Pia huyu Dr ni muwajibikaji sana na ameshachaguliwa na wenzake kama mara 4 hivi ndani ya miaka yake 7 ya utumishi kuwa MFANYAKAZI BORA!!!!Hivi na wewe nawe ni Dr UNATIBU WATU GODFORBID. Nina shaka sana na elimu na uwajibikaji wako pia.

Inasikitisha sana kuwaona Madaktari wetu Wanajiweka katika nafasi ya kuwa Miungu watu kwa kuwasaliti Wananchi wenzao. Haiwezekani kuwa Ninyi ndio wenye Shida na mnalipwa haba kuliko fani nyingine, huo wenu ni UROHO, TAMAA, TABIA MBAYA, WIVU, UJINGA na kuelimika kulikowavua USTAARABU, kwa msemo wa jamaazetu wa Visiwani HAMFAI PESA MBILI gomeni msubiri kujaza MATUMBO YENU kwa TAMAA halafu tuone MSIENDE CHOONI!!.....................!!
Pia huyu Dr ni muwajibikaji sana na ameshachaguliwa na wenzake kama mara 4 hivi ndani ya miaka yake 7 ya utumishi kuwa MFANYAKAZI BORA!!!!
mgomee dhaifu acha kuhangaika na madaktari, mambo yao yakiwa mazuri hata wewe utafurahi
Tatizo wabongo tumelewa Siasa !! Kila ki2 tunafanya siasa !!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Inasikitisha sana kuwaona Madaktari wetu Wanajiweka katika nafasi ya kuwa Miungu watu kwa kuwasaliti Wananchi wenzao. Haiwezekani kuwa Ninyi ndio wenye Shida na mnalipwa haba kuliko fani nyingine, huo wenu ni UROHO, TAMAA, TABIA MBAYA, WIVU, UJINGA na kuelimika kulikowavua USTAARABU, kwa msemo wa jamaazetu wa Visiwani HAMFAI PESA MBILI gomeni msubiri kujaza MATUMBO YENU kwa TAMAA halafu tuone MSIENDE CHOONI!!.....................!!
Jamani wadau kwa jinsi hali ilivyo kama wao wamekataa kutupa huduma na sisi tuwasusie kuwapa huduma kama wao wanavyofanya kwa jamii. Wahasibu wasiwalipe mshahara yao na hata huduma nyingine pia tuwatose. Tusiwafundishe watoto wao hata wakija na hela yao na huduma nyinginezo...mgogoro wauletao wanaoumia ni watanzania maskini na sip viongozi wa serikali. Mgogoro huu Pinda. Hawa ghasia.Mwinyi aathiriki nao n.k
Mi nadhani wanachofanya Madaktari ni kuwawakilishi watumishi wengine wa Umma juu ya hali duni ya mazingira ya kazi katika Utumishi wa Umma. To me, they are just representatives kutokana na unyeti wao, it will attract more Goverment attention na kuliko wangegoma Proffession nyingine kama Wahasibu.
Aliewasaliti wananchi ni Bwana Dhaifu na serikali yake.
Aliwaahidi ma Dr kuwa atawatimizia madai yao, na mbele ya wazee wa Dar, akasema atahakikisha mgomo haujirudii.
Leo mgomo huo, na kumepita siku 90+ za mazungumzo yasiyo na tija, ulaghai na propaganda.
Madaktari ulitarajia wafanyaje?
Kumbuka wao sio watu wa maneno mengi, ni watu wa sayansi, vitendo zaidi.
Kajifunze upya maana ya usaliti.
Mwenye dhamana na afya yako si madaktari, ni serikali, na iliahidi hilo kwenye ilani ya uchaguzi, na ikachaguliwa ili itimize hayo!
mawazo dhaifu ni kwa watu dhaifu tu, hata darasa la tatu hawezi kuwaza hivi, kama huelewi kinachoendelea ni bora ukanyamaza na sio tu ukisikia madaktari wamegoma basi unakurupuka na kuja kufanya vioja hap
Jamani wadau kwa jinsi hali ilivyo kama wao wamekataa kutupa huduma na sisi tuwasusie kuwapa huduma kama wao wanavyofanya kwa jamii. Wahasibu wasiwalipe mshahara yao na hata huduma nyingine pia tuwatose. Tusiwafundishe watoto wao hata wakija na hela yao na huduma nyinginezo...mgogoro wauletao wanaoumia ni watanzania maskini na sip viongozi wa serikali. Mgogoro huu Pinda. Hawa ghasia.Mwinyi aathiriki nao n.k
Kanywe zile dawa za ugonjwa wa akili ninazokupa kila mwezi ukalale maana naona kale kaugonjwa kanataka kuibuka! Teh teh By the way zinaitwa Haloperidol!!!Siungi mkono pande zote! Serikali ya CCM inapaswa kwa hali na mali kubpresha maslahi ya wafanyakazi wa kada zote serikalini. Watu ni professionals wanalipwa pesa kiduchu sana, lakini wanasiasa wanalipana posho na mishahara mikubwa sana, inatia hasira sana! Wabunge wengi ni njaa tu, hawana lolote, wanajilipa pesa nyingi wakati professionals wanakabwa. Uwakilishi gani wa kujilipa pesa wakati unayemwakilisha hapati hata maendeleo kwa sababu yako.
Nije kwa madaktari, hata mkigoma miaka yote, seriki ya CCM haitawalipa hata siku moja mishahara mnayodai, nani kwadanganya CCM inaweza kuwalipa Sh. 3.5 Millioni kwa mwezi na marupurupu mengine? Kwanza mlichemka, mnadai pesa nyingi sana kwa wakati mmoja, sijui nani aliwashauri, mlipenda sifa za kuitwa Drs, fanyeni kazi yenu!
Halafu ikifika 2015 mtavishwa Magwanda ya Kijani na kupiga kura huku mnashangilia! SUBIRINI 2015 NA MCHUKUE MAAMUZI MAZITO, MTAKUWA KAMA WAALIMU MSIPOANGALIA.
Kanywe zile dawa za ugonjwa wa akili ninazokupa kila mwezi ukalale maana naona kale kaugonjwa kanataka kuibuka! Teh teh By the way zinaitwa Haloperidol!!!
Jamani wadau kwa jinsi hali ilivyo kama wao wamekataa kutupa huduma na sisi tuwasusie kuwapa huduma kama wao wanavyofanya kwa jamii...........