Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
sure tambi zinahusika zinaniokoaga nikiwa nimetoka job late .anunue tambi (spaghetti)
sure tambi zinahusika zinaniokoaga nikiwa nimetoka job late .anunue tambi (spaghetti)
babu unaogopa kuwangiwaaaa??????
hapa tunajalib kumpa kinga kijana. kuna jirani yangu majuzi wamemtoa jipu la kwapa halaf jipu kila usiku linaflash kama nokia ya tochi halaf kuna sauti ya mbuzi inatokea kimiujiza kabisa. binadam wabaya jamani!Waogopa kurogwa wewe?????
hapa tunajalib kumpa kinga kijana. kuna jirani yangu majuzi wamemtoa jipu la kwapa halaf jipu kila usiku linaflash kama nokia ya tochi halaf kuna sauti ya mbuzi inatokea kimiujiza kabisa. binadam wabaya jamani!
mkuu kathread chako kako poa umefanya vyema ngoja na sie wengine tupate ushauri ubarikiwe sana .naanza maisha ya ubachelor wadau naomba msaada wa vitu muhimu ninavyotakiwa kuwa navyo chumba nimeshapata rum(master) na sebule nna kitanda teyari 5 kwa 6
thanks sana mkuu for the Good advice naikubali sana hii na imenipa moyo sana wa kusonga mbeleKuwa mwangalifu na Usafi pia.Ishi vizuri na majirani zako,kama Familia.Hata mimi ni Bachelor,mwanzoni ilikuwa ngumu sana kwani nilianza maisha hayo nikiwa na miaka 21 tena nje ya Tanzania.Lakini sasa nimebobea ha ha ha ha.
Cha msingi,jali afya yako pia na usisahau kuzingatia Ibada
Hakikisha kuwa kuishi kwako peke yako kusikulteee ubinafsi,those people around you i mean neighbors wachukulie kama family
With living alone u have to develop a routine and stick to it as much as possible
If you do all your washing up and cleaning over the weekend, there isn't much pressure over the week
Plan out your wardrobe for the whole week and lay everything out within easy reach, that way u don't mess up your room looking for stuff when u are rushing to get ready in the mornings.
Experiment with light meals during the week, not necessarily microwave meals but easy to prepare stuff. . . its easier to manage plus u can look forward to a elaborate meals over the weekend.
Here is a tip, Sundays reserve for you time! Just allow yourself a long lie-in and just chill out. All your housework and personal grooming should done on Saturdays if Possible to get them out of the way and do your socializing on Fridays and Saturday nights if possible but be carefully coz kuna hatari hapa...pia inategemea na hobbies zako ( Sometimes you might have friends popping over during the week though) So Sundays are for chilling out, catching up on some much needed sleep and the bits and pieces u never get around to doing.
The trick is to get into a routine that will help ease the pressure
Utazoea tu,mimi nimeshazoea kabisa.Huo ndio mwanzo wa maturity na kuwa independent.Inakujenga
hii ni kinga mjarab, lakini kwa njaa ya uswahilini mara vibaka wanaondoka na mfupa wa kitimoto kujipatia supuKwa vile anaanza life awe analala na mfupa wa kiti moto kichwani ni kinga tosha
hii ni kinga mjarab, lakini kwa njaa ya uswahilini mara vibaka wanaondoka na mfupa wa kitimoto kujipatia supu
hehehe dah! mkuu uswahilini kuna supu mpaka za meno ya mbuzi achilia mbali fupa la kitimoto. ukitaka kusibitisha kwamba mungu yupo, tembelea uswahilini.Hahahaha mzee ni mfupa tu sio paja zima duh
Ha ha ha,ninyi watu.Fidel & Afrodenzi...acheni bana,nimecheka sana
Dogo usikubali kwenda Exile kwa sababu hiyo,make sure washkaji wanaheshimu gheto lako.
hehehe dah! mkuu uswahilini kuna supu mpaka za meno ya mbuzi achilia mbali fupa la kitimoto. ukitaka kusibitisha kwamba mungu yupo, tembelea uswahilini.
dah! mkuu hiyo kitu achana nayo, halaf mzuka wake ule utumbo usiusafishe vizuri. yaaani stimu zake kuliko jani.Umewahi kunywa supu ya utumbo wa kuku?
nunua maharage mahindi mpunga jiko gunia la mkaa. kondom
hapa tunajalib kumpa kinga kijana. kuna jirani yangu majuzi wamemtoa jipu la kwapa halaf jipu kila usiku linaflash kama nokia ya tochi halaf kuna sauti ya mbuzi inatokea kimiujiza kabisa. binadam wabaya jamani!
C2C fanya yote dogo,
lakini hapo kwenye kondomu usisahau hata chembe,
jaza mapakti hayo ghetoo!
VINGINE VYOTE WADAU WATAJE, LAKINI KONDOM,
PIGA UA, STOCK ISIISHE!!!!!!!!!!!