Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,581
- 6,675
watanzania maskini tunao umia, serikali yetu ndo inayotuumiza sababu imechangia kwa kiasi cha asili mia 100, kutufanya masikini na kutotupatia huduma za kijamii. inaingia akilini hospitali kukosa vitanda, urine bags nk.
Lakini cha ajabu Mbunge anaingia bungeni hata kuongea haongei amekaa tu anapiga makofi wenzie wakiongea halafu mwisho wa siku anapewa posho ya maana..wakati huo kuna Mwalimu anaongea kutwa nzima kuwapa watu elimu...huyu hapewi posho anaambiwa ni wito..Unapofanya kazi ya ualimu kuwa wito manake wewe ni mdhaifu wa fikra.