Nachanganyikiwa naomba msaada...........

Kwa Wanajamii Wote,

Ndugu zangu Wana JF, nawashukuru sana kwa michango yenu yote mnayotoa..binafsi naikubali kwani inaelimisha sana.hakuna hata mmoja asiye na mchango chanya, katika jukwaa lolote isipokuwa ni mitazamo tu ndio inayokuwa tofauti.

Tuendelee kujadiliana na kujenga hoja zenye kuelimisha.

Nawasilisha.
 
Hivi wewe Kaunga una PhD ngapi?
Maana kwa vigenzo vya Tanzania, inabidi mtu uwe na PhD kuweza kumwaga mi-point kama hii!!
:focus:
Nimependa sana michango yako,
Babu DC!!

Thanks Dark City, unanifanya mbichwa uwe mkubwa! Aisee ninazo kama 3 hivi kama za JK: lol

Nakukubali pia tena sana tu, kwenye hii Nyanja ya Mahusiano. Nafikiri ni uzoefu unaohusika, na kuwa oneself!
 
Last edited by a moderator:
Hahah Da Mkubwa sikuwa nimeiona hii,...... huu sasa ni uonevu yaani kilichokufanya uniweke kwenye kundi la too nice ni nini? isijeikawa huku kulialia kwangu na kujitilisha huruma hapa ndo vimekuidanganya! Mie bwana mkorofi sana tu so Dada ukiwa na la kunichamba we mwaga tu wala usipooze kwa maji baridi! Lilete likiwa moto hivyo hivyo ndo kunifunza kwenyewe ati!

Unice unakujaje unajua; hata mtu akuprovoke vipi, unamjibu kikutulia and nicely. Mimi napenda nikimprovoke mtu, naye anishushie la nguvu! LOL

But l like ur sweet nature; keep it up!
 
Thanks Dark City, unanifanya mbichwa uwe mkubwa! Aisee ninazo kama 3 hivi kama za JK: lol

Nakukubali pia tena sana tu, kwenye hii Nyanja ya Mahusiano. Nafikiri ni uzoefu unaohusika, na kuwa oneself!

Ahsante sana Kaunga,

Haya mambo ni magumu sana. Bila kuwasikiliza wenzio wanavyoendesha maisha unaweza kujikuta unaboronga. Wakati unapowasikiliza wadau, pia unapata nafasi ya kuchomeka uzoefu wako wa hapa na pale.

That way, tunasaidiana kupanua hizi akili zinazozidi kusinzia sinzia kadri siku zinavyoenda.

Kitu kinachonitia matumaini ni kuona JF inavyo-evolve na kuwa na members ambao ni wataalamu kwenye maeneo yao kila uchao...!!

Mungu azidi kuwabariki,

Babu DC!!
 
mama kama wwe ni mkristo haya yote yameandikwa ndani ya Biblia na hata huitaji kuuliza Soma mithali 18:22 inayosema hivi Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa bwana. My concern utapata kitu chema vipi wakati mke mwenyewe hakuhesimu na ni mungu yupi anayetaka dharau ifanyike kwa mme wake?
 
usisikie ya watu, heshima ina muhimu wake japo baadhi ya wanawake wa kisasa huona ni utumwa. Ila ni kionjo hasa mwanamme anapokuwa avaa viatu vyake vya uanamme sawa sawa.

Basi mie naweza fanya haya:-
Kumwamkia shikamoo wala sijali kwa raha zangu.

ananituma maji ya kunywa wakati yako just few meters.

Namnawisha wakati wa kula

viatu na soks kumvua kama ada.

Ni jinsi mwenyewe unavyofurahia bana, ipe kitu roho inapenda.

Hivi ile safari ya kumuomba AD ushauri ndo imezaa hii maneno au ndo internal realisation tu imefika mahala pake?
Mzima lakini?
 
yaaani heshima ni kumbrashia viatu na kumvua koti?,mmepatana kweli fake people.....mie sitafanya huu ujinga hata siku moja....and no kumheshimu ni kutomtukana,kutembea nje ya ndoa na kumjibu vibaya....hayo mnayofanya sio heshima ni utumwa na mwanaume kama yuko real lazima aone anaibiwa....haingii akilini mtu sio dissable umvue koti wkati ana uwezo wa kufanya hivyo yeye mwenyewe.....:mad2::mad2::mad2::mad2:

Uanaume kazi kweli jamani, mweeeeeee!
 
Unice unakujaje unajua; hata mtu akuprovoke vipi, unamjibu kikutulia and nicely. Mimi napenda nikimprovoke mtu, naye anishushie la nguvu! LOL

But l like ur sweet nature; keep it up!

Etii?! hapa nahitaji a third person athibitishe loh mie bwana ni mkorofi DaMkubwa! Ndio hunichukua muda kuwa mbogo but nkiwa mbogo nakuwa mbogo haswa! (Nakuibia siri ) weakness yangu sijui kusema, nafanya maamuzi na serikali yangu ya kichwa after so many trials na hii nakiri imenikost but................................natamani sana kuwa provokative Da Mkubwa
 
hhhhmm Mwajei...
Hapa labda nisome kiarabu maana mada imesongeshwa kweli...

Anyway nionavyo mimi hakuna ubaya. Mtazamo wa marafiki hapa hautahusu maana hii ni baina yako na mpenzio LAKINI kama mpenzio anaona jaina maana basi hapo lazima uiangalie hiyo 'heshima' yako upya...

May be you are doing it to the extremes zinazomfanya ahisi you are not being real, au unamfanya ahisi sasa umehamisha hata daraja lake kabisa la yeye kuwa mume/mpenzi wako to being somebody else....

Kumbuka tu kila kitu kinapendeza kikifanywa kwa kiasi japo kibinadamu ni ngumu ila tujitahdi mdogo mdogo!
 
Mwali aksante nimeyapataje mashushuo humu ndani? But yamanifunza mwaya yaani kama najiona ntakavyompekesha Mbu mbio hahaha na hivi anavyopenda kufungulia mlango bila fidia ah hata wa dala dala walah atanfungulia, akifungua konda nagoma hahahaha
 
Mashushu bidada ndo yenyewe alimuradi uyachukulie kama changamoto tu ya kujifunza basi raha tupu....

Hahahaaa Mbu tena, namuaminia atakufungulia hata lango la behewa la kigoma yule...lol
(au tanga treni imerudi?)
 
HAhahhahaha nimecheka mwenyewe ujue..............mh la Tanga silitaki safar yenyewe fuuuupi, huko huko Kigoma, tukalle nyama Kintinku ati ah!!
Mbona lakini???? ndo nini kupotea hivi?
 
Heheeee Kintinku nyama za kunguru shauri yako...lol

Bidada hii hali ya Kikwete si unaiona, shurti mtoto wa kike nigangamale ati, ila tumepoteana kumbe mwenzangu uko busy huko unamvua Mbu soksi na makoti.
Natakuja kufanya training nikapate ujuzi niongeze manjonjo kwa msukuma, akinitimua nakurudishia cheti mwalimu...looool!!
 
Weweweweeee tafadhali, staki kesi mie, huyu tu nlonae anishinda ndo unsusie na msukuma, si watakaniua we mwali?? Ngoma ya kiha sijui kimanyema yenyewe sijaimaster ndo unletee ya kisukuma si ntachemsha shosti?? aku
 
Etii?! hapa nahitaji a third person athibitishe loh mie bwana ni mkorofi DaMkubwa! Ndio hunichukua muda kuwa mbogo but nkiwa mbogo nakuwa mbogo haswa! (Nakuibia siri ) weakness yangu sijui kusema, nafanya maamuzi na serikali yangu ya kichwa after so many trials na hii nakiri imenikost but................................natamani sana kuwa provokative Da Mkubwa

Acha kutumia vibaya hilo neno!! Labda kama unamwomba Mungu uwe hivyo!!

Babu DC!!
 
Weweweweeee tafadhali, staki kesi mie, huyu tu nlonae anishinda ndo unsusie na msukuma, si watakaniua we mwali?? Ngoma ya kiha sijui kimanyema yenyewe sijaimaster ndo unletee ya kisukuma si ntachemsha shosti?? aku

Hahahhaaaa usijali Mwajei ...

Kwanza naanzia wapi kumgawa, mwenzio moyo si unandundia tu pale?...lol

huu uzi wako bana umenifanya nifikiri kidogo na nimejifunza kwamba kuna hata mambo mema tunayafanya kwa wenza wetu ila yanakuwa kero na tunapaswa kuji adjust kwa kiasi fulani....

Kwamba si mabaya tu/udhaifu wetu tu amabao tunapaswa kuufanyia kazi!
 
hhhhmm Mwajei...
Hapa labda nisome kiarabu maana mada imesongeshwa kweli...

Anyway nionavyo mimi hakuna ubaya. Mtazamo wa marafiki hapa hautahusu maana hii ni baina yako na mpenzio LAKINI kama mpenzio anaona jaina maana basi hapo lazima uiangalie hiyo 'heshima' yako upya...

May be you are doing it to the extremes zinazomfanya ahisi you are not being real, au unamfanya ahisi sasa umehamisha hata daraja lake kabisa la yeye kuwa mume/mpenzi wako to being somebody else....

Kumbuka tu kila kitu kinapendeza kikifanywa kwa kiasi japo kibinadamu ni ngumu ila tujitahdi mdogo mdogo!

Hii ni abstract ya kitabu gani B?

Imejitosheleza hadi inaleta raha.....

I am proud of you my little sis!!

Babu DC!!!

(halafu upunguze kujificha/fichwa)!!!
 
Mbona unamkatalia biggy? ukorofi mwingine upo tu unasubiri uvumbuliwe...

Huyu Mj1 hata akienda kununua ukorofi dukani hapewi...!!

Na hata akipewa, hawezi kuufikisha home..utamchomoka njiani na kurudi kwa mwenyewe!!

Babu DC!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom