket: Mwisho wa kuchukua sukari ni kilo tano

Nimeamini sasa ule umuhimu wa kuandaa watu hasa kwenye taasisi ya uraisi. Na kwa maaamuzi kama haya ya kukurupuka kuna mengi jiulize hii sukari tu je banadari itakuwaje mpk iricover
 
Ukosefu wa elimu:
Hata wkt wa mstaafu b.mkapa kukiwa na shoprite hizo karatasi ziliwahi wekwa tena sana tu.

Kinachofanyika hapo ni hiki; mara nyingi maduka soko makubwa au supermarket huwa wanaagiza mzigo mkubwa kiwandani ukizingatia wao wanauza kama gulio, hivyo bei zao zinaendana au kukaribiana na mauzo ya jumla.

Kinachofanyika hapo sokoni ni kuweka limitation za kila mtu apate japo kuna wenzangu na mie uenda pale kuchukua mzigo mkubwa na kupeleka madukani mwao kuuza.

Mbona soda zinauzwa shs 450=350mil na 800=500mil hamleti mabango?
 
mwanahabari huru umenistua na habari yako huru, rekebisha kichwa cha habari.

nilifikiri ccm kupitia hao ndugu wameanza kugawa sukari bure.
 
Umerudi line toka nchi jirani ulipokwenda zungusha kiuno?
Aah nimekumbuka wewe ndiye kijana uliyekuwa unagombaniwa na wanaume mombasa kwa kucheza pool table vizuri. Rafiki yangu Onyango aliniambia kuwa alikufaidi sana si unamkumbuka? Yule mwenye mzuzu.
 
Aah nimekumbuka wewe ndiye kijana uliyekuwa unagombaniwa na wanaume mombasa kwa kucheza pool table vizuri. Rafiki yangu Onyango aliniambia kuwa alikufaidi sana si unamkumbuka? Yule mwenye mzuzu.
Usituamishe kwenye hoja mizuka nimibaya sana
 
Huu Uzi Viwavi Senene Lumumba Buku Saba
Hawajaja Kujibu Mapigo Ya Hilo Tangazo Linalomchafua Mkuu!!!!

Mtu Chake Apendacho Hakina Hira Machoni
Hulidhika Kuwa Nacho Japo Hakina Thamani X 2

Tumeridhika Na Ccm Kwa Wizi Wa Kura!!! Haa
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom