Naanza maisha ya ubachelor alone please you help me

Unaomba ushauri ununue nini???

We subiria tu huwa inakuja automatikale ukiona huna fagio ndo utanunua, ukiona huna shuka ndo utanunua huwa havipangwi mkuu ukikosa tu ndo utajua umuhimu wake

Ni kweli kabisa dada DA
 
Sijamaliza mama si unaona hizo nukta maanake bado list inaendelea pazia, kapeti, chanuo, kioo, vijiko, upao, ungo, ubanio, magazeti ya rangi kwa ajili ya kubandika ukutani......

Haya bwana nionee huruma mbavu zangu jamani kweli JF ni zaidi na ninavyoijua.
 
hongera kwa kuwa bacherol soon utaipoteza na kupata masters(kuoa). Unaweza kununua vitu ambavo wewe unahisi huwezi kuishi bila kuwa navo maana hujazaliwa leo, nunua vitu kwa kiasi ambavo unahitaji vingine vya ziada unavipotezea afu angalia sana priority, usianze kununua taulo wakati maji na sabuni ya kuogea huna. Vile vile akiba ni muhimu sana usifyonze nameless yote kisa utapata nyingine. Kesho unaweza kuitiwa shida kwenu ukakwama. Ni hayo tu. ni mimi senior bacherol
 
Unajua gharama za Guest siku hizi zimepanda nilikuwa nalipia chumba Tsh.3000/= juzi nimeenda naambiwa Tsh.10,000/=

Gesti ya 10,000 Tshs au? Fidel ndo maana unakutana na wahudumu wanakuibia simu wanaweka kwenye c****
 
panga vyumba 2, kimojawapo weka mkeka, kibatari, redio bendi 4 na dodoki. Chumba cha pili weka vitu vyako vya garama mfano kitanda, sofa, friji, kabati na Tv, kile chumba chenye mkeka kitumie olways na rafiki zako na masholi, hii itakusaidia kupata mke wa ukweli asiyefuata mali. Kwani hatajua kama unavitu hvyo one day itakuwa kama suprise kwako.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom