Mwisho wa siku 7 za Ridhiwan ni leo 9/5/11!

Ngoja tusubiri his next move baada ya kutoa tishio.
 
Hana lolote huyo! Hawezi kufanya chochote. Walishindwa akina Mkono walipotajwa kwenye JK eleven sembuse yeye! Wanahofia kujikana mahakamani.
 
Wakuu,

Mwisho wa siku saba alizotoa Ridhiwan Kikwete kwa Dr Slaa na Mch. Mtikila ni leo Jumatatu!


Je kijana huyu atakuwa keshaanza taratibu zozote za kuwaburuza wakubwa hawa kwa Pilato?

Au amesafiri?...!

Asipotekeleza ahadi yake, yeye ndiye atakayeshitakiwa na Mch Mtikila(kwa Mujibu wa Mch.Mtikila)!


https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...r-slaa-na-mtikila-kukanusha-utajiri-wake.html

Kamanda

Hivi na wewe uliingia mkumbo kuwa Mwana wa Mfalme alikuwa serious? Hana cha kupeleka mtu mahakamani huyo Ridhiwan Kikwete
 
Yale yalikuwa maigizo tu, hamna lolote pale, wee unaongea na vyombo vya habari haijulikani unakoelekea?? Mara maisha ya mijini...hahaaa kwa hio hastahili kuiendesha UVCCM kimjini huyu ni mhuni sawasawa na Cisco
 
du!, WATU MPO MAKIN KUFUATILIA UTEKELEZAJI WA KAULI ZA WATU?!!!.

Am just speechless!

Ila kwa ufupi ni kwamba, Kuna issues zina tuadhiri kama watanzania kwa ujumla, Tunataka tuujue huu utajiri wa R1 umetokana na nini, Isije ikiwa ni kodi zetu walalahoi.

Ndio maana Hutonikuta nafuatilia hata siku moja utekelezaji wa Kauli yako wewe! Ila nitakua bize sana kufuatilia Lolote linalohusu mali za Riz1, Lowasa, Chenge, Mramba, Karamagi, Rostam, .......

Nadhani umenielewa Mkuu.
 
Kamanda

Hivi na wewe uliingia mkumbo kuwa Mwana wa Mfalme alikuwa serious? Hana cha kupeleka mtu mahakamani huyo Ridhiwan Uday Saddam Hussein al-Tikriti al Kikwete
Mkuu,
Hili jina ni mpya!...Kabatizwa lini huyu?
Kwa maana hiyo asubirie kupigwa Tanganyika jeki na Mtikila kwenda Mahakamani!
Mimi naombea babaye amtume hata huko Pakistan, japo kwa miezi 2 kuuliziaulizia afya ya jamaa za Osama, ili akirudi akute mambo yamepoa..!
Vinginevyo anadhalilika dakika yoyote kuanzia leo!
 
du!, WATU MPO MAKIN KUFUATILIA UTEKELEZAJI WA KAULI ZA WATU?!!!.
Ahadi ni deni bana!
Huyu mtoto aliongea kwa kuita waandishi wa habari, akiwa na maana UMMA wa Watanzania wote unatakiwa ufahamishwe jambo alilotaka kusema!
Sasa anawajibika kabisa kumalizia homework yake kwa kuchukua hatua aliyoahidi, vinginevyo atumie vyombo hivyohivyo vya habari kukanusha kuwa hakuwa makini wakati akitamka maneno hayo!
Media nazo zina wajibu mkubwa sana kumfuatilia huyu kijana wa kimjinimjini, ili kupata kinachoendelea na hatimaye kuwamalizia sakata hili wananchi!
 
Halafu hatutaki mtoto wa rais muwongo kwa hiyo ni lazima atimize ahadi yake
 
Haaaaaaaah aaaaaaahhh duh Ridhiwan Uday Saddam Hussein al-Tikriti al KikweteRidhiwan dogo lile time bomb lako sasa ndiyo hiloooooooo.... tupe raha :evil:
 
Wakuu,

Mwisho wa siku saba alizotoa Ridhiwan Kikwete kwa Dr Slaa na Mch. Mtikila ni leo Jumatatu!

Je kijana huyu atakuwa keshaanza taratibu zozote za kuwaburuza wakubwa hawa kwa Pilato?

Au amesafiri?...!

Asipotekeleza ahadi yake, yeye ndiye atakayeshitakiwa na Mch Mtikila(kwa Mujibu wa Mch.Mtikila)!

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...r-slaa-na-mtikila-kukanusha-utajiri-wake.html

Duh mkuu umekamaa nae utadhani umetumwa na kijiji,mwanzako alikuwa akisema kimjini mjini hakuwa serious kihivyo.
 
Back
Top Bottom