Naanza maisha ya ubachelor alone please you help me

Hamna cha zaidi zaidi ya vile unavyoona utahitaji.
Kama utakua unapika...jiko..sufuria...mwiko vinahusu!
Vyombo vichache ili uepuke uchafuzi kwa sana.
Vitu vya kufanyia usafi.Kama unapohamia ni kama huku kwetu UngaLTD basi ndoo kazaa za maji...mabeseni...
Pasi....mashuka...vitu vya kufanyia usafi and so so.....
 
hapa tunajalib kumpa kinga kijana. kuna jirani yangu majuzi wamemtoa jipu la kwapa halaf jipu kila usiku linaflash kama nokia ya tochi halaf kuna sauti ya mbuzi inatokea kimiujiza kabisa. binadam wabaya jamani!

Kwa vile anaanza life awe analala na mfupa wa kiti moto kichwani ni kinga tosha
 
naanza maisha ya ubachelor wadau naomba msaada wa vitu muhimu ninavyotakiwa kuwa navyo chumba nimeshapata rum(master) na sebule nna kitanda teyari 5 kwa 6
mkuu kathread chako kako poa umefanya vyema ngoja na sie wengine tupate ushauri ubarikiwe sana .
Ingawa mimi nishaanza .
Ushauri wangu
unaweza nunua blender kwa ajili ya juice ,kafriji kadogo ,rice cooker(gas cooker),kuna vikabati vya mchina vya zip kwa ajili ya kuwekea nguo na hanger zake hotpot moja .
Halafu unaweza ukawa na excelsheet kama una computer ukaplan taratibu (tumia diary yako au kitu chochote uweke kumbukumbu) kama ni mfanyakazi unaweza ukawa unanunua taratibu kila mwisho wa mwezi .nafikiri polepole ndio mwendo na hili jambo linaendana status yako
 
Kuwa mwangalifu na Usafi pia.Ishi vizuri na majirani zako,kama Familia.Hata mimi ni Bachelor,mwanzoni ilikuwa ngumu sana kwani nilianza maisha hayo nikiwa na miaka 21 tena nje ya Tanzania.Lakini sasa nimebobea ha ha ha ha.

Cha msingi,jali afya yako pia na usisahau kuzingatia Ibada

Hakikisha kuwa kuishi kwako peke yako kusikulteee ubinafsi,those people around you i mean neighbors wachukulie kama family
With living alone u have to develop a routine and stick to it as much as possible
If you do all your washing up and cleaning over the weekend, there isn't much pressure over the week
Plan out your wardrobe for the whole week and lay everything out within easy reach, that way u don't mess up your room looking for stuff when u are rushing to get ready in the mornings.
Experiment with light meals during the week, not necessarily microwave meals but easy to prepare stuff. . . its easier to manage plus u can look forward to a elaborate meals over the weekend.

Here is a tip, Sundays reserve for you time! Just allow yourself a long lie-in and just chill out. All your housework and personal grooming should done on Saturdays if Possible to get them out of the way and do your socializing on Fridays and Saturday nights if possible but be carefully coz kuna hatari hapa...pia inategemea na hobbies zako ( Sometimes you might have friends popping over during the week though) So Sundays are for chilling out, catching up on some much needed sleep and the bits and pieces u never get around to doing.

The trick is to get into a routine that will help ease the pressure

Utazoea tu,mimi nimeshazoea kabisa.Huo ndio mwanzo wa maturity na kuwa independent.Inakujenga
thanks sana mkuu for the Good advice naikubali sana hii na imenipa moyo sana wa kusonga mbele
 
Nunua kikaango,jiko la umeme, jagi la umeme,pasi ya umeme sahani 6,vikombe 6,vijiko 6 na ndoo 2,usisahau na kondom box zima,hizo uziweke kenye droo kwa dharura ya zakaria.
 
Ha ha ha,ninyi watu.Fidel & Afrodenzi...acheni bana,nimecheka sana

Dogo usikubali kwenda Exile kwa sababu hiyo,make sure washkaji wanaheshimu gheto lako.

Sie
tunamsaidia
Kuanza maisha tu..
hamana lingune lol
hahahah lol
 
jirani wengine watamwambia binti yake nenda kamsaidie kaka yako usafi kumbe mambo

fulani ameona unachochote mtu ghafla ndoa ya mkeka
 
Yupo Super-Bachelor hapa jamvini atakupa ushauri .... Kwa sababu za kiusalama siwezi kumtaja!
 
nunua maharage mahindi mpunga jiko gunia la mkaa. kondom

C2C fanya yote dogo,
lakini hapo kwenye kondomu usisahau hata chembe,
jaza mapakti hayo ghetoo!
VINGINE VYOTE WADAU WATAJE, LAKINI KONDOM,
PIGA UA, STOCK ISIISHE!!!!!!!!!!!
 
hapa tunajalib kumpa kinga kijana. kuna jirani yangu majuzi wamemtoa jipu la kwapa halaf jipu kila usiku linaflash kama nokia ya tochi halaf kuna sauti ya mbuzi inatokea kimiujiza kabisa. binadam wabaya jamani!

Wachawi utawajua tu kha yote hayo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom