Na Sisi tuwasusie madaktari kuwapa huduma

Hivi na wewe nawe ni Dr UNATIBU WATU GODFORBID. Nina shaka sana na elimu na uwajibikaji wako pia.
Pia huyu Dr ni muwajibikaji sana na ameshachaguliwa na wenzake kama mara 4 hivi ndani ya miaka yake 7 ya utumishi kuwa MFANYAKAZI BORA!!!!
 
Inasikitisha sana kuwaona Madaktari wetu Wanajiweka katika nafasi ya kuwa Miungu watu kwa kuwasaliti Wananchi wenzao. Haiwezekani kuwa Ninyi ndio wenye Shida na mnalipwa haba kuliko fani nyingine, huo wenu ni UROHO, TAMAA, TABIA MBAYA, WIVU, UJINGA na kuelimika kulikowavua USTAARABU, kwa msemo wa jamaazetu wa Visiwani HAMFAI PESA MBILI gomeni msubiri kujaza MATUMBO YENU kwa TAMAA halafu tuone MSIENDE CHOONI!!.....................!!

Aliewasaliti wananchi ni Bwana Dhaifu na serikali yake.
Aliwaahidi ma Dr kuwa atawatimizia madai yao, na mbele ya wazee wa Dar, akasema atahakikisha mgomo haujirudii.
Leo mgomo huo, na kumepita siku 90+ za mazungumzo yasiyo na tija, ulaghai na propaganda.
Madaktari ulitarajia wafanyaje?
Kumbuka wao sio watu wa maneno mengi, ni watu wa sayansi, vitendo zaidi.
Kajifunze upya maana ya usaliti.
Mwenye dhamana na afya yako si madaktari, ni serikali, na iliahidi hilo kwenye ilani ya uchaguzi, na ikachaguliwa ili itimize hayo!
 
Pia huyu Dr ni muwajibikaji sana na ameshachaguliwa na wenzake kama mara 4 hivi ndani ya miaka yake 7 ya utumishi kuwa MFANYAKAZI BORA!!!!

na hicho ndicho kinachompunguzia credibility yake mimi leo kwa uchungu nimeelezea hali iliyomkuta mwl mwenzetu na ukweli mpaka sasa yuko hosp yy anaona kama ni sawa kwa hali iliyomkuta? sidhani kama ana utu. ila pia cheo na elimu yake vinanifanya nimpatie kama changamoto

'the more intellectual the man, the wider his range of of ideas, the more danger he is in putting gods of temporary expedience before the GOD of everlasting values"
 
Kweli kaka, uelewa wa watu humu ni mdogo sana. Watnazania sasa tunahitaji mabadiliko. Maonevu yametosha. Kama mnadhani watanzania wa leo wanafanana na wale wa miaka 50 ilipita naomba msahau hilo. Uelewa wetu umeongezeka kwa kiasi kikubwa. Vijana wanajitambua na wanajua haki zao zote. Wewe kama unaona wanafnya kosa kugoma nenda ukawe daktari.

Tatizo wabongo tumelewa Siasa !! Kila ki2 tunafanya siasa !!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kumbukene kuwa fani ya udakitari kila mtu anaikimbia. Siyo fani ya kwenda kichwa kichwa. Wametumia miaka mingi sana mpaka kufika hapo walipo. Watu wangapi wanayakimbia masomao ya sayansi! Leo hii unawaletea masuala ya mizaha kwenye maisha. eti?

Inasikitisha sana kuwaona Madaktari wetu Wanajiweka katika nafasi ya kuwa Miungu watu kwa kuwasaliti Wananchi wenzao. Haiwezekani kuwa Ninyi ndio wenye Shida na mnalipwa haba kuliko fani nyingine, huo wenu ni UROHO, TAMAA, TABIA MBAYA, WIVU, UJINGA na kuelimika kulikowavua USTAARABU, kwa msemo wa jamaazetu wa Visiwani HAMFAI PESA MBILI gomeni msubiri kujaza MATUMBO YENU kwa TAMAA halafu tuone MSIENDE CHOONI!!.....................!!
 
Wewe hacha upuuzi, uduma zingekuwa safi wabunge wangejipitishia sheria za kutibiwa Apollo? laumu wabunge wako kwa kujipa favour za kutibiwa Appolo uku watanzania wengi wakifa kwa kukosa huduma za msingi na kawaida kabisa.Wewe fikiria Dr mwenyewe na familia yake wakiugua inabidi watoe pesa au wakatibiwe general ata kuwapa green card za health insuarence serikali inasema itawafikilia.its shame.Drs kugoma hawajawakataza kada nyingine kudai maslahi yao kama wanaona wanaweza kudai wadai pia.
 
Akili yako inahitaji marekebisho.

Jamani wadau kwa jinsi hali ilivyo kama wao wamekataa kutupa huduma na sisi tuwasusie kuwapa huduma kama wao wanavyofanya kwa jamii. Wahasibu wasiwalipe mshahara yao na hata huduma nyingine pia tuwatose. Tusiwafundishe watoto wao hata wakija na hela yao na huduma nyinginezo...mgogoro wauletao wanaoumia ni watanzania maskini na sip viongozi wa serikali. Mgogoro huu Pinda. Hawa ghasia.Mwinyi aathiriki nao n.k
 
Kalolo, umesema kweli. CCM na viongozi wake umaefika sasa waboreshe maslahi ya wafanyakazi wake. Ufisadi wanaoufanya sasa unaanza kuwatokea mapuani.

Mi nadhani wanachofanya Madaktari ni kuwawakilishi watumishi wengine wa Umma juu ya hali duni ya mazingira ya kazi katika Utumishi wa Umma. To me, they are just representatives kutokana na unyeti wao, it will attract more Goverment attention na kuliko wangegoma Proffession nyingine kama Wahasibu.
 
Naomba waendelee kugoma. Madkitari siyo wanasiasa. Wanachosema ndicho wanachomaanisha.

Aliewasaliti wananchi ni Bwana Dhaifu na serikali yake.
Aliwaahidi ma Dr kuwa atawatimizia madai yao, na mbele ya wazee wa Dar, akasema atahakikisha mgomo haujirudii.
Leo mgomo huo, na kumepita siku 90+ za mazungumzo yasiyo na tija, ulaghai na propaganda.
Madaktari ulitarajia wafanyaje?
Kumbuka wao sio watu wa maneno mengi, ni watu wa sayansi, vitendo zaidi.
Kajifunze upya maana ya usaliti.
Mwenye dhamana na afya yako si madaktari, ni serikali, na iliahidi hilo kwenye ilani ya uchaguzi, na ikachaguliwa ili itimize hayo!
 
Siungi mkono pande zote! Serikali ya CCM inapaswa kwa hali na mali kubpresha maslahi ya wafanyakazi wa kada zote serikalini. Watu ni professionals wanalipwa pesa kiduchu sana, lakini wanasiasa wanalipana posho na mishahara mikubwa sana, inatia hasira sana! Wabunge wengi ni njaa tu, hawana lolote, wanajilipa pesa nyingi wakati professionals wanakabwa. Uwakilishi gani wa kujilipa pesa wakati unayemwakilisha hapati hata maendeleo kwa sababu yako.

Nije kwa madaktari, hata mkigoma miaka yote, seriki ya CCM haitawalipa hata siku moja mishahara mnayodai, nani kwadanganya CCM inaweza kuwalipa Sh. 3.5 Millioni kwa mwezi na marupurupu mengine? Kwanza mlichemka, mnadai pesa nyingi sana kwa wakati mmoja, sijui nani aliwashauri, mlipenda sifa za kuitwa Drs, fanyeni kazi yenu!
Halafu ikifika 2015 mtavishwa Magwanda ya Kijani na kupiga kura huku mnashangilia! SUBIRINI 2015 NA MCHUKUE MAAMUZI MAZITO, MTAKUWA KAMA WAALIMU MSIPOANGALIA.
 
Jamani wadau kwa jinsi hali ilivyo kama wao wamekataa kutupa huduma na sisi tuwasusie kuwapa huduma kama wao wanavyofanya kwa jamii. Wahasibu wasiwalipe mshahara yao na hata huduma nyingine pia tuwatose. Tusiwafundishe watoto wao hata wakija na hela yao na huduma nyinginezo...mgogoro wauletao wanaoumia ni watanzania maskini na sip viongozi wa serikali. Mgogoro huu Pinda. Hawa ghasia.Mwinyi aathiriki nao n.k

kama ni madaktari ndo wamekuajiri basi wasusie!
 
Kanywe zile dawa za ugonjwa wa akili ninazokupa kila mwezi ukalale maana naona kale kaugonjwa kanataka kuibuka! Teh teh By the way zinaitwa Haloperidol!!!
 
Kanywe zile dawa za ugonjwa wa akili ninazokupa kila mwezi ukalale maana naona kale kaugonjwa kanataka kuibuka! Teh teh By the way zinaitwa Haloperidol!!!

Aaah, umegundua eeh, hata mie nilitaka kumueleza hivyo hivyo, kumbe na ww huwa unamtibu?!
 
Jamani wadau kwa jinsi hali ilivyo kama wao wamekataa kutupa huduma na sisi tuwasusie kuwapa huduma kama wao wanavyofanya kwa jamii...........

Wewe acha ngonjera, kwanza tafuta madai yao uyasome, yatafakari kisha linganisha na matumizi ya kipuuzi kama yale ya kutunza mashangingi(viwanda vidogo vinavyotembea) ya serikali au posho wanazolipwa wakubwa wengine kama wakurugenzi,manaibu katibu wakuu,makatibu waku,na viongozi wengine wa serikalini. Ukisha fanya hayo sasa jenga hoja yako ya namna ya kutatua matatizo ya madaktari hao ukitumia huo utafiti wako kama lensi ya masafa marefu.

Halafu kuna upuuzi mwingine wasemao watu kuwa udaktari ni wito.Kweli? Kama ni wito kwa nini basi tusifanye utaratibu madakari wote Tanzania waishi kwenye "maconvents". Yaani tuwaweke kule tuwachangie chakula,matumizi ya wake zao,ada za watoto wao kwenda shule( nina maana shule,sio zile shule za kata ...no no no, zile za ukweli ) yaani tuwape FREE PASS ambayo kila anapokwenda anahudumiwa bure. Ni kweli kweli kuwa daktari ni mtu muhimu sana na anashilia maisha ya mtu akiwa namba mbili baada ya mungu. Swali ni je kama ni mtu muhimu kiasi hicho,anapewa umuhimu unaostahili? Mazingira na vitendea kazi vinamwezesha kufanya kazi yake bila vikwazo? Je na sisi wananchi wa kawaida tunayaelewa haya kwa ufasaha?

Tatizo nionalo mimi hapa wala sio mgomo wa madaktari, tatizo ni ubinafsi,ulevi wa madaraka,kiburi,sitofanywa kitu(impunity),ulimbukeni, na umungu-mtu ambavyo vimesababisha mgawanyo mbovu wa rasilimali za nchi bila kuzingatia vipau mbele vya msingi kama taifa. Mfano kulikuiwa kuna umuhimu gani kwa kila Wizara kuaanda sherehe ya kuadhimisha miaka hamsini ya uhuru wa Tanganyika na kutumia mabilioni ya pesa? Je inahitaji mwanasayansi anayepeleka chombo mwezi kuchanganya sherehe za wizara zote kuandaa sherehe moja yenye gharama kidogo? Je fedha hizo ukichanganya na nyigine nyingi zinazopotea kila siku kuhudumia mashangingi ya serikali zisingetosha kuboresha sekta ya Afya na kuwalipa madaktari?

Hilo ndio tatizo. Kufanyaika kwa mgomo wa madaktari si kingine bali ni kucheuwa kwa mfumo ambao umevimbiwa(blotted) kwa muda mrefu kwa sababu ndani yake vitu mbalimbali vinavyotegemeana vimeshindwa kushirikiana na umeshindwa kufanya kazi vizuri.
 
Naipinga kwa nguvu zote serikali iliyoko madarakani kwa sababu haiko kwa ajili ya wananchi na najua haikuingia madarakani kwa ajili ya wananchi. Nawalaani wote waliohusika kuichagua na kuiweka madarakani. Namshukuru Mungu kwani hata kama nina dhambi nyingi angalau hiyo dhambi hainihusu.

Natofautiana na wote wanaounga mkono mgomo wa madaktari kwa sababu hizi:
  1. Hali ngumu ya maisha ni kwa watanzania WOTE na si kwa madaktari tu. Nachelea kusema yumkini hawa wenzetu hata maslahi yao kidogo yako nafuu kiulinganifu. Fikiria hali halisi ya maisha ya askari polisi, magereza, JW, waalimi wetu, wanakijiji kuleee ndani asikotamani mtu kufika, waandishi wa habari, wafanyakazi wa shirika la reli magengeni, hali ya wavuvi...... Je hawa wana maisha bora kuliko madaktari wetu? Askari wote wachukue hatua wanayodhani inafaa? Na kada zingine wamgomee nanai?
  2. Sheria ipi inayojustify kuwa taaluma ya madaktari ndiyo ya maana kuliko taaluma na fani zingine? Kwa nini wachukue undue advantage kuwaua wasio hatia (wagonjwa) na ambao hawawezi kujitetea ili kukidhi ubinafsi wao ili hali ugumu wa maisha ni kwa watanzania walio wengi?
  3. Kwa mindlessness hii ya madaktari tunaikomoa serikali au tunakomoana sisi wanyonge kwa sisi huku tukijua hao wenzetu hata huwa hawatibiwi katika hosopitali hizi?

Historia itatuhukumu watanzania kwa haya tunayoyafanya kwa pupa eti kwa sababu tu nchi haina serikali! Wanaogoma na wote wanaowaunga mkono nachelea kuwaita wendawazimu kwa sababu wanachoma kivuli na kuacha mti hai; HAWAKO TAYARI HATA SIKU MOJA KUCHUA HATUA ZA KWELI NA THABITI ZA KUTATUA ZATIZO LENYEWE. WALIBYA NA WAMISRI BILA SHAKA WANATUTUKANA SANA WANAPOONA SIYO TU TUNAWAACHA WAFE BALI TUNAUNGA MKONO VIFO VYA WASIO HATIA ETI ILI 0.044% YA MAISHA YA WATANZANI YAWE BORA!
 
Jamani wadau kwa jinsi hali ilivyo kama wao wamekataa kutupa huduma na sisi tuwasusie kuwapa huduma kama wao wanavyofanya kwa jamii. Wahasibu wasiwalipe mshahara yao na hata huduma nyingine pia tuwatose. Tusiwafundishe watoto wao hata wakija na hela yao na huduma nyinginezo...mgogoro wauletao wanaoumia ni watanzania maskini na sip viongozi wa serikali. Mgogoro huu Pinda. Hawa ghasia.Mwinyi aathiriki nao n.k

mimi nadhani jf tuanze ku-join kwa njia ya interview,maana humu kuna members wana mtindio wa ubongo,thread gani sasa hii.
 
FRESH NEWS: UKWELI KUHUSU MGOMO WA MADAKTARI.

Leo ningependa turudi jamvini kujadili kidogo kuhusu huu mgomo wetu, awali katika sehemu ya kwanza ya mada hii, nilijaribu kuainisha madai yetu, makubaliano na kuacha kwako mwanya wa kufikiri utendaji wa serikali yetu “SIKIVU” ilivyo na inavyofanya hadi sasa (kama hukubahatika kusoma hebu itafute facebook na Jamii forum ili upitishe macho KIDOGO TU ikiwa na thread title UKWELI KUHUSU MGOMO WA MADAKTARI)..leo nilifikiri si vibaya tukijadili kuhusu madhara ya mgomo huu.

HALI HALISI HOSPITALINI:

Hospitali ya Taifa Muhimbili, Ocean Road Institute, Temeke, Mwananyamala, Amana, Bugando, Mbeya, KCMC, ST.Francis, Haydom, Dodoma n.k. huku kote hakuna kinachoendelea..madakatari kwa maana ya General practitioner na Specialist, sio Assistant Medical Officer,AMO( KWANI KUNA UTOFAUTI KATI YA NGAZI ZA UDAKTARI KUTOKANA NA KISOMO/ELIMU-nisingependa kwenda katika hili) .. Hii ni TOTAL TOOLS DOWN,(TTD), episode III..

Kama tulivyosema awali hatudai posho, na ongezeko la mishahara tu(hii si priority hata katika madai), ila eti kulingana na majibu ya serikali, tutegemee madai hayo katika next next fiscal year(2013/2014) lakini hebu jiulize

1. Madai ya madaktari yalianza lini?
2. Madiwani waligoma ama kudai mshahara/posho lini??!

3. Priority ya Taifa ni wananchi(kupitia madai ya madaktari) au viongozi(kupitia posho mpya za madiwani zilizotangazwa Bungeni)?

4. Nyongeza ya posho ya madiwani imetokea wapi?? ilipangwa katika bajeti?

5. Viongozi au wananchi hamuoni haya??

SISEMI TUNAHITAJI MISHAHARA YETU ILINGANE NA WABUNGE, MAWAZIRI, WAFANYAKAZI WA TRA, BOT, n.k..LA HASHA!! ILA UNAPODAI MAZINGIRA BORA YA KAZI, NYONGEZA YA MSHAHARA,POSHO NA UNAPEWA MAJIBU YA DHARAU,.. NA WENGINE KAMA VIONGOZI KUJIONGEZEA(during the same period of our claims), HAPO NDIPO COMPARISON INAPOTOKEA, NA KULAZIMISHA TUFANANE NA NYIE!!

Katika hospitali tajwa hapo juu, Wakurugenzi, wakuu wa idara wamekuwa wakifanya vikao na kulipwa 50,000/=TSHS@SIKU toka mgomo kuanza 23.06.2012.., Je, wananchi mnayajua haya? Jiulize kuna idara ngapi katika hospitali hizi? Nani anayetoa pesa hizi? Zitatoka hadi lini? Lengo kuu ni kushawishi, kushurutisha madaktari turudi kazini… !!

VYOMBO VYA HABARI:

Katika “episode” mbili za “series” yetu hii ya Mgomo wa Madaktari, vyombo vya habari vilianza kuripoti kuwa hakuna migomo, hadi pale watu wa HAKI ZA BINADAMU walipoingilia kati!!

Nasikititishwa sana na Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), kutotoa taarifa halisi wakati watu wanazidi kupoteza maisha, kweli hawaoni? Hawajui au wanapuuzia?

Halafu mnatuita madaktari si wazalendo? KWELI?? Napata shida sana kuelewa inakuwaje watanzania wanaumia na viongozi kutotilia maanani madai yetu, ni kweli uhai wa mtu hauwekwi rehani lakini hatukuingia katika mgomo huu kwa kuweka maisha ya watanzania wenzetu katika mizani, na ndio maana muda wa mazungumzo ulikuwepo na hata kabla ya mgomo, muda wa wiki mbili ulitosha kujipanga, kwamba kama Serikali ikishindwa kutekeleza madai, AU kuonyesha njia mbadala ya kuyatatua basi ijipange kuhudumia wananchi.
Kama leo hii tunaangalia luninga(TV-mfano Mh. W/Afya pale Star TV kukimbia), tunasikiliza redio lakini mambo yanayofanya na serikali ni haya, umekwisha jiuliza ingekuwaje, ama Serikali yetu ingetutendea nini kama tungekuwa hatuwaoni wanachofanya pale Bungeni(Mfano Takwimu za uongo), na kwingineko? Hali hii itaendelea hadi lini?

MKAKATI:

Usalama wa taifa wako kila hospitali, swali ni hili

1. Ni usalama wa Taifa au wa chama tawala?

2. Wanatumia pesa ya nani?

3. Last ‘episode” walileta wanajeshi,

KAMA MADAI YA MADAKTARI SI YA MSINGI NA SERIKALI IKO SAHIHI KWANINI WANAJESHI HAWAJATOA HUDUMA KAMA WALIVYOTOA HAPO MWANZO??

KWANINI HAWAKUWA TAYARI HATA WALIPOOMBWA KUFANYA KAZI MNAYYOIITA KAZI YA WITO????

MAKOLIGI (colleague)??

Ni lini wananchi waliingia mkataba na sisi juu ya afya zao??sasa mbona wanatulalamikia na kutushambulia??..nadhani wananchi mnakosea kidogo, dhamana ya afya zenu ni kwa hiyo serikali “sikivu”, hivyo lawama, maombi, na hisia zote pelekeni huko….ila sisi kurudi ni hadi pale madai yataposikilizwa, this time si kwenda kazini halafu yafanyiwe kazi? HAPANA..HII IELEWEKE VIZURI..HATUDANGANYIKI… hadi yafanyiwe kazi na kuthibitishwa au njia mbadala.

Najua wanasema when you get in a fight you should dig, two graves but I guess you should not fight with someone who has NOTHING to loose,.. We either overestimated the power of Government’s responsibility or They(Government) underestimated our power, and I really doubt of the latter because they KNOW they cant stop us.. you cant stop what you cant catch, because the more they will push us the worse this is going to get…

..Solidarity forever..
 
Back
Top Bottom