Nakumatt Supermarket: Mwisho wa kuchukua sukari ni kilo tano

Serikali ya jpm ilikataza sukari ya nje ili viwanda vya ndani vinufaike ni jambo zuri alifanya baada ya kuhakikishiwa demand will meet to consumers.
Ajabu imegeuka sukari imekuwa bidhaa adim km haipatikan masuper agent wamefungia ndani iadimike wauze ghali kwa faida zao.kweli hawa matajir ndo mana ht akigonga nyanya sokoni halipishwi bali anapondwa had afe.matajiri wana rohombaya sana ingawa me tajiri pia
ha ha ha ...nawe tajiri pia
 
Mkuu yani hapo ni umemaliza kila kitu...ilobaki ni kumshauri Rais aitumbue bodi ya sukari nchini.

Mi nalia na wahujumu uchumi tu.
Uzalendo Ulikosekana Kwa Muda Mrefu Sana Tz So Mafisadi Wanafanya Hujuma Kumuangusha JPM Maana Kawabana Sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom