bacha
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 4,282
- 797
Wachawi utawajua tu kha yote hayo
Halafu wewe................lol.....!!!!!
Wachawi utawajua tu kha yote hayo
Unaomba ushauri ununue nini???
We subiria tu huwa inakuja automatikale ukiona huna fagio ndo utanunua, ukiona huna shuka ndo utanunua huwa havipangwi mkuu ukikosa tu ndo utajua umuhimu wake
Msisitizo au????
Halafu wewe................lol.....!!!!!
naongea kiuzoefu zaidi!
hawa madogo wasije sema kaka zao hawakuwaambia!
Nini????????????
We huwa unaziweka wapi siku hizi???
Nunua Godoro, kapeti, stuli 2 jiko la mchina, sahani 3, bakuri 3, vikombe 2, sufuria 3, ndoo za maji 4 ndogo 2, dodoki, redio ndogo ......
Mkuu hua unanifurahisha sana na posts zako.kama ni uswahilini, utahitaji na biblia/koran pia, washenz i wanaweza kukuloga anytime.
Kha Fidel kumbe ndo zako eehhh
Baba umemaliza dah?
Sijamaliza mama si unaona hizo nukta maanake bado list inaendelea pazia, kapeti, chanuo, kioo, vijiko, upao, ungo, ubanio, magazeti ya rangi kwa ajili ya kubandika ukutani......
Haya bwana nionee huruma mbavu zangu jamani kweli JF ni zaidi na ninavyoijua.
hehe tunajalib kumshauri kijana lakini kijana wenyewe nazani hela ya cafe imeisha , amelog out tayariMkuu hua unanifurahisha sana na posts zako.
Mi bachala mama!!!!!!!!
hapo nimesamaraiz, nikiamua kuelezea tukio lote lazima kesho na wewe ukatafte herizi lako.Wachawi utawajua tu kha yote hayo
Unajua gharama za Guest siku hizi zimepanda nilikuwa nalipia chumba Tsh.3000/= juzi nimeenda naambiwa Tsh.10,000/=
hapo nimesamaraiz, nikiamua kuelezea tukio lote lazima kesho na wewe ukatafte herizi lako.