Mwisho wa siku 7 za Ridhiwan ni leo 9/5/11!

Wakuu,

Mwisho wa siku saba alizotoa Ridhiwan Kikwete kwa Dr Slaa na Mch. Mtikila ni leo Jumatatu!

Je kijana huyu atakuwa keshaanza taratibu zozote za kuwaburuza wakubwa hawa kwa Pilato?

Au amesafiri?...!

Asipotekeleza ahadi yake, yeye ndiye atakayeshitakiwa na Mch Mtikila(kwa Mujibu wa Mch.Mtikila)!

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...r-slaa-na-mtikila-kukanusha-utajiri-wake.html

zimebaki 14dayz ahead i mean 7dayz per wik, 2 acomplish ze allegation, alafu kimya kimya atakua ka yule "jibwa" we2 wa joti. (jibwa koko).
 
PJ hivi ulitegemea watoto wa kimujini mujini kuaminika, ni sawa na kumdhamini mhindi kwenye box tegemea kupoteza pesa zako mkuu. Huyu dogo hana jipya za kusema anajipanga kumshitaki tu.
 
hahahah nyie hamuwajui wanasiasa tena wale wenye taaluma ya sheria. Aliposema siku 14 alimaanisha siku 14 za kazi. toa week end na siku kuu. teh teh.

Anayo majibu mengi mepesi mepesi ya kutoa zaidi ya haya just wait
 
Mambo ya Kimjini mjini mnanifuafuata kwa nini achaneni na mimi endeleeni mambo yenu nami na ya kwangu ya kimjini mjini msione naendesha gari ya marafiki--hehehehe endelea hapa naona mnaanza kupata majibu sasa ngoja tuone; nijuavyo hata baba yake ni mwanasiasa; so hata baba yake anataka aachane nae sio??? soma na kula raha zinaanza

Mtoto wa Rais Kikwete ang’aka

na Janet Josiah

MTOTO wa Rais Jakaya Kikwete, Ridhiwani, amesema hataki kufuatiliwa maisha yake na wanasiasa hasa wanaomtuhumu kuwa ni bilionea huku akisisitiza kuwashughulikia waolimchafua.
Ridhiwani, alisema hayo jana alipozungumza na Tanzania Daima akitakiwa kueleza hatua atakazochukua baada ya muda wa siku saba aliowapa Mwenyekiti wa Demokratic Party (DP) Mchungaji Christopher Mtikila na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dk. Willbrod Slaa kupita.
Awali, mtoto huyo wa Rais aliwataka wanasiasa hao wamwombe radhi katika kipindi cha siku saba vinginevyo angewapeleka mahakamani kwa kuwa wamemchafua pamoja na familia yake.
Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika kwa njia ya simu, ili kujua lini angekwenda mahakamani kuwafungulia mashtaka viongozi hao, alijibu kwa jazba kwamba jambo hilo linahusu maisha yake hivyo haoni sababu ya kufuatiliwa na vyombo vya habari. “Jambo la kuwafikisha wanasiasa hao mahakamani si jambo lenu, hilo ni jambo linalonihusu mimi na maisha yangu hivyo nitachokifanya nakijua mwenyewe,” alisema Ridhiwani huku akisisitiza kwamba hata alipozungumza na waandishi wa habari juma lililopita alisema lengo lake ni kuueleza umma na sio kufuatiliwa maisha yake. Kwa nyakati tofauti Mchungaji Mtikila na Dk. Slaa, walimtuhumu Ridhiwani kwa ukwasi huku wakiitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kumchunguza.
 
Wakuu,

Mwisho wa siku saba alizotoa Ridhiwan Kikwete kwa Dr Slaa na Mch. Mtikila ni leo Jumatatu!

Je kijana huyu atakuwa keshaanza taratibu zozote za kuwaburuza wakubwa hawa kwa Pilato?

Au amesafiri?...!

Asipotekeleza ahadi yake, yeye ndiye atakayeshitakiwa na Mch Mtikila(kwa Mujibu wa Mch.Mtikila)!

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...r-slaa-na-mtikila-kukanusha-utajiri-wake.html

Hapa mjini tunaishi kimjini,mjini,siyo yote anayooengea ni kweli.
Leo dingi yake kasema waongee uwongo tu magamba,, wadaganyilka wakizoea kusikia utabadilika utakuwa kweli.
 
nitaimiss sana hii serikali
  1. kimjini mjini
  2. magamba
  3. maisha bora kwa kila mtanzania
  4. mgao wa umeme
  5. mafisadi
  6. makamba
  7. mabilioni wa kuiba kodi zetu
  8. wabunge 20 wa CHADEMA kutuliza wabunge 200 wa chama na serikali
  9. siku 7, siku 90, siku..........
  10. kila shule kuunganisha kwenye mkonga wa taifa
  11. foleni jijini dar
  12. mswada wa katiba uliochakachulia
  13. HII NDI MBAYA KULIKO ZOTE---TENDWA kukili Jk alipumulia mashine kwenye uchaguzi, kwa maana nyingi tendwa ametushitua live kwamba alishiliki kutusaliti lakini bora ajisafishe kabla ya chadema kushika dola.
  14. JK--mbona mnaandamano na kusema maneno yale yale tu ya kwenye uchaguzi, mimi lishasahau niliyosema kwenye uchaguzi, MAMBO YA UCHAGUZI wamekwisha (ahadi)--source vyombo vya habari
kwa kifupi dogo naye msani like father
 
2pia na hii, Prezoo aliyeongoza tz kwa kugongwa kanyaboya (kupigwa sound).
 
Leo dingi yake kasema waongee uwongo tu magamba,, wadaganyilka wakizoea kusikia utabadilika utakuwa kweli.
Kali zaidi kasema kila wakifanya jambo la maendeleo wazunguke nchi nzima kulitangaza ili wananchi wajue na watoe kura. Kweli hii itakuwa ni wendawazimu uliovuka mipaka.
 
Back
Top Bottom