Sukari hakuna Sumbawanga

ngalelefijo

JF-Expert Member
Jun 26, 2012
3,709
2,272
Najua wakuu wa nchi wote wanasoma JF.

Hali ni tete kuhusu upatikanaji wa sukari, hakuna duka la jumla lenye sukari. Mkuu wa mkoa yupo, mbunge yupo lakini wako kimya. Hapo jirani, Mkoa wa Songwe-Tunduma, sukari kilo 20 inauzwa 52,000, sawa na sh 2600 kwa kilo ya kutoka Zambia. Na ukipanda mabasi huruhusiwi kununua sukari ya Zambia. Tusaidiane kupaza sauti.
 
Najua Wakuu wa nchi wote wanasoma JF.Hali ni Tete kuhusu upatikanaji wa sukari,hakuna DUKA la jumla lenye sukari.mkuu wa mkoa yupo,mbunge yupo lakini wako kimya.Hapo jirani mkoa wa songwe-Tunduma sukari kilo 20 inauzwa 52,000 sawa na sh 2600 Kwa kilo ya kutoka Zambia.Na ukipanda mabasi huruhusiwi kununua sukari ya Zambia.Tusaidiane kupaza sauti
Hii ni fursa kwenu wadau, tumieni asali by Prof. Janabi!
 
Hili ni tatizo kubwa hasa tunapoelekea mwezi wa swaum. Miye naona tatizo la kutengeneza ili watu watengeneze abdonamol profit.
 
Najua Wakuu wa nchi wote wanasoma JF.Hali ni Tete kuhusu upatikanaji wa sukari,hakuna DUKA la jumla lenye sukari.mkuu wa mkoa yupo,mbunge yupo lakini wako kimya.Hapo jirani mkoa wa songwe-Tunduma sukari kilo 20 inauzwa 52,000 sawa na sh 2600 Kwa kilo ya kutoka Zambia.Na ukipanda mabasi huruhusiwi kununua sukari ya Zambia.Tusaidiane kupaza sauti
Ccm inataka hata Chumvi ikosekane
 
Mbona Jana nimenunua sukari 77 ipo ya kutosha.
 
Najua Wakuu wa nchi wote wanasoma JF.Hali ni Tete kuhusu upatikanaji wa sukari,hakuna DUKA la jumla lenye sukari.mkuu wa mkoa yupo,mbunge yupo lakini wako kimya.Hapo jirani mkoa wa songwe-Tunduma sukari kilo 20 inauzwa 52,000 sawa na sh 2600 Kwa kilo ya kutoka Zambia.Na ukipanda mabasi huruhusiwi kununua sukari ya Zambia.Tusaidiane kupaza sauti
umeskika vema,

vuta subra na kuwa mstahimilivu kidogo tu 🐒
 
Subirini mwezi wa Ramadhani!

Ila bongo kuna ombwe la uongozi,hapo Kenya tu mahindi yakiadimika kwao wanafungua mipaka yaingie hata kama ni ya Somalia.

Sisi majirani hapo wana sukari bei rafiki tu ila wenyewe wanaagiza kutoka sayari ya Mars.
 
Najua wakuu wa nchi wote wanasoma JF.

Hali ni tete kuhusu upatikanaji wa sukari, hakuna duka la jumla lenye sukari. Mkuu wa mkoa yupo, mbunge yupo lakini wako kimya. Hapo jirani, Mkoa wa Songwe-Tunduma, sukari kilo 20 inauzwa 52,000, sawa na sh 2600 kwa kilo ya kutoka Zambia. Na ukipanda mabasi huruhusiwi kununua sukari ya Zambia. Tusaidiane kupaza sauti.
Kwenye hili la sukari wanatumia nguvu kuliko akili lazima wakwame
 
Subirini mwezi wa Ramadhani!

Ila bongo kuna ombwe la uongozi,hapo Kenya tu mahindi yakiadimika kwao wanafungua mipaka yaingie hata kama ni ya Somalia.

Sisi majirani hapo wana sukari bei rafiki tu ila wenyewe wanaagiza kutoka sayari ya Mars.
Ni madili tu ndio yanafanya iwe hivyo mkuu kama wezi wanatetewa hadi na bunge unategemea nini cha ajabu hapo, nchi imejaa wezi na wanalindana sana na mifumo ya wizi ina asisiwa na CCM
 
Najua wakuu wa nchi wote wanasoma JF.

Hali ni tete kuhusu upatikanaji wa sukari, hakuna duka la jumla lenye sukari. Mkuu wa mkoa yupo, mbunge yupo lakini wako kimya. Hapo jirani, Mkoa wa Songwe-Tunduma, sukari kilo 20 inauzwa 52,000, sawa na sh 2600 kwa kilo ya kutoka Zambia. Na ukipanda mabasi huruhusiwi kununua sukari ya Zambia. Tusaidiane kupaza sauti.
Ccm ni wachawi na miaka yote wameweka zuio kwa mikoa yote ya mipakani kununua si sukari tu bali aina yoyote ya bidhaa
 
Back
Top Bottom