MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
- Thread starter
- #101
Hahah Da Mkubwa sikuwa nimeiona hii,...... huu sasa ni uonevu yaani kilichokufanya uniweke kwenye kundi la too nice ni nini? isijeikawa huku kulialia kwangu na kujitilisha huruma hapa ndo vimekuidanganya! Mie bwana mkorofi sana tu so Dada ukiwa na la kunichamba we mwaga tu wala usipooze kwa maji baridi! Lilete likiwa moto hivyo hivyo ndo kunifunza kwenyewe ati!Mwanajamii1, unajua nini you r too nice hadi naogopa hata kujibu; yaani inabidi nibehave kweli!
Anyway about heshima kuwa sehemu ya mahaba!
Did you know hata utumwa unaweza kuwa part ya mahaba, anyway mambo mengine ni intimacy zaidi; lkn mahaba ni kile mnachopenda kufanyiana (kwenu ninyi ni super kwa wengine kinaweza hata onekana ni ukatili).
Lkn heshima/respect is a must kwa kila aina ya uhusiano (hata majirani) na iwe both ways!