Nahitaji msaada wenu kimawazo.......

sasa mtoto wa miaka 17 ndo anajua mapenz kuzidi kaka yake wamiaka 21, ebu acha zengwe ww sema ukweli wats goin on sio kuchezea watu akili. miaka17 ndan ya jf ??????? nina mashaka kidogo apo. jiapange kwanza au fuata ushauri wa boss wa kutafuta wako nawe uolewe.
 
Sikushauri umfate huyo dada maana kaka yako hajatulia tulia. We nawe ulifanya makosa kumpotezea muda msichana mwenzio kwa kuficha uovu wa kaka yako.
 
naona ww unataka kuwa mshenga wa kaka yako cha mcngi ya ngoswe mwachie ngoswe sawa
 
Yaani bro wako ana miaka 29 na wewe una miaka 17 hlf anataka uanze kuingia kwenye mizengwe ya mademu wake?
Dear ur too young kuanza kushauri hayo masuala maana wewe bado ni under 18.
Mwache mwenyewe na msala wake maana anakukomaza kabla ya umri wako
 
Mshauri kaka yako aende mwenyewe kuomba msamaha na ajirekebishe coz hiyio tabia siyo nzuri.... Guys... 'unaposhikwa shikamana'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom