Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
- Thread starter
- #121
Huo wako umeshatiwa na nani?Naona mnatiana moyo
Huo wako umeshatiwa na nani?Naona mnatiana moyo
Kiukweli sukari imekuwa adimu kutokana na kiwanda kinachotegemewa katika uzalishaji wa sukari tanzania cha kilombero sugar kusimamisha uzalishaji kutokana na kukifanyia matengenezo,toka mwenzi wa pili mbaka huu mwezi tarehe 23 ndo uzalishaji unaanza tena
Kiukweli sukari imekuwa adimu kutokana na kiwandaSerikali ya jpm ilikataza sukari ya nje ili viwanda vya ndani vinufaike ni jambo zuri alifanya baada ya kuhakikishiwa demand will meet to consumers.
Ajabu imegeuka sukari imekuwa bidhaa adim km haipatikan masuper agent wamefungia ndani iadimike wauze ghali kwa faida zao.kweli hawa matajir ndo mana ht akigonga nyanya sokoni halipishwi bali anapondwa had afe.matajiri wana rohombaya sana ingawa me tajiri pia
Kiukweli sukari imekuwa adimu kutokana na kiwandaTumekuwa sawa na Venezuela sasa, kweli siasa za kijamaa ni mbaya sana
Safi sana tunachotaka kurudisha nchi katika mstari! Na mambo yatanyooka tu tyulikwishaona huko nyuma. Kuna giant 5 countries hebu watanzania tuache uviuvu tusaome walityoppitia ndio tuelewe maendeleo hayaji kwa njia za mkatyo au lelemama we have to strugle!Na bado , unga wa yanga na maharage ya foleni vinafuatia , si walisema huyu ni nyerere mpya .
Viroba ni tatizoRangi yako halisi hii hapa.
Nakushauri badilisha avatar mkuuViroba ni tatizo
Dhiki haijawahi kuwa maendeleo .Safi sana tunachotaka kurudisha nchi katika mstari! Na mambo yatanyooka tu tyulikwishaona huko nyuma. Kuna giant 5 countries hebu watanzania tuache uviuvu tusaome walityoppitia ndio tuelewe maendeleo hayaji kwa njia za mkatyo au lelemama we have to strugle!
Kifupi tunaweza suffer sisis kwa ajili ya watoto wetu which is very much okay!
Kumbuka Walolalamika Ni Wazalishaji Na Si Serikali.Kwani huyo Magu alipokuwa anapiga marufuku sukari kuingiza toka nje watu wa Ikulu anaowatuma kufuatilia ukweli hawakumpa data kamili au zingine walizificha.
Mkuu yani hapo ni umemaliza kila kitu...ilobaki ni kumshauri Rais aitumbue bodi ya sukari nchini.Tanzania Tunaviwanda Vi4 Vya Sukari.
1. TPC MOSHI. (KILIMANJARO)
2. KAGERA SUGAR (KAGERA)
3. KILOMBERO SUGAR (MORO)
4. MTIBWA SUGAR (MORO)
Zanziba Nilisikia Wanajenga Lakn Sina Uhakika Kama Kipo.
Viwanda Vya Sukari Huwa Havifanyi Kazi Mwaka Mzima Japo Uzalishaji Wake Unatosha Kabisa Hata Kama Vikizalisha Kwa Miezi9 Tu.
Mfano, Baadhi Ya Viwanda Sasa Vimesitisha Uzalishaji (Msimu Kufungwa) Kwa Muda Kutokana Na Sababu3 Kuu.
1. Matengenezo (Maintenance)
2. Kupishana Na Kipindi Cha Masika.
3. Kusubiri Miwa Ikuwe Na Iwe Mingi.
Viwanda Vingi Huwa Vinafungwa February Hadi June Ndipo Huwashwa Tena Kuendelea Na Uzalishaji.
MFANO.
Mtibwa Sugar Na Kilombero, Kwasasa Vimesimama Kwa Sababu Tajwa Hapo Na Nyinginezo.
Viwanda Hivi Ni Vingi Sana Sana Na Uzalishaji Wake Unatosha Kabisa Kwa Walaji Wa Tanzania, Tatzo Ni Ufisadi Ulozoeleka Sukari Nyingi Kupelekwa Nje Kama Malighafi (Export Sugar)
Sukari Ya Malawi Haina Ubora Kama Yetu, Sukari Yetu Imepitia Viwango Vingi Na Wanauwezo Wa Kuiweka Ktk Makundi Mengi Yani Ya Mtumiaji, Malighafi Na Sukari Maalumu.
Baada Ya Serikali Kuadhimia Kupuguza Bei, Wafanyabiashara Ambao Walikuwa Wakinufaika Kwa Kupeleka Sukari Kenya Na Kwngneko Kama Malighafi, Wameamua Kuficha Sukari Tu Ili Serikali Iumbuke Lakn Si Kwel Kwmb Sukari Hamna.
Serikali Igumie Wataalam Tena Hasa Wenye Uzoefu Wa Idara Hii Ikiwezekana Waongee Hata Na Wafanyakaz Wa Chini Kabisa, Watapata Majibu Kuhusu Hii Ishu.
Zaidi Na Zaidi Mi Nafikiri Serikali Ingefanya Hivi.
Kila Kiwanda Kihudumie Kanda Yake, Hii Itasaidia Kwny Uthibiti Wa Demand And Supply.
MFANO.
KAGERA SUGAR (KAGERA)
IHUDUMIE MIKOA YA.
1. Kagera.
2. Geita.
3. Mwanza.
4. Mara.
5. Kigoma.
6. Simiyu.
TPC MOSHI (KILIMANJARO)
IHUDUMIE.
1. Kilimanjaro,
2. Arusha.
3. Manyara.
4. Singida.
5. Shinyanga.
6. Tabora.
KILOMBERO SUGAR NA MTIBWA SUGAR (MOROGORO)
ZIHUDUMIE.
1. Morogoro.
2. Dodoma.
3. Iringa.
4. Njombe.
5. Ruvuma.
6. Mbeya.
7. Songwe.
8. Lindi.
9. Mtwara.
10. Zanzibar.
Ukifanyika Utafiti Mzuri Na Wa Kina Naamini Serikali Inaweza Kugawa Majukumu Kwa Kila Kiwanda Na Kila Kanda, Hii Itaketa Faida Kubwa Hata Ktk Upangaji Wa Bei.
jifunze kutoa likeMkuu yani hapo ni umemaliza kila kitu...ilobaki ni kumshauri Rais aitumbue bodi ya sukari nchini.
Mi nalia na wahujumu uchumi tu.
Tatizo ni Mamuzi ya Mizukawashauri wa mtukufu kwenye maswala ya biashara na uchumi either wameshindwa mshauri au ashauriki ?
Serikali ya jpm ilikataza sukari ya nje ili viwanda vya ndani vinufaike ni jambo zuri alifanya baada ya kuhakikishiwa demand will meet to consumers.
Ajabu imegeuka sukari imekuwa bidhaa adim km haipatikan masuper agent wamefungia ndani iadimike wauze ghali kwa faida zao.kweli hawa matajir ndo mana ht akigonga nyanya sokoni halipishwi bali anapondwa had afe.matajiri wana rohombaya sana ingawa me tajiri pia