Wadanganyika ni kama kuku wa Kizungu, wanataka kulishwa tu kazi kwao ni mwiko. Upungufu.wa sukari unatikana na kwamba nyie wenyewe hamjitumi kulima miwa ya kutosheleza soko la sukari lililopo, sasa mnataka hiyo sukari ijitegeneze au bunge ndio wazalishaji. Jiulizeni wenyewe kwanza kwa nini uzalishaji wa bidhaa za.ndani ni mdogo nna hautoshelezi mahitaji yetu. Akila kitu muagiziwe kutoka nje toka sukari hadi imefikia hata mayai, limao na ngano wakati mnalia na mafuriko! Hata huyo Mungu anachaganyikiwa hajui Wadanganyika mnataka nini. Leo jua kali mazao hayaoti akileta mvua jamani Mungu weee mafuriko tukumbuke wa Mabondeni! Pu
Mizuka plus MaigizoWadanganyika ni kama kuku wa Kizungu, wanataka kulishwa tu kazi kwao ni mwiko. Upungufu.wa sukari unatikana na kwamba nyie wenyewe hamjitumi kulima miwa ya kutosheleza soko la sukari lililopo, sasa mnataka hiyo sukari ijitegeneze au bunge ndio wazalishaji. Jiulizeni wenyewe kwanza kwa nini uzalishaji wa bidhaa za.ndani ni mdogo nna hautoshelezi mahitaji yetu. Akila kitu muagiziwe kutoka nje toka sukari hadi imefikia hata mayai, limao na ngano wakati mnalia na mafuriko! Hata huyo Mungu anachaganyikiwa hajui Wadanganyika mnataka nini. Leo jua kali mazao hayaoti akileta mvua jamani Mungu weee mafuriko tukumbuke wa Mabondeni! Pu
mbaf kabisa!
Mh kama ni family itakuwa shida. Wanunue kilo 50 au 25. Kilo tano below ni kwa ajili ya watu wenye matumizi ya kawaidaMakubwa haya! Wakati wengine kilo Tano ni matumizi ya siku mmoja?
na ww yaelekea hiyo ndo mboga yakoDah..., Hawa mawakala wa shetani wanaoficha sukari siku, JPM akiwatia mkononi atupe sisi tuwafanye supu
YAWEZEKANA HAPO SUPERMARKET SUKARI BEI NAFUU kuliko maduka ya jirani. Hivyo wameweka kiwango ili watu wasizoe jumla wakaenda kupandisha NJE. Ni mawazo yangu
Sisi atuko kwenye ujamaa magu ameshidwa kutambua ilo ata ningekua mm huwezi nilazimisha niuze sukari unavyotaka weweUsi
Usicheze na wafanyabiashara ww unahisi ni hao vidagaa vyenu mnavovitumbua, hii nchi ya uchumi huru angalia sasa mnavotapatapa mpk kule tpa mmevurugwa hkn mapato
Sio visasi inaniuma sana kuona miaka 54 bado watu wanakunywa maji machafuKwahiyo ikifika hiyo hali kwako itafaidika au itakusaidia nini.. UTU hauna vyama, waza kama kama mwanajamii.. Hii ndio Demokraia hakuna aja ya kua na kisasi
ichi inapoelekea ni hatar hiv nini kinaendelea katika chi hii maan tunapoelekea siyo kuzuri Siunaon sukar hamna wakati Mkula alisema sukar ipo ya kutosha hili nalo jipu kkSerikali ya jpm ilikataza sukari ya nje ili viwanda vya ndani vinufaike ni jambo zuri alifanya baada ya kuhakikishiwa demand will meet to consumers.
Ajabu imegeuka sukari imekuwa bidhaa adim km haipatikan masuper agent wamefungia ndani iadimike wauze ghali kwa faida zao.kweli hawa matajir ndo mana ht akigonga nyanya sokoni halipishwi bali anapondwa had afe.matajiri wana rohombaya sana ingawa me tajiri pia