Nachanganyikiwa naomba msaada...........

Mwanajamii1, unajua nini you r too nice hadi naogopa hata kujibu; yaani inabidi nibehave kweli!

Anyway about heshima kuwa sehemu ya mahaba!
Did you know hata utumwa unaweza kuwa part ya mahaba, anyway mambo mengine ni intimacy zaidi; lkn mahaba ni kile mnachopenda kufanyiana (kwenu ninyi ni super kwa wengine kinaweza hata onekana ni ukatili).

Lkn heshima/respect is a must kwa kila aina ya uhusiano (hata majirani) na iwe both ways!
 
Hahahaha hapana DaMkubwa nilikuwa hivyo zamani ikabackfire (Si kuwa nilimchoke) la hasha aliiabuse hahah
Siku hizi nimekuwa chokoraa aisee! Hapa najaribu tu kutafuta justification ya kile nlichokuwa nafanya zamani DaMkubwa ili next time nijue

Sasa nimekupata, l was wondering sana!
Ni kweli inawachoke; uliza hata wamama watu wazima, watakwambiwa; mwanaume kusumbuliwa kidogo! Kila kitu kiwe na kiasi!
 
Sasa nimekupata, l was wondering sana!
Ni kweli inawachoke; uliza hata wamama watu wazima, watakwambiwa; mwanaume kusumbuliwa kidogo! Kila kitu kiwe na kiasi!

Ndio najifunza hapa DaMKubwa na ninakiri Ive got a long way to go dah!!
 
Da mkubwa kila siku unachanganyikiwa hadi unanitisha.
Hivi hiyo mifano uliyotoa ya kumvua koti, kumwamkia, kumpa pole ndio heshima? (na mi nishachanganyikiwa hapo, lol)
 
Da mkubwa kila siku unachanganyikiwa hadi unanitisha.
Hivi hiyo mifano uliyotoa ya kumvua koti, kumwamkia, kumpa pole ndio heshima? (na mi nishachanganyikiwa hapo, lol)

Hahahaha We Mwali hebu usiwe kama mie nlopitiwa na upepo wa Boko Haram kuchanganyikiwa halali yangu bwana loh

Hapana Da Mkubwa Kaunga ashasawazisha hilo, na nlipolitoa hilo ilikuwa ni mfano tu haimaanishi ndo yenyewe mwali.
 
Mwe Mbu na Babu DC nyie!!

Labda tuanze na maana ya kunyenyekewa!!
Hivi siwezikupokea kifurushi ukiwa umerudi kazini bila kutasiri wanyenyekewa? siwezikufulia pants bila kutafsiri kama wanyenyekewa?

Kwa hivi ulivyoiweka ni kama vile huyu wa kuku'heshimu' atakuwa anakuheshimu kiuwoga....

....mnhhh,

mwj1....huenda tafsiri yangu ya 'kuonyesha' mahaba ikawa tofauti na unavyotafsiri,...
na kuwekeana vikwazo na vizuizi kwenye maisha ya pamoja huamsha hisia mbaya.

Jiachie kivyako vyako bana, kwa raha zako! usipomfanyia mumeo utamfanyia nani?
fanya kitu roho inapenda kisha utapima upepo mpokeaji anapendezwa na lipi, na lipi
aliona halina ulazima.

mbu nikishaona huelewi somo la kuacha kunivua viatu na soksi, utanifanya niwe navulia viatu garini
kisha naingia nyumbani pekua....sasa hapo sijui utazusha balaa la kunisugua miguu? :eek:hwell:
 
Hahahahahaahh luh nimeweka silaha chini Mbu kwa hii post yako loh!! hah
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hahahaha hapana DaMkubwa nilikuwa hivyo zamani ikabackfire (Si kuwa nilimchoke) la hasha aliiabuse hahah
Siku hizi nimekuwa chokoraa aisee! Hapa najaribu tu kutafuta justification ya kile nlichokuwa nafanya zamani DaMkubwa ili next time nijue

....exactly..., "SCREWDRIVER!"....

Mfano; ...."nikiwa na kawaida" ya kurudi saa sita usiku, nawe wanikaribisha kwa kupiga goti (kama malezi yako yalivyokufunza), kunipokea na kunivua koti, viatu na vijipole vya hapa na pale....ujue unanipa Go Ahead 'kesho' nirudi saa nane usiku, nakustahili hayo hayo...
 
swala ni kufanya kitu kisichomboa mpnz wako, kama hapend ukimpigia magot bac usimpigie kama anapenda its ok
 
....exactly..., "SCREWDRIVER!"....

Mfano; ...."nikiwa na kawaida" ya kurudi saa sita usiku, nawe wanikaribisha kwa kupiga goti (kama malezi yako yalivyokufunza), kunipokea na kunivua koti, viatu na vijipole vya hapa na pale....ujue unanipa Go Ahead 'kesho' nirudi saa nane usiku, nakustahili hayo hayo...

Eh we baba we si nshasema nimeweka silaha chini? hahaha hapana hii haihusiani na wewe kuharibu, ukiharibu unawekwa sawa bwana na ikiwezekana utalala navyo sebuleni akhaa!

Eh screw driver ................ lesson learnt bana hahahahaha
 
Eh we baba we si nshasema nimeweka silaha chini? hahaha hapana hii haihusiani na wewe kuharibu, ukiharibu unawekwa sawa bwana na ikiwezekana utalala navyo sebuleni akhaa!

Eh screw driver ................ lesson learned bana hahahahaha

...lol!....lesson learnt kiukweli, hapo tumeelewana.
 
Wapendwa
Ninawapenda, naomba mnisaidie............ Ni nini nafasi ya 'heshima' ndani ya mapenzi.

Samahanini ninauliza hivi kwa sababu nimejikuta kwenye dilema. Wote mpenzi wangu pamoja na marafiki zangu wengi wamekuwa wakipinga ile dhana ya 'heshima' kwa mpenzi wangu. Ninajaribu kuwaelewa ila naona kama nazidi kuchanganyikiwa.

Inakuwaje kwa mwanamke anayeamini kwenye 'kuonyesha heshima' kwa mpenzi wake as one of the vionjo vya mapenzi ambavyo vinamfanya yeye ajisikie vema ilhal mpenzi wake au marafiki zake wanaona 'haina maana'? Mf. Mie nikiamini kuwa kumheshimu mpenzi wangu kwa kupiga goti (kama malezi yangu yalinifunza hivyo), akiingia kumpokea na hata kumvua koti, ha hata viatu na vijipole vya hapa na pale...........

I wapi nafasi ya 'heshima' kama hii kwa mwenzi wako? Je tunaitafsirije hii ndani ya era ya usawa na gender equality?

Natanguliza samahani kama nimekosea , nieleweni tu mwenzenu mie wa 1947.

Hivyo ndivyo tulivyokufunza........... sasa mbona unataka kujikagua upya wakati hizo ndizo mila zetu?
Kwani humuonagi mama yako mama Ngina akinipigia magoti kwa bashasha na kunipokea kifurushi kila nirudipo kazini...........Ukishindana na huyo mkwe wangu kwa kukosa Hishma nitakushikisha adabu.............LOL

Here we go.......

Mengi yamesemwa, lakini jambo moja utie akili ni wkamba haya mamabo ya Gender Equality ni ya majukwaani tu wengi wa wanawake wanaopiga makelele wakirudi kwa waume zao wanafyata mikia...........Heshima na adabu mbele..........
Kwa hiyo mtreat mpenzi au mumeo kwa namna unavyoona inafaa na usijilazimishe eti kwa sababu mume anataka kunyenyekewa.................kinachotakiwa ni kuheshimiana na kuthaminiana................
 
Mbu

umenichekesha sana, unavua viatu garini?

Kama mie nakuvua unyayo lol
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hivyo ndivyo tulivyokufunza........... sasa mbona unataka kujikagua upya wakati hizo ndizo mila zetu?
Kwani humuonagi mama yako mama Ngina akinipigia magoti kwa bashasha na kunipokea kifurushi kila nirudipo kazini...........Ukishindana na huyo mkwe wangu kwa kukosa Hishma nitakushikisha adabu.............LOL

Here we go.......

Mengi yamesemwa, lakini jambo moja utie akili ni wkamba haya mamabo ya Gender Equality ni ya majukwaani tu wengi wa wanawake wanaopiga makelele wakirudi kwa waume zao wanafyata mikia...........Heshima na adabu mbele..........
Kwa hiyo mtreat mpenzi au mumeo kwa namna unavyoona inafaa na usijilazimishe eti kwa sababu mume anataka kunyenyekewa.................kinachotakiwa ni kuheshimiana na kuthaminiana................

Amina Baba yangu naahidi sitokutia aibu maana mlinilea. Ila mbona umechelewa kufika hapa?
 
mwanajamii one, mi naona ni kumuhudumia tu hiyo haimaanishi eti uanamuheshimu, nadhani heshima inahusissha vingine like kuwa na kauli nzuri, kuwa mwaminifu kwake
 
mwanajamii one, mi naona ni kumuhudumia tu hiyo haimaanishi eti uanamuheshimu, nadhani heshima inahusissha vingine like kuwa na kauli nzuri, kuwa mwaminifu kwake

Aksante marrycate nakubaliana na wewe nimetumia neno lisilofaa .......... nadhani kaunga alitoa mbadala kwa neno la mahaba ambalo naamini hata kuhudumia linaangukia humo. Aksante marrycate
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom